Mwitikira, Wilaya ya Bahi, Mkoa wa Dodoma, Tanzania.
Watoto wadogo wanakwenda futi sita chini ya ardhi kutafuta maji angalau kwa ajili ya matumizi ya nyumbani.
Unasikia hapo, watoto wanachapa lugha ya wagogo, wanasema “kuna jongoo wengi sana”. Halafu, CAG anasema TANROADS (watu wenye kuhusika...