Tanzania imerekodi ukuaji wa uchumi wa asilimia 5.9 mwaka 2025, huku ukuaji huo ukitarajiwa kufikia asilimia 6.1 mwaka 2026 na asilimia 6.5 katika kipindi cha muda wa kati, kwa mujibu wa ripoti ya Tanzania Economic Update 2026: Making Jobs Work.
Ripoti hiyo inaeleza kuwa sekta za huduma...