UKOSEFU WA AJIRA
"Tunateseka kupita kiasi Africa, Tusaidieni, Tunamatatizo Africa. Tumepoteza haki zetu kama watoto. Tuna Vita na maradhi, hatuna chakula dah! tunahitaji Elim na tunaomba mtusaidie kupata elim ili nasi huku tuwe kama ninyi."
Ni ujumbe unao patikana katika miili ya Yoguine na...
Ni matumaini yangu kwamba sote tuko poa. Kwa wale ambao wana changoto tunawaombea kwa Mola Mkuu awatatulie shida zao. Moja kwa moja kwenye jambo husika.
Kupata job serikalini sio shughuli ndogo. Mbaya zaidi hilo ndio kimbilio na tumaini kwa vijana wengi. Pitia jukwaa la ajira na tenda utapata...
Katika jamii na taifa kwa ujumla kuna tatizo kubwa la ukosefu wa ajira. Watu wengi: waliohitimu mafunzo na wenye taaluma pamoja na wasio wahitimu pia wasio na mafunzo, hawana kazi za kufanya.
Kwa vyovyote vile, hali hii si nzuri kwa ustawi wa mtu mmoja mmoja, jamii au taifa. Suala la kazi au...
Bila shaka mu wazima kabisa.
Leo katika mizunguko yangu ya kusaka tonge,, nimepita barabara ya g/mboto... Nimeona wameanza Ujenzi wa barabara na vituo vya magari ya mwendo kasi,, wakati gari imesimama kwenye foleni nimetafakari mengi sana...
1. Nimeona wakandarasi wa kichina, hivi kwanini...
Vijana wenzangu amkeni sasa,
Maisha magumu, ukosefu wa ajira, kupanda kwa gharama za maisha na mambo mengine ya hovyo kabisa, chanzo chake ni KATIBA hii mbovu inayowanufaisha serikali ya CCM, viongozi wake na familia zao.
Serikali ya CCM ni wanufaika wakubwa wa umasikini wetu na taabu nyingine...
Hi,
Kijana wa kazi yupo kwa muhitaji wa kijana wa kazi usafi wa mazingira kukata maua nyasi na kazi zingine za kusafisha mazingira.
Kukaa kwa boss mshahara wa maelewano
Wakati kilio cha watu kukosa ajira hasa kwa vijana kikiendelea kushika kasi, Kamisaa wa Sensa Tanzania Bara, Anne Makinda, amesema kuna idadi kubwa ya wasomi wanaoishi kwa wazazi wao wakila bure kwa kutotaka kufanya shughuli za kuingizia kipato.
Makinda ametoa kauli hiyo leo ijumaa, Septemba...
Naibu waziri wa Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk amesema kuwa Balozi zinatafuta fursa za ajira kwa kuingia mikataba ya ajira nje ya nchi, pia kuhakikisha usalama na maslahi yao.
Serikali kupitia TAESA inawezesha watanzania kuomba...
SULUHU MBADALA YA UKOSEFU WA AJIRA NCHINI TANZANIA
Maana ya ukosefu wa ajira.
Kwa maana ya kawaida na inayoeleweka na wengi. Ukosefu wa ajira humaanisha kitendo au hali ya mtu kukosa au kutokuwa na shughuli(kazi) rasmi ya kumuingizia kipato. Neno “ Ukosefu wa ajira “ imekuwa wimbo wa...
Suluhisho la ukosefu wa ajira Tanzania.
Utangulizi;
Ukosefu wa ajira imekuwa tatizo kubwa Sana kwa nchi zinazoendelea na nchi yetu Tanzania ikiwa miongoni. Tatizo linaanzia kwa mfumo wa elimu unaowaandaa vijana wasomi namna ya kuja kukabili hii hali ya ukosefu wa ajira imekuwa haina tiba...
Chakula, malazi na makazi ni mahitaji ambayo kila mwanadamu lazima ayapate kila, ndio maana yamewekwa katika mahitaji ya msingi ya mwanadamu. Kila siku mwanadamu anapambana ili kuhakikisha anakua na uhakika wa nini atakula, nini atavaa na wapi atalala.
Kabla ya kufikiria ubora wa mahitaji...
UTANGULIZI
Inatazamiwa kuwa zaidi ya asilimia 75% ya jamii iliyopo kusini mwa jangwa la sahara ni vijana,ikiwa nusu ya hii asilimia 75% wana umri chini ya miaka 25 na hali ya elimu katika nchi hizi zilizopo kusini mwa jangwa la sahara imezidi kuongezeka siku hadi siku.Mfano Nchi ya Tanzania...
Yesu na Jobless: Dhana ya Janga la Ukosefu wa Ajira; Kuwahi sio Kufanikiwa
Anaandika, Robert Heriel.
Mwanafalsafa.
Kuwahi kupata ajira au kazi haimaanishi utawahi kufanikiwa, maisha hayapo hivyo. Na kuchelewa kupata kazi au ajira haimaanishi ndio utachelewa kupata mafanikio au hautafanikiwa...
Katika kipindi cha miaka ya hivi karibuni, kumekua na changamoto kubwa sana ya ukosefu wa ajira kwa wahitimu wa elimu ya vyuo mbalimbali, iwe elimu ya juu au elimu ya ufundi. Vilevile kumekua na changamoto hii kwa vijana ambao kwa namna moja au nyingine, kutokana na sababu mbalimbali za kimaisha...
Serikali kwa kushirikiana na sekta binafsi wanapaswa kuchukua hatua endelevu kutatua tatizo la ukosefu wa ajira ili kukuza uchumi.
UKOSEFU WA AJIRA NI NINI?
- Ni ile hali ya mtu kutafuta kazi/ajira bila kuipata.
Tanzania unemployment rate (www.theglobaleconomy.com)
Ukosefu wa ajira ni moja...
Najua utakuwa umeingia na kusoma nakala hii sababu ya kichwa cha hii nakala, lakini ukweli ni kuwa ingawa tehama ina leta maendeleo lakini pia katika upana wake inasababisha upotevu wa ajira kwa wananchi, tunajua mashine na mifumo imekuja kurahisisha ufanyaji kazi wa mambo mengi na pia kubadili...
Na Dibwi
Tafiti mbalimbali duniani, zimeonyesha Bara la Afrika na Asia kuongoza kwa kuwa na utitiri wa Mashirika na Taasisi nyingi hasa zile za Umma, kutozingatia suala la kuajiri watendaji walio na elimu, utaalamu na uzoefu mahususi kwenye nafasi husika kwenye maeneo ya kazi.
Hali hii...
UKOSEFU WA AJIRA UNAVYOTOA FURSA KWA WAPIGAJI (MATAPELI)
Kila mwaka vijana maelfu kwa maelfu wanahitimu vyuo vya kati pamaoja na vile vya elimu ya juu. Kundi hili ni wale wahitimu wa fani mbalimbali kama vile mafundi, walimu, madaktari, wahasibu, mahakimu, nakadharika. Wahitimu hawa, wanahitimu...
Tanzania ni miongoni mwa nchi duniani ambayo imekuwa na changamoto ya vijana kukosa ajira mara baada ya kuhitimu masomo. Kumekuwa na mitazamo mingi juu ya tatizo hili ambapo wengine wamefikia hatua ya kusema ni bomu linalojiandaa kulipuka.
Kwa vyovyote vile kuna haja ya kulipa kipaumbele suala...
Tanzania ni miongoni mwa nchi duniani ambayo imekuwa na changamoto ya vijana kukosa ajira mara baada ya kuhitimu masomo. Kumekuwa na mitazamo mingi juu ya tatizo hili ambapo wengine wamefikia hatua ya kusema ni bomu linalojiandaa kulipuka.
Kwa vyovyote vile kuna haja ya kulipa kipaumbele suala...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.