Sisi watu wenye maisha magumu, acha tuteseke tu kwa sababu tumekosa akili na maarifa. Sisi ni masikini kwa sababu hatuna akili.
Kwanza sisi utunzaji wa vitu hatujui, kupangilia budget hatujui na huwa tunaiangalia leo kesho hatuna habari nayo, uzazi wa mpango ndio kabisa hatuna habari nao.
Na...