Growing up tumekuwa kwenye situations mbalimbali, ambazo hatukuzipenda. Labda ugumu wa maisha ya nyumbani, tabia za ndugu jamaa na marafiki, mifumo ya maisha, uraibu, nk.
Wengi wetu tulijiapia kuwa hatutojikuta kwenye hizo situation na kuna ule msemo, "labda nirogwe". Ila sooner enough tumekuwa...