Habari 👋🏾
Nimefanya tafiti katika vipindi, nyakati na maeneo tofauti na inaonekana wazi ushawishi wa dini unapungua kwa kasi kubwa sana.
Inaonekana wengi kutokuwa na hakika katika dini mbalimbali na wengi wao bado wanajaribu kujionesha katika ngwe hiyo kwa sababu kadhaa ikiwemo kutokataliwa na...
Nchi za Afrika zimejiwekea mikakati ya kiuchumi kulingana na maslahi na hali halisi ya kila nchi. Lengo kuu ni kufikia maendeleo endelevu na kuhimiza ukuaji wa kiuchumi ambao unafaisha watu wengi. Benki ya Maendeleo ya Afrika inakadiria kwamba kiwango cha ukuaji wa uchumi wa Afrika kwa mwaka huu...
UTAWALA BORA NI KICHOCHEO MUHIMU KATIKA KUKUZA UCHUMI NA KUVUTIA UWEKEZAJI
Utangulizi.
Nianze Makala haya Kwa kutoa tafsiri/maana ya utawala Bora ambao naumaanisha katika makala yangu hii ya Leo .
Utawala Bora ni uendeshaji wa Serikali au taasisi unaofuata misingi ya...
Hapa leo tuelewane, maana hata kwenye kupinga hua tunakua pamoja.
Tunahitaji Rais Akae Miaka 20 ili tuweze kupiga hatua ya kweli.
Miradi yenyewe ni kumalizia miundomsingi na miundombinu yote kama reli ya kisasa SGR, Miradi mikubwa ya barabara inayoendelea nchi nzima, Bwawa hilo kubwa la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.