ukubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ukubwa wa mti wa sequoia

    Huu ni ukubwa wa Mti wa sequoia ikilinganishwa na binadamu. 🌲 Kile ukionacho mbele yako sasa ni kiumbe hai kikubwa zaidi Duniani na jitu kubwa zaidi ndani yake.. mti mkubwa wa sequoia. Sequoia inachukuliwa kuwa kiumbe hai kikubwa zaidi ulimwenguni na miti iliyoishi kwa muda mrefu zaidi...
  2. M

    Sebule yenye ukubwa wa futi 14 kwa 13 zinaingia tiles box ngapi na bajeti yake yote

    Wakuu naomba kujua sebule yenye vipimo hivo inaingia tiles box ngapi? Na nahitaji tiles ambazo ni affordable kwa mlala hoi lakin imara urembo SIO kipaumbele, vilevile gharama za ujenzi zote pamoja na mafundi Karibuni kwa mchango wenu wadau
  3. U

    Kisiwa cha Greenland kina ukubwa zaidi ya mara mbili ya ukubwa wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Wadau hamjamboni nyote? Takwimu sahihi kabisa Kisiwa cha Greenland kina ukubwa wa skwea kilometa milioni 2.175.600 Jamhuri ya muungano wa tanzania Ina ukubwa skwea kilometa laki 947,300 Usiku mwema
  4. Full Time: CS Constantine 2-1 Simba Sc | CAF confederation cup| December 8, 2024

    Match Day , shirikisho Vikosi vya leo Simba Constantine MPIRA USHAANZA 1900hrs kwa mida ya Tanzania kipindi cha kwanza kimeanza 2' Constantine 0-0 Simba 24' GOOOAL M Hussein anafunga goli Cs Constantine 0-1 Simba 29' Camara yuko chini akipatiwa matibabu baada ya kugongana na machezaji...
  5. Ukubwa au ukongwe wa Simba na Yanga ni upi?

    Sijawahi kuelewa ukubwa wa hizi timu mbili za Simba na Yanga, Hivi timu kubwa zenye miaka 90 zinashindwaje kujenga uwanja hata mdogo Tanzania yenye ardhi kubwa na gharama ndogo za ujenzi?! Au umasikini wa watanzania unatafsiriwa kwenye hizi timu pia? Huwa nasikia watu wanaziita timu kubwa au...
  6. Fahamu kwa kina ujenzi wa kituo cha mafuta kutokana na ukubwa wa eneo pamoja na gharama zake

    Wana JF Habari za siku nyingi kidogo wakuu? Sasa mliopo Zanzibar nimewafikia kama una changamoto ya kimazingra katika Petro station ⛽ Yako unataka kituo kivutie wateja wako Kwa madhingira kuwa mazuri zaid. Ama unahitaji kujenga au kulekebisha kituo chako Karibu tushauliane tutoe kitu kizuri...
  7. Principle: Fanya kitu kidogo kwa ukubwa

    Kama una biashara ndogo, na ukaifanya kwa ukubwa itakulipa. Kama una biashara ya kuchoma na kuuza mahindi, unatakiwa uongeze ukubwa kwa kuongeza kijiwe kingine na si kukiboresha kile cha mwanzo. Kama ulikuwa na bucha, hakuna haja ya kuiboresha ile bucha,bali fungua nyingine uendelee kuuza n.k...
  8. Plot4Sale Nauza kiwanja Goba Kibululu kwa million 10

    Kina ukubwa wa 25x20
  9. Fahamu kwa kina ujenzi wa kituo cha mafuta kutokana na ukubwa wa eneo pamoja na gharama zake

    Habari zenu Wana JF? Poleni na hongereni Kwa majukum ya kulijenga Taifa na uchumi wetu Kwa ujumla. Leo nipo hapa kuzungumzia jambo Moja tu. Jambo lenyewe ni kumekuwa na malalamiko ya wamiliki wa vituo vya mafuta. Kulalamikia mifuniko ya kiSasa ya Tank la mafuta MANUAL COVER inayokaa juu ya...
  10. N

    Plot4Sale Eneo ukubwa wa nusu eka linauzwa Mkuranga, Pwani

    Eneo lipo Mkuranga mjini-Jirani na kituo cha Mafuta cha Panoni, kama mita 600 kutoka barabara ya lami. Panafaa kwa kuweka makazi. Panafika kwa gari, umeme na maji ya Dawasco vipo mita chache. Eneo lina miti mbalimbali kama: 1. Minazi (20)na michikichi-imepandwa pembezoni kama fensi 2. Miembe...
  11. Fahamu kwa kina ujenzi wa kituo cha mafuta kutokana na ukubwa wa eneo pamoja na gharama zake

    Ndugu mwana JF, Napenda kuzidi kuwakumbusha kuhusu biashara ya mafuta saivi ndio biashara inayoshika hatamu Kwa Kasi sana. Biashara ambayo inakupa faida Kwa haraka bila mawazo kwani biashara hii ni nzur sana. Unaweza wekeza kituo 1 Cha mafuta ndani ya mwaka 1 ukawa na uwezo wa kujenga kituo...
  12. P

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Balili Bunda ukubwa 29 kwa 28, bei 5.5milion

    Kiwanja Kiko balili mjini wilayani bunda mkoani Mara. Kina Ukubwa wa 29 KWa 28 KWa kuhesabu hatua au tambo za miguu na kimepimwa na halimashauri.mnunuzi atalazimika kufatilia offer kisha hati. Kiko karibu na kanisa la lango la uzima pamoja na hospitali ya mkombozi.pia huduma za shule kuanzia...
  13. Ukubwa wa pua sio wingi wa kamasi. Ukraine anaendelea kumuandama Urusi

    Ukraine imepeleka misaada kwa wananchi wa Russia waliotelekezwa. Hakika Rissia naye kaonja joto la jiwe. Kazi haijawa nyepesi kama alivyodhani. Kuna siku ataamua kubwaga manyanga tu. Putin hana uzoefu na vita ana ubabe wa kwenye media tu sasa vi Ukraine vinamshika sharubu Military aid...
  14. E

    Plot4Sale Viwanja na Mashamba vinauzwa sehemu mbalimbali Dar na Pwani

    Kazi kazi Nina nyumba Kali inauzwa iko Tabata Kisukuru Ina hati Tsh250ML Nina kiwanja kinauzwa Tabata Kisukuru ukubwa ni mita 20x30 ila nafasi ya kuongeza kubwa wa eneo ipo, kina faa kujenga Sheli sababu barabara kubwa ya lami itapita hapo siku sio nyingi, bei Tsh 50ML. Nina kiwanja maeneo...
  15. Fahamu kwa kina ujenzi wa kituo cha mafuta kutokana na ukubwa wa eneo pamoja na gharama zake

    Mwana JF Leo nipo hapa kukuoneaha (kukuambia) umuhimu wa kuweka Beam chin kabla kuzika Tank la mafuta. Ukiweka bim inakusaidia Kwa 90% kuwa na uhakika wa Tank lako kutokupanda juu au kuibuka. Hakikisha unaweka bm yenye chuma za kuanzia mm16 mpaka mm25 kulingana na ukubwa wa Tank Kunja huk za...
  16. DODOMA: Natafuta Godown kubwa lenye ukubwa wa kuanzia Square Metres 800 mpaka 1000

    Salaam; Wanajukwaa poleni na mihangaiko ya kila siku, natafuta Godown kubwa kiasi kwa ukubwa wa kuanzia Square metre 800 mpaka 1000, Nikipata maeneo ya kuanzia Nala na singida Road itapendeza sana. Mwenye Offer nzuri basi aje PM tuongee Biashara. Namba zangu 0710 782874 na 0693 784003 NB...
  17. Ukubwa wa nyumba ni 90m². Nisaidieni kujua makisio ya gharama hadi kuimaliza

    Nisaidieni kujua makisio ya budget ya nyumba hii. NOTE: *Haina fence *Vyumba vya kulala 2 *Bati migongo mipana gauge 30 *Finishing ya skimming, vinyl, w.guard *Gypsum brd, tiles, sitting toilets, kitchen set up, etc Karibuni.
  18. M

    Kwa ukubwa wa usajili wanaoufanya Simba Sc kwa msimu wa 2024/2025, natangaza rasmi kurudisha kadi yangu ya Yanga na kuhamia Simba Sc

    Shalom shalom Mimi kama mkono mmoja pasi na kushurutishwa napenda kuitangazia jamuhuri ya watanzania kuwa nairudisha kadi yangu ya Yanga Sc na rasmi sasa hivi nakuwa mshabiki kindakindaki wa wana lunyasi Simba sc. Umafia unaofanywa na bilionea Mo na C.Magori si wa kitoto. Wachezaji wanaoletwa...
  19. Tufanye M23 wangekuwa nchi nyingine ukubwa wao ungekuwa upi?

    Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) ambayo ukubwa wake ni takriban sawa na Ulaya Magharibi, ni nchi kubwa katika eneo la Jangwa la Sahara. DR Congo imejaliwa kuwa na maliasili za kipekee, ikiwa ni pamoja na madini kama vile kobalti na shaba, uwezo wa uzalishaji umeme kwa maji, ardhi kubwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…