ukubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. britanicca

    Nimeishi Urusi najua Tamaduni zake, pamoja na Ukubwa wa Jeshi lake Rushwa ndiyo inawafanya wasikamilishe malengo kwa muda

    Nimekuwa Russia tokea mwaka 2008 hadi 2011 alafu nikaenda Peru Na baadae kurejea Russia 2013 Russia ina rasilimali nyingi sana, ardhi hakika imebarikiwa. Russia ina historia, Russia ina utamaduni. Russia ina watu washindani wenye kuichangamsha dunia kwa kuipa ladha. Tatizo kubwa linaloiumiza...
  2. Kichwamoto

    Hivi Marioo anafahamu ukubwa wa ushawishi na nguvu yake kimuziki hasa Amapiano?

    Habari Wana JF. Ukiacha kwamba huyo dogo kajipambanua na Utopolo kwenye remix ya Utopolo Tamu. Dogo anajua sana na ni mfalme wa amapiano hapa TZ, chagizo langu kwa huyu dogo nwenye kunipa raha na vibes shibishi nafsi, hivi anafahamu hazina yake kwa hii niche ya muziki wa amapiano? Na anajua...
  3. kavulata

    Ukubwa wa Manara dhidi ya Ahmed Ally waonekana bayana

    Mechi ya Simba dhidi ya Asec Mimosas Simba walipewa nafasi ya watu 35,000 kuingia uwanja wa Mkapa kuangalia mechi lakini waliingia mashabiki 20,0000 TU. Mechi Yao dhidi ya RS Berkane wamepewa tena idadi ya mashabiki 35000 kwenda uwanjani. Hii ya Sasa inamtesa Ahmed Ally msemaji wao...
  4. Gordian Anduru

    Kabati la makombe Simba SC

    Ukibahatika kufika kwenye kabati la makombe ya klabu ya Simba utakutana na makombe yafuatayo 1. KOMBE LA LIGI TANZANIA BARA ambalo YANGA pia analo hata Cosmopolitan, mseto, Pan Africa, Tukuyu Stars, Coastal union, Mtibwa Pia wamechukua 2. KOMBE LA LIGI YA MUUNGANO ambalo hata YANGA, Pan...
  5. Lycaon pictus

    Korido, sebule, chumba, jiko, master, dining nk, vinatakiwa kuwa na wastani wa ukubwa kiasi gani?

    Eti wakuu hivi vitu pamoja na milango, madirisha na umbali hadi darini kwa wastani unakuwa kuwaje. Maana nasikia hadi ngazi zina kipimo chake cha urefu na upana.
  6. Harrykany

    Wazoefu wa mambo ya kuchezesha games, mtaani naomba msaada

    Nafikilia kufungua pes game ya mtaani, vitu gani niandae kwa jili ya kuanzia sina mtaji mkubwa, naomba mwenye uzoefu anishauri nitumie nini hasa au pc za ukubwa upi ili niwe na mwanzo wenye uangalau, na PC izo nataka nitafute mtaani, sio shop, coz Huku kwetu wanapenda PES so FIFA
  7. 44mg44

    Wadada mliowahi kudate na wakaka wakimasai wanaouza dawa za kuongeza ukubwa wa dushe njooni mnijibu maswali haya

    1.Huwa ni kweli kuwa wanamitanange mizito na minene? Maana wakiwa wanauza dawa zao huwa wanasema zinaongeza ukubwa wa dushe. 2.Kimapenzi wanarizisha? 3. Hawaumizi mpaka inakuwa kero?
  8. Frustration

    Kampuni za simu zimepunguza vifurushi vya internet tena

    Vodacom na Tigo walikuwa na kifurushi cha @1000tsh dk 100, sms 100 na 1Gb 3days au kwa @1500 tsh kwa 7days. Sasa hivi voda cha 3days wameweka 800MB na tigo 750MN. Airtel ndio wameua zaidi in short jionee mwenyewe. Najua serikali ina mkono au baraka zake hapa.
  9. Merci

    Nauza Kiwanja Mabwe Pande karibu na Mto Mpiji kina ukubwa wa Mita 25 kwa 20

    Nauza kiwanja chenye ukubwa wa mita 25 kwa 20 kilichopo Mabwe Pande karibu na mto Mpiji kwa Tsh 5M. Umeme upo tayari kiwanjani na pia Kiwanja hiki hakijapimwa. Nipigie 0736770052
  10. Gnyaisa

    SoC01 Umewahi kujiuliza Ubongo wa binadamu una ukubwa wa GIGABYTES (GB) ngapi? Fuatilia

    Binadamu ni kiumbe aliyejaliwa uwezo mkubwa wa kufikiri na kupambanua mambo ikiwa ni pamoja na kupambana na changamoto mbalimbali za maisha. Amejaliwa uwezo wa kubadili changamoto yoyote iliyo mbele yake kuwa fursa yenye kumletea furaha, faida na maendeleo katika maisha yake. Mtaalamu wa...
  11. M

    Ninaanza kutumia solar badala ya umeme nyumbani

    Salamu Wakuu, Je, ninahitaji solar power yenye ukubwa gani inawasha Tv, kingamuzi, pasi, fridge na taa 5? Nimechoka luku. Naomba kufahamishwa tafadhali
  12. Page 94

    Waandaji wa ASFC: Uchaguzi wa Uwanja wa kucheza uwe kwa kuzingatia Ubora na Ukubwa

    Kwanza nawapongeza kamati mahususi kwa ajili ya Uandaaji wa Kombe la Shirikisho maarufu kama Azam Federation Cup. Hakika kila mwaka kuna maendeleo kadri ambavyo linazidi kusonga mbele. Hakika mnazidi kufanya soka la Tanzania lizidi kupiga hatua mkishirikiana na TFF. Lakini pamoja na jitihada...
  13. B

    COVID-19 na ukubwa wa tozo zilizopitishwa Bungeni haviendani, uzalishaji umeshuka

    Unapokabiliwa na ugonjwa Kama covid 19 unawafanya wananchi wako wengi kutumia muda wao kwenye mambo yafuatayo; 1. Kuhudumia wagonjwa, Kuchukua taadhari za afya ikiwemo kuacha kufanya kazi kwa waliopo kwenye majukumu yanayohitaji kukutana na watu wengi, Kutumia muda mwingi kwenye nyumba za...
  14. jingalao

    Hoja sio ukubwa wa tozo bali matumizi sahihi

    Kuna mdau amenihoji nini msimamo wangu kuhusu hizi tozo au tuseme sakata la Tozo. Nitamjibu bila unafiki... Mimi ni muumini wa nchi kujitegemea na kujiendesha kikamilifu kwani hiyo ndio maana kamili ya uhuru. Haiwezekani kwa miaka yote hiyo tangu uhuru tuendelee...
  15. K

    Rais Samia, kujua ukubwa wa tatizo kutasaidia kuliponya; kundi la wanasiasa liliumizwa sana

    Nianze hapo. Kumeibuka taswira halisi na Kali baada ya kugusia Katiba Mpya na mikutano ya siasa. Ni kama imeficha mema yote uliyofanya Kwa Siku 100 ulizokaa madarakani. Sifa zote ulizopata zimefichwa. Mama yetu mpendwa hio ndio taswira ya ukubwa wa tatizo lililopo. Watakuja makada na washauri...
Back
Top Bottom