Tulikuwa kwenye hafla moja ya kikazi hapo dar, maafsa wote tulialikwa kwenda kushiriki na kutoa hoja za kimijadala.
Nilikula suti yangu kali na moka za kuchongoka, huku kakitambi nacho mashallaaah, na nyuma nalo wowowo limo basi nikawa nanesa tu, Singida dodoma, Singida Dodoma, Weweeee...