Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa anashiriki akiwa Mgeni Rasmi kwenye Mkutano wa 'Future Ready Summit ambao ni tukio la kila Mwaka linalowakutanisha Wadau mbalimbali wa Teknolojia na Washirika wa Kimkakati ili kutafakari suluhisho katika kuchochea maendeleo ya Teknolojia.
Waziri Mkuu, ameongozana na...
Nimepita maeneo flani nmekuta Graduation ya kijana wa kiume sherehe kama harusi hadi kuna MC ivi kweli mtoto wa kiume anafanya ivo.
Nikikumbuka 2017 nilitoka kwenye Graduation nikaenda kucheki game ya Man Utd kama hakuna kilichotokea.
Pamoja na promo kubwa iliyofanyika kupromote makala ambayo hata Mtibwa wameshafanya, mwitikio umekuwa mdogo sana leo kiasi kwamba Yanga imeshindwa kujaza kaukumbi kadogo tu ka sinema.
Hawa watani zangu wanajua kujaza sahani za ubwabwa tu ila mengine yote yanawashinda.
Mgeni rasmi katika utoaji wa Tuzo hizi ni Balozi Ombeni Yohana Sefue.
1. Tuzo ya Mafanikio ya Maisha katika Uandishi wa Habari (Life Time Achievements Award)
Tido Mhando
Mshindi wa Tuzo ya Mafanikio ya Maisha katika Uandishi wa Habari
(Lifetime Achievement in Journalism Award - LAJA 2023)
2...
Kumbi yangu Kuu ya Kawe najua Kesho kutajaa wana Yanga SC wengi naogopa na hivi nina Mkanda Mweusi wa Combat Kung Fu naweza kusababisha Mtu ( mwana Yanga SC ) akaishia ICU Hospitalini au hata Mortuary kwa Kichapo Tukuka nitakachokitoa.
Kesho GENTAMYCINE nataka kwenda katika Ukumbi ambao una 90%...
Mbunge wa Viti Maalumu (CCM), Janejelly James ameishauri Serikali kuandaa eneo maalumu la viongozi kupumzika baada ya kazi akidai kuwa hivi sasa hali imebadilika kwa kuwa viongozi wameondolewa raha ya faragha na kusababaisha waonekane hawana maadili.
Ukumbi mpya wa KIMATAIFA Upo Masaki Dar wa mikutano na matamasha unaitwa The super dome
una kila kitu ndani yake
Fixed sound system
LED Screen
Stage
Fixed Lights
Fixed Camera
Tables and chairs
VIP rooms
Moja kwa moja kwenye mada kichwa Cha habari kime jitosheleza.
Kwa uzoefu wangu hakuna mahali mwanamke anapatikana kirahisi Kama harusini na msibani.. ukumbini unaweza pata pisi Kali kwa ucheshi tu.
Hakikisha umetupia code classic koti na shati na ikiwezekana tupia miwani uwe na muonekano wa...
Serikali kupitia Wizara ya Fedha na Mipango imeanzisha Kongamano la Kodi Kitaifa litakalowashirikisha wadau mbalimbali ikiwemo Sekta Binafsi ili kajadili namna ya kuboresha Sera za Kodi, kuchochea ukuaji wa uchumi, biashara na uwekezaji nchini.
Hayo yameelezwa na Kamishna wa Sera kutoka wizara...
Ndugu wadau nimeleta uzi huu ili mimi na wale wote wanao ifahamu vizuri hii fursa. Maana kila kukicha kuna sherehe kuanzia birthday mpaka harusi na mikutano.Nina maswali kadhaa;
1. Ukubwa(sq metres) za ukumbi unao beba watu 100.
2. Parking itakayo takiwa kuachwa kwa angalau ukumbi au garden...
MATOKEO KENYA: MSAFARA WA NAIBU RAIS RUTO NA MKEWE KUELEKEA BOMAS MUDA HUU
Naibu Rais William Ruto na mkewe Rachael Ruto wameondoka nyumbani kwao Karen kuelekea eneo la Bomas ambapo Tume ya Uchaguzi, IEBC itatangazia Matokeo ya Urais.
Taarifa ya Mwenyekiti wa IEBC, Wafula Chebukati...
Katika kipindi cha Michezo ya Olimpiki ya Walemavu ya Majira ya Baridi, maonesho ya taa yamefanyika kwenye ukumbi wa kuteleza kwenye barafu kwa kasi wa kitaifa.
Amani imetoweka kabisa.
Mita chache toka napokaa wamejenga ukumbi wa kufanya sherehe yaani ikifika ile jumamosi basi amani inatoweka ni kelele mtindo mmoja.
Huyu mama wa serikali za mitaa nilikua namheshimu sana lakini kwakweli amenikera kuendekeza hili jambo.
Hatulali makelele mtindo mmoja...
Salaam Wakuu,
Leo Jeshi la Wananchi Tanzania, linafanya Mkutano na Waandishi wa habari. Jeshi la Wananchi Tanzania(JWTZ) kutoa Tamko Maalumu 30 Novemba, 2021
Nipo Nimefika kwenye Ukumbi huu kuwajuza kila kitakachojiri.
=====
UPDATES: 1022hrs
======
Waandishi wameshafika eneo la tukio
1034...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.