Ndugu zangu Watanzania,
Nawaombeni kwa unyenyekevu na heshima kubwa sana kila mmoja kwa imani yake tupige Magoti na kujinyenyekeza mbele za Mwenyezi Mungu kumuombea Mtanzania Mwenzetu Profesa Mohammedi Janabi,mzalendo wa kweli aliyejitolea na kujitoa Maisha yake katika kulitumikia Taifa letu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.