ukweli

Ukweli Roach (born September 22, 1986) is an English actor best known for playing the role of FBI psychiatrist Dr. Robert Borden, on the American television series Blindspot.

View More On Wikipedia.org
  1. UHURUWANGU

    Ukifuta Namba Yangu, Niambie Ukweli – Usitoe Visingizio!

    Ukitaka kufuta namba ya mtu, usiseme "simu iliibiwa" au "nilipoteza namba." Kuwa mkweli: "Nimefuta namba yako kwa sababu niliona huchangii maendeleo yangu kwa vyovyote." Ukweli unaokoa muda na heshima! Je, unadhani ni sawa kufuta namba ya mtu bila taarifa, au ni muhimu kutoa maelezo?
  2. BWANA WANGU

    Hakuna kitu inauma kama kazi za kujitolea

    Wanangu majobless, Hakuna kitu inauma kama kazi za kujitolea. Yani unakuta hadi mwaka unakata, ukiangalia umri unaenda dah noma sana.
  3. GENTAMYCINE

    Kwa ambaye hatamuelewa hapa Mchambuzi Oscar Oscar kwa huu Ujumbe wake Murua na wa Ukweli kabisa basi akapimwe Akili Mirembe haraka sana

    "Kama kweli mmepeleka Basi lenu Bunju, basi hata wale Wahuni wa juzi Uwanjani kwa Mkapa mliwatuma nyie" Oscar Oscar. Huenda Oscar Oscar nae kausahu ule Uchambuzi kuwa Wapumbavu na Vibaka wengi Kariakoo wanatoka huko huko.
  4. GENTAMYCINE

    Tunaacha kuwaambia ukweli Mashabiki wetu Yanga SC kwanini tumefukuzwa Avic Town tunahangaika kwa Kuwazuga na Sakata la Derby kutokuchezwa

    GENTAMYCINE narudia tena kusema kwa kujiamini kabisa kuwa TUMEFUKUZWA AVIC TOWN kutokana na Madeni kuzidi Ok?
  5. Mpigania uhuru wa pili

    Karia uongozi wa TFF umemshinda huo ndo ukweli

    Kiukweli ukiangalia matukio mengi ya mpira kwa Tanzania chanzo ni uongozi mbovu tunafanya mambo kwa kubembelezana sana hakuna professionalism kabisa Ligi ya series A wanaadhibu timu bila kujali ukubwa juventus walishashushwa daraja na ac milan kukatwa point Mpira wetu ili uendelee tunatakiwa...
  6. sinza pazuri

    Ukweli usemwe: Simba wamekimbia mechi, hakuna mtu wa Yanga aliwazuia kuingia uwanjani

    Huu ndio ukweli ambao utamuweka kila mtanzania huru. Hakuna kiongozi yoyote wa Yanga aliyezuia Simba kuingia uwanjani. Simba walifika nje ya uwanja wakiwa na mabasi yao mawili moja lina wachezaji na technical bench. Na bus lingiine likiwa na wazee pamoja na wanyama kama mbuzi, kondoo na kuku...
  7. J

    Ukweli huu ukizingatiwa, basi suluhisho la kugombania Jerusalem na Dome of the Rock itapatikana

    Nasihi tumia dakika 7 tu za urefu wa video hii utapata ukweli wote. Halafu ndiyo utajua kwanini waarabu wa Saudi Arabia wakiongozwa na MBS wameanza kuyasitukia magundisho ya Quran na Sunnah zake kuwa ni kikwazo cha maendeleo na ustawi wa jamii za binadamu...
  8. Binti Sayuni03

    Nimekuwa nikiumizwa na historia yangu ya nyuma natamani kumwambia ukweli mpenzi wangu lakini nahofia ataniacha

    Habari za wakati huu wana JF ni matumaini yangu mu wazima wa Afya. Bila kupoteza muda twende kwenye jambo husika tajwa hapo juu. Mimi ni msichana, kipindi nasoma kuna maisha nilikuwa naishi hapo nyuma hayakuwa mazuri nadhani ni kwasababu ya utoto na kutojitambua pia, ama ni ile foolish age pia...
  9. chizcom

    Tuseme ukweli kazi ya urubani imekuwa rahisi sana ukilinganisha na zamani walivyokuwa wanaheshimika

    Urubani wa siku hizi hata usiyejua unaweza kusomea ili mradi zile kanuni ambazo utafata kwenye elimu zinazofundishwa. Ukilinganisha na zamani yani ndege nyingi zilikuwa zinaitaji marubani zaidi ya watu mpaka wanne kutegemea na aina gani ya ndege. Ukilinganisha na leo yani kila kitu kimewekwa...
  10. Dhul Qarnainn

    "Wake Wengi Katika Uislamu: Hekima, Masharti na Ukweli Usiojulikana!"

    Katika mjadala wa ndoa ya wake wengi, Waislamu mara nyingi hujadili aya ya Qur’an: "Na mkikhofu kuwa hamtoweza kufanya uadilifu kwa mayatima; basi oeni waliokupendezeni katika wanawake wengine; wawili au watatu au wanne. Lakini mkikhofu kuwa hamtoweza kufanya uadilifu, basi mmoja tu."...
  11. Meneja Wa Makampuni

    Wasanii wa Bongo hawawezi kuimba LIVE (ukweli sio tusi)

    Kuimba live sio kurukaruka juu ya jukwaa. Wasanii wabongo mnarukaruka sana kwenye jukwaa. Ushauri mchungu mkifika kwenye jukwaa tulizeni akili connect akili yako na wasikilizaji. Imba kutoka moyoni na tumboni na usiimbie kooni. Toa sauti toka tumboni umiliki wimbo uwe wako. Angalieni...
  12. GENTAMYCINE

    Nimeichungulia hii mahala na imenishtua kwa kiasi fulani hivi je, ina ukweli wowote kwa Wahusika wa hilo Eneo?

    Kwamba katika Kitabu kitakatifu cha Dini ya Kiislamu cha QURAN Yesu Kristo katajwa sana tu kuliko Mtume Mohammad?
  13. M

    Tanzania Deserves Better: Why Samia Suluhu’s Incompetence Spells Doom in 2025

    In the wake of Kenya’s youth uprising in June 2024, Tanzanian youth stand at a crossroads. The call for the mother of all protests grows louder, fueled by a generation suffocating under economic stagnation, corruption, and a leadership that stumbles in the dark. At the helm is President Samia...
  14. S

    Karma ni ukweli na karma hulipa kwa haki jifunze kuishi vizuri na watu

    swala la karma ni kwamba Kila tendo tunalofanya lina matokeo yake. Ukimuumiza mtu leo, huenda ukasahau, lakini ulimwengu hautasahau. Maumivu uliyosababisha yanaweza kurudi kwako kwa njia usiyoitarajia—labda kupitia mtu mwingine au wakati usioutarajia. aise Maisha ni duara, na unachoweka...
  15. LIKUD

    Jamaa kaongea ukweli mkubwa sana kwa wanao chapiwa wake zao

    Jamaa yako akichapiwa mpe ujumbe huu utamfariji sana
  16. Ghayo TheMongo Barbarian

    Ukweli mchungu: Dhana ya kusoma uwe upate kazi na uwe na maisha mazuri inapotea na kufutika kabisa

    Mzuka Wana jamvi.... Mika ya nyuma na kipindi nipo mdogo kulikuwa na wimbi kubwa la Wazazi na Jamii kwa ujumla wakihamasisha watoto wasome ili waukimbie umasikini wapate kazi na wawe na maisha mazuri , na ilikuwa unatishwa kweli kweli kuwa ukizingua tu maisha yatakushikisha adabu. Baada ya...
  17. LIKUD

    Ukweli mchungu : Wakristu na waislamu wote duniani ni ma " Apartheist"

    Apartheism is a lack of interest or concern whether or not God exist. Ukitazama matendo ya watu wanao jiita wakristu na waislamu utaona kabisa yanasadifu " Apartheism" . Matendo yao hayaonyeshi concern wala interest kwamba Mungu yupo. Ingekuwa kinyume chake basi kusingekuwa na : wazinzi...
  18. Pascal Mayalla

    Inawezekana ni Kiburi na Jeuri or Real Busy? Wasaidizi wake hawajamwambia ukweli wa ubatili wa Katiba na Sheria ya Uchaguzi?,Tufanye nini kupata Haki?

    Wanabodi, Naomba kuanza na angalizo! Simple Mind Discuss People Ordinary Mind Discuss Events Great Minds Discuss Ideas。 Hili ni moja ya mabandiko yangu ya kiutu uzima,ya ku discuss ideas, hakuna kutaja majina,wala ku discuss watu!。 Naomba wachangiaji tujadili hoja tuu ya msingi bila kutaja...
  19. rodian

    Ukweli wa kuvutia, hekima ya Madiba!

    “Baada ya kuwa Rais nilimuomba msindikizaji wangu twende kwenye mgahawa kwa chakula cha mchana, tukaketi na kila mmoja wetu akauliza anachotaka. Juu ya meza ya mbele, kulikuwa na mtu anayesubiri kuhudumiwa. Alipohudumiwa, nilimwambia askari wangu mmoja: nenda kamuombe bwana huyo ajiunge nasi...
  20. M

    review ya ukweli na uwazi au uongo

    napenda fahamu kweli changamoto zilikuwepo au mwandishi katoa taarifa sio sahihi
Back
Top Bottom