Ukweli Roach (born September 22, 1986) is an English actor best known for playing the role of FBI psychiatrist Dr. Robert Borden, on the American television series Blindspot.
Wanasema msanii ni kioo cha jamii na kama unavyojua kioo hakibuni na kutengeneza taswira kutoka kusikojulikana bali huonesha taswira ya kitu kilekile kilicho mbele yake. Kwa lugha nyepesi ni kwamba kama msanii ni kioo cha jamii basi watuoneshayo kwenye muvi zao ni yale yale yaliyopo kwenye jamii...
Ukubali, Ukatae, Huyu LISSU ni Gifted, Brilliant, ana akili Nyingi mnoo, ana upeo Mkubwa sana alafu Ndani yake ana Nguvu kubwa ya Kiroho.
Haingii Akilini Risasi 16 MTU anatoboa ,alafu bado umchukulie poaa, watu Huwa wanaondoshwa na Risasi Moja au Mbili !!.
LISSU hatua alofikia ni ASOOGOPA...
Huu ni uchunguzi wangu binafsi.
Ni kabila kubwa kabisa kusini yote na hata maneno ya kimakonde utayakuta kwenye lugha zao bila wenyewe kujua kuwa ni maneno ya kimakonde. Mfano, kule Kilwa yule ndege mkubwa mweusi mwenye mdomo mwekundu (ndege Ngoma) wanamuita 'nditi'. Kumbe hilo neno ni la...
RIP HM Aga Khan, Nimeshangazwa sana na magazeti ya Kenya walivyosema kuhusu historia, They didn't mention that the HM aga Khan IV alitawazwa akiwa Dar es Salaam wakati baba yake alivyofariki.
Lakini magazeti ya Kenya yakiwamo Mwananchi hayasemi hivyo ila main media stream ya dunia nzima...
Wasalamu!
Humu ndani kunakuwaga na mijadala ya hapa na pale.
Ipo mijadala inayogusa hisia za watu Moja Kwa Moja na kuamsha mihemko ya hasira zinazopelekea matusi na kutoa Lugha chafu na Kali.
Mijadala mtambuka kama ya Kijinsia, kidini, Mila na desturi n..k. ni baadhi ya midajala inayoleta fujo...
Salaam jamiiforum.
Kila siku zinavyozidi kwenda ndivyo ambavyo huwa tunajuana na watu mbalimbali, tukikutana safarini,mikutanoni, sehemu za ibada na maeneo mengi.
Watu hawa baada ya kufahamiana au kujuana kwetu wapo ambao hugeuka kuwa watu wa karibu na kutengeneza bond ama urafiki fulani...
Mabosi wa Yanga walishtushwa na uamuzi wa ghafla wa kocha Sead Ramovic ambaye aliomba kuvunja mkataba wake kisha jana Jumanne, Februari 4, 2025 akawaaga wachezaji na maofisa wengine wa timu akiwatonya kuwa amepata ofa nono huko Algeria.
Baada ya kuzungumza naye walibaini kuwa CR Belouizdad ya...
Nimeona baadhi ya movie kadhaa hasa za kinaijeria zenye content kuhusu maagano..
Sasa nakuja kwenu wakuu je maagano haya HUwa yanaukweli wowote ??
Yanaweza kwenda na negative impact kama yatavunjwa??
Natanguliza shukran
Tafsiri ya Kihoja ya Ndoto: Mwangaza wa Ukweli na Macho ya Ndani
Katika ndoto yangu, nilijikuta nikitembea kijijini kwetu, nikiona watoto wakicheza kwa furaha barazani. Wakati huo huo, kulikuwa na vijana kadhaa wamesimama, lakini mmoja wao alikuwa ameshika tochi, akiangaza mahali fulani kwa...
Ni rasilimali tu hakuna kingine! Wakubwa wa dunia huangalia faida kwanza kabla ya kuingia vitani!
Mgogoro wa Ukraine:
3 Feb, 2025 20:36
https://www.rt.com/news/612127-trump-demand-rare-earth-ukraine/
5 Feb, 2025 07:44
https://www.rt.com/russia/612197-ukraine-doesnt-control-minerals/...
JE KUNA UKWELI WOWOTE KWAMBA KIPATO CHA MWANAMKE KIKIONGEZEKA HUWA CHANZO CHA KUONYESHA DHARAU NA KIBURI?
Swali hilo linaweza kuwa na majibu aina mbili ndiyo na hapana kwa wakati mmoja.
kwa uzoefu wangu nimewahi kukutana na wanawake wengi sana ambao wanakipato kikubwa sana, elimu,vyeo, umaarufu...
“Tanzania ni moja ya Nchi 12 zitakazozindua mpango mahususi wa kitaifa kuhusu nishati, kupitia mpango wetu tunatarajia kuongeza kasi ya kuunganisha umeme nchini hadi kufikia 72% ifikapo mwaka 2030, ili kufanikisha azma hiyo ndani ya muda wa miaka mitano ijayo, tutahitaji uwekezaji wenye thamani...
Wazazi wakiafrika ni kama mmezubaa sana, mfumo wa uchumi ni zaidi ya kumsomesha mtoto na angojee ajira!.
Kuna jitihada fulani lazima zifanyike pia ndani ya familia kuhusu watoto wako na maswala ya uchumi.
kutokupata elimu ya uchumi walau kwa uchache inapelekea vijana waingie kwenye vitu vya...
Muda mfupi kabla ya kuondolewa kwa Mkuu wa Mkoa wa DAR es salaam nafsi za mteua na mteuliwa zitakuwa zinajiuliza maswali haya mawili
Mwanangu Chalamila kwanini umenigombanisha na wananchi ?
Hapana mama nilitaka wafahamu ukweli wafanye kazi nakufahamu kwamba huduma ya afya ni gharama kubwa na...
UKWELI MDOGO KUHUDU KASONGO.....
Muite Ngiri(Phacochoerus africanus) au
Warthog(tamka Wart-hog) au muite Pumba.
Wenyewe mmeamua kumuita Kasongo(si jina Rasmi)
Ni Mnyama anayepatikana kwenye Familia inayoitwa Suidae ambayo miongoni mwao Wamo Nguruwe Pori(Hogs na Pigs) na Nguruwe wa Kufugwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.