ukweli

Ukweli Roach (born September 22, 1986) is an English actor best known for playing the role of FBI psychiatrist Dr. Robert Borden, on the American television series Blindspot.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Ukweli haupingi Zanzibar ipo Kama hakuna Zanzibar mbona kuna Rais wa Zanzibar?

    Kama hakuna Zanzibar, mbona kuna rais wa Zanzibar? Anawakilisha nani?
  2. Ukweli usemwe kuwa na machawa ni raha sana

    Kama mzigo upo basi kuwa na machawa ni jambo la muhimu sana. Vita yako ni yao kazi yako kubwa ni kuwaweka kwenye payroll kuhakikisha flow ya cash haikati.
  3. Ukweli ambao unafichwa juu ya biashara ya utumwa Tanzania na Africa kwa ujumla

    Wasalaam wanajf Kama kichwa cha uzi kinavyosema , huu ndio ukweli watu wanapotoshwa miaka yote . Fuatilia hii clip hapo chini
  4. Pre GE2025 Upendo Peneza aeleza sababu za kuondoka kwake CHADEMA

    Dada anafunguka vibaya huko kuhusu mambo ya cdm. Anamuanika Mbowe hadharani. === Video: Mwananchi
  5. D

    Mwenendo wa Dunia & the Prophecy

    Habari: Kuna mataifa kadhaa duniani ambayo haya ndiyo ya kutizama sana Israel, Marekani, Vatcani ukiangalia vizuri Israel utagundua kuwa Kuna maandalizi makubwa ya kumkaribisha masihi kumbuka baada ya kifo cha Allen Sharon pm rabi yitzak kaduri alisema masihi atakua karibu kuijilia Israel...
  6. M

    Unaendelea kuteseka kwasababu kuna ukweli hutaki kuukubali

    UNATESEKA KWA SABABU KUNA UKWELI HUTAKI KUUKUBALI. 1. Kakuacha ila hutaki kukubali kuachwa 2. Hawana muda na wewe ila unalazimisha wawe nao 3. Njia siyo yenyewe ila unalazimisha iwe yenyewe. 4.Wameamua kwenda bila wewe ila unalazimisha uwe safari nao moja. KUNA UKWELI NI MGUMU KUUPOKEA...
  7. Kuna mwenye ukweli na hili???

    Nimepita instagram nimekutana na hili tangazo,sasa nikataka kujua channel zipi zinapatikana kwenye hicho king'amuzi ndio akanitumia oradea yote ya hizo channel kama imabyoonekana. Nikapiga picha nikaona mbona hili ni kama zogo la DStv??? Sasa huku tunaishi toauti hivyo labda mwenye uelewa au...
  8. Kwa dunia ya sasa mke wa kweli yupo kijijini au mjini ?

    Eti wakuu wanawake wa mjini wa kuunga unga kelele nyingi na njaa ya kutisha. Mjini bwana unapiganiwa hatari mwanamme mmoja inagombaniwa na wanawake wa nne maisha ni magumu sana. Ukiwa mtenda mabaya maisha yatakuwa mabaya.
  9. Ukweli usemwe hawa Wadudu wa Arusha hata sio wenyewe

    Kuna mada nimeziona nyingi kuhusu wadudu. Ukweli ni kwamba wanaotrend sana kama wadudu kipindi hiki sio wadudu. Kwanza hao ni wakuja tu huyo kenyoyo sio wa Arusha ni wa Mto wa Mbu. Wadudu OG ni wanaitwa Wadudu wa Dampo na wengie waliitwa Watato wa Mbwa ni madogo ambao labda wengine kwa sasa...
  10. Ukweli ni kwamba kama Nchi tunahitaji watu kama Tundu Lissu na Hayati Magufuli walioboreshwa

    Habari JF , TL na JPM personality zao zinafanana sana ukiachana tofauti zilizopo za kisiasa na ni wazalendo kweli kweli Hivyo Kiuhalisia hakuna zuri ambalo JPM alifanya Tundu lissu asingefanya ukiachana na matamshi ya TL kulingana na kuwa nje box . Vivyo hivyo hakuna baya ambalo JPM alifanya...
  11. Tuongee ukweli hapa 🤣🤣

    Tuongee ukweli kati ya Yammi na mke wa Barnabas nani mzuri be honest😜
  12. Ukweli mchungu

    Rais wa zamani wa Marekani Mh Barack Obama amesema watu wanaomzunguuka walikua wanamwambia ukweli anapokosea na pia kuhoji uhalali wa maoni yake anapokosea wala sio kumsifia kwa kila jambo,ni hatari watu unaowaamini wasipokwambia ukweli"
  13. SoC04 Tanzania Isiyo na Rushwa: Ni Ndoto au Ukweli?

    Tanzania Isiyo na Rushwa: Ni Ndoto au Ukweli? Utangulizi Tanzania ni nchi yenye fursa nyingi na uwezo mkubwa. Hata hivyo, nchi yetu pia inakabiliwa na changamoto kubwa ya rushwa. Rushwa ni kizuizi kikubwa kwa maendeleo yetu, kwani inakatisha tamaa uwekezaji, inasababisha ukosefu wa usawa, na...
  14. Ukweli kuhusu utajiri wa ndagu

    Habari zenu wakuu, natumaini mko poa. Kabla sijaenda mbali ningependa wataalamu na wazoefu wa hili suala la dangu za utajiri je lipo? Kama lipo linafanya kazi? Kama linafanya kazi stakeholder na maexpert wa field hii wajitokeze tujue hii kitu inaexit au scams tu. Asante kwa kuwakilisha, wazee...
  15. Ukweli Usemwe Ali Kiba hajawahi kuwa na Enzi ya Ufalme kwenye Bongo Flavor sana sana Amedumu kwenye Mziki wa Bongo tu

    Kulikuwa na wafalme kama hawa 1.. Joseph Mbilinyi SUGu, Mr II, 2proud, Taita 2. Professor J 3. JUMA Nature 4. Inspector Haroun 5. Ferouz 6. Mr. Nice 7. Mr. Blue 8. Mangwea 9. Afande Selle 10. 20 Percent 11. Fid Q 12. G.Nako na Clue yake yote 13. Dully Sikes (Huyu ndio Mr. Bongo Flavor) 14...
  16. Ukweli ni kwamba hakuna mwanamke anaweza kumwacha handsome man. Utamkwaza atakaa pembeni lakini baada ya muda mfupi atakuhitaji tena.

    Hello morning 🌞! Mimi ni miongoni mwa wanaume ambao nawasema vibaya wanawake mitandaoni nikiwatuhumu kuwa wanawake hawana upendo wa kweli. Mapenzi wameyageuza kama ajira. Lakini utafiti wangu wa hivi karibuni nimebaini kuwa mwanaume handsome hawezi kuachwa na mwanamke hata amkwaze kwa kiwango...
  17. Tuseme ukweli, kisiwa cha Mafia umeshawahi kusikia habari yoyote mfano kama Serikali zinavyofanyika mikoa mingine

    Leo baada ya kuona video ikionesha madhara ya kimbunga Hidaya ndio nikajiuliza hivi kisiwa cha Mafia kwa shughuli za Serikali kila siku zinazofanyiwa kikazi upande wa Mafia mbona kama ni kimya sana. Wajuzi
  18. Ukweli mchungu: Zanzibar tunaishi kwa kudra za Tanganyika!

    Japokuwa huu muungano ni kichefu chefu tu kwa wazanzibar lakini ukweli mchungu ni kuwa, bila huruma na upendo wa Tanganyika basi huenda Zanzibar tusiweze kutoboa hata miezi mitatu. Kuanzia Ulinzi, Usalama mpaka umeme tunapewa bureee na watanganyika. Kodi na rasimali za watanganyika ndio...
  19. M

    Ukweli mchungu

    Hamna haja ya salamu, ujumbe tu unatosha. Baada ya miaka 5 -10 watoto tunaowapeleka na kuwarudisha shule kwa mabasi ya njano watakuwa wanaongozwa na waliosoma shule za umma. Hii itakuwa ni kwenye nyanja zote za uendeshaji uchumi, jamii etc. Mtoto anapakiwa getini na kurudishwa getini. Anaishi...
  20. Chawa huwa hawashangilii wakisikia ukweli

    Basi bwana kwenye siku ya uhuru wa habari duniani, hapa ambapo mgeni rasmi ni Kassim Majaliwa, kipo kikundi cha Hamasa cha Mama Samia, ambao kifupi ni chawa. Sasa Mrisho Mpoto yupo hapa anatumbuiza. Cha kushangaza mwanzo wale chawa walikuwa wanashangilia sana kila wakisikia kitu kizuri...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…