ukweli

Ukweli Roach (born September 22, 1986) is an English actor best known for playing the role of FBI psychiatrist Dr. Robert Borden, on the American television series Blindspot.

View More On Wikipedia.org
  1. Mr Why

    Ukweli mchungu wa chanzo cha Mahusiano na Ndoa kuvunjika ni Wanawake kukataza Waume zao kuwa na Wanawake wengi

    Ukweli mchungu wa chanzo cha Mahusiano na Ndoa kuvunjika ni Wanawake kukataza Waume zao kuwa na Wanawake wengi bila kukumbuka kuwa Mwanaume anatulia na mke mmoja anapofikisha angalao miaka 60 hivyobasi namna ya kuenjoy mahusiano na ndoa zao wakubali waume zao kurusha risasi nje pia wasitake...
  2. Cassnzoba

    Hivi ndivyo nilijikuta nakuwa mwanachama wa JamiiForums

    Salamu wakuu................... Jazeni nafasi wazi apo juu Kwanzaa. 😂😂😂 Anyway, straight to the point 👉 Kama kichwa kinavojieleza je, wewe uliufahamuje mtandao huu Binafsi nilikuwa kila nikisearch vitu kwa lugha ya kiswahili kwenye google nikawa naletewa matokeo ya mada hizo yashajadiliwa...
  3. S

    Madai ya baadhi ya wabunge kuwa wanufaika wa vibali vya sukari yana ukweli kiasi gani?

    Wabunge wanatuhumiwa kuhusika kwenye kashfa ya sukari ambapo inadaiwa baadhi yao wamepewa vibali vya kuagiza sukari na Waziri Bashe kama mkakati wa kuwanyamazisha na kufanikisha azma yake ya kubadilisha sheria ya sukari ili wapate hela nyingi kwa ajili ya uchaguzi. Baadhi ya wabunge wanaotajwa...
  4. BLACK MOVEMENT

    Rais Ruto aunda tume ya kukagua Deni la Taifa na kujua ukweli wake

    Deni letu la Taifa linalipwa kwa Kodi hizi ambazo Daily zinaongezeka, na mbaya zaidi hatujui nani alikopa na kwa matumizi gani.Ila tunalipa. Sana tunacho jua kuna Deni la Taifa ila lilikopwaje hatujui. Kenya wao sasa Ruto ameamua deni la Taifa likaguliwe ili kujua uhalali wake make inawezekana...
  5. W

    Hoja za African Supremacy waafrika kujisifia ni watu bora zaidi huwa zinanichekesha, ukweli ni kwamba tunashika mkia mambo mengi yena kwa kujitakia

    Tuna uwezo mkubwa kimiujiza, wajerumani wachache waliwaua babu zetu wengi sana waliochanjwa na kinjikitilengwale dawa ya kuzuia risasi. tuna tiba asili zenye nguvu - magonjwa, magonjwa kama malaria, kipindu pindu, ebola inamaliza waafrika wengi mno. Tunapendana, achilia mbali waafrika kuwa...
  6. Etugrul Bey

    Wanaume huu ndio ukweli ambao hamjawahi kuambiwa

    Unataka mkeo au mwanamke wako awe kama vile unavyotaka awe wakati wewe binafsi hutaki kuwa kama yeye anavyotaka uwe Najua nimewachanganya kidogo au sio Iko hivi: unataka mwanamke wako akuheshimu na kukusikiliza lakini wakati huo huo nawe haumu onyeshi mapenzi,kwasababu wanawake wanahitaji...
  7. Majok majok

    Simba muwape wanachama wenu elimu ya mpira ili kuepusha maafa na presha kwa viongozi, muwaambie ukweli!

    Ni jambo la hatari sana ambalo viongozi wa Simba wamekuwa wakilifanya bila wao kulitambua nalo ni propaganda badala ya ukweli na uhalisia wa mpira wa miguu. Kwa Sasa hivi wanajinasibu kwamba wanatengeneza Simba mpya lakini hapo hapo wanashindwa kuwaambia ukweli wanachama wao ambao wanayo...
  8. U

    Huu ndiyo ukweli, kimaandiko hakuna mzaliwa yeyote wa kwanza aliyepewa urithi wa Baraka na Mali

    Wadau hamjamboni nyote? Nimeleta mada yenye ushahidi kimaandiko. Hakuna mtoto yeyote aliyekuwa mzaliwa wa kwanza kwa Babaye aliyepata urithi wa Baraka na Mali Ndiyo Nabii Ibrahimu, Isaka, Yakobo, Yuda, Daudi, Suleiman, Mussa, Efrahim Abel, n.k wote hao hawakuwa wazaliwa wa kwanza ila...
  9. Kamanda Asiyechoka

    Leo ndio nimeshangaa! Kumbe idara ya Usalama wa Taifa inatakiwa kumwambia rais Wananchi wanataka nini? Mbona Rais Samia haambiwi ukweli?

    Ufisadi halimashauri? Uzembe makazini? Sakata la Bashe na Mpina? Mbona wananchi wapo upande wa Mpina? Kuna nini? Mahindra tech. Bil 80+ alizopiga January? Mbona kimya? Waarabu wameleta ufanisi bandari za Tanganyika? Migomo ya kodi na tozo😅😂 Huko Kenya Rigath Anawalaumu Nis hawakutonya Ruto...
  10. L

    Suala la usajili wa wa Clatous Chama limedhihirisha kuwa vyombo vya habari vya michezo nchini ni waongo na hawana uwezo wa kuchunguza na kupata ukweli

    Mwezi mzima huu vyombo vya habari hakuna hata kimoja kilichoandika habari ya usajili wa mchezaji Clatous Chota Chama kwa usahihi, sio vyombo vya habari vya michezo, sio mitandao ya kijamii na wala sio wachambuzi au wachang'ombe feki hapa nchini. Hebu fikiria ndipo uone kuwa vyombo vya habari...
  11. K

    Tunawaomba wanasheria nguli watufafanulie hoja za Mpina, kifungu kwa kifungu ili tujue ukweli

    Jana Mhe. Mpina alifukuzwa Bungeni na kutakiwa kutohudhuria mikutano 15 ya Bunge. Tulisoma HOJA zake lakini uamuzi ukafikiwa kuwa afukuzwe. Kwa kuwa nchi hii inaongozwa kwa kufuata UTAWALA BORA, pia inafuata sheria, kanuni na taratibu hivyo ninaomba Wanasheria nguli watufafanulie hoja za Mpina...
  12. S

    Spika Tulia, ukweli wa aliyosema Mpina haubatilishwi kwa kumkasirikia kwamba amekiuka kanuni za Bunge na kudai hakuheshimu!

    Wala haihitaji akili kubwa sana kuona kwamba Spika wa Bunge Tulia na jopo zima la uongozi wa serikali wametambua kwamba Mpina amewaumbua kwa kuweka wazi uongo wanaoufanya kuwahadaa Watanzania. Na sasa wanataka kubadilisha uzito wa tuhuma za uongo wa Waziri Bashe na kuelekeza fikra kwa ukiukwaji...
  13. ndege JOHN

    Naomba kujua ukweli kuhusu wanyonya damu

    Zamani ilisemekana kulikuwa na watu kazi yao ni kunyonya watu damu na story nyingine zinasema walikuwa pia wakichuna ngozi ila sasa kama ni kweli nataka kujua Ilikuwa ni watu binafsi wakifanya hio biashara au walikuwa wakitumwa na serikali? Siamini kama serikali ingeweza kufanya hivyo sio rahisi.
  14. U

    Huu ndiyo ukweli sabato inaashiria mwisho ya uumbaji za zamani, jumapili siyo sabato bali ni ishara ya mwanzo ya uumbaji mpya!

    Tumsifu Yesu Kristo Moderator tafadhali Uzi huu usiunganishe kwingineko Wadau hamjamboni nyote? Wakristo tokea mwanzoni waliabudu jumapili ambayo ni ishara ya uumbaji ikiachana na sabato iliyoashiria uumbaji wa zamani Naweka ushahidi kuhusu Jumapili huo kama ifuatavyo Kwamba Yesu Kristo...
  15. Huihui2

    Ukweli Mchungu: Serikali Haiwezi Kuendesha SGR Kwa Watanzania Tuliopo. Tujifunze Kutoka Kwenye Mwendokasi

    Mbona barabarani kuna makampuni kibao, Makampuni kwenye SGR yawe mengi, yalipe tu kiwango fulani serikalini kisha yapige kazi. Tumeona kinachoendelea kwenye Mwendokasi ni aibu tu na mateso kwa abiria. Tusikubali SGR ifike huko. BINAFSISHA mara MOJA kama anavyosema Waziri Mbarawa
  16. Ileje

    Kuna ukweli kuwa mwanaume na mwanamke wenye damu zenye chaji tofauti +ve na -ve hawawezi kupata mtoto?

    Leo nimemsikia Mkuu wa kitengo cha damu salama wa hospitali moja ya serikali Dar es Salaam akisema ikiwa mwanaume ana damu +ve na mwanamke ana damu -ve (au vinginevyo) hawawezi kupata mtoto na kama wakipata mtoto atazaliwa akiwa na matatizo makubwa ya kiafya. Hivyo ameshauri kabla ya kuoana ni...
  17. GENTAMYCINE

    Msiwakatae watoto wa nje. Anaweza kukusaidia zaidi kuliko mtoto wako wa ndani ya ndoa

    Wanaume msiogope kuzaa nje, pengine huyo umezaa nje ndio atakusaidia. Msaidie huyo mtoto. Hawa watoto umezaa nyumbani wanaweza kukugeuka lakini ule ulizaa nje akusaidie. Chanzo: Global TV Kenya Na nyie Wanawake ( hasa mlioolewa ) acheni Nongwa zenu pale Mabwana zenu wakizaa Nje kwani ni Jambo...
  18. DR HAYA LAND

    Dunia huwa haiendeshwi na ukweli

    Maisha ya hapa duniani huwa hayaendeshwi na ukweli uliowekwa na binadamu. MTU anayekupa NO na kukuambia haufai MTU huyo huyo kesho anakupa YES na kukuambia unafaa. Hivyo unapoishi hapa duniani usifatishe kile watu wanachoamini Ila fatisha unachoamini wewe. Hivyo ukiambiwa hauwezi, ukiambiwa...
  19. Kaka yake shetani

    Simba inaitaji kuchukua wanasheria kuokoa timu, la sivyo tutajikuta timu ni mali ya Bwana MO

    Ukiangalia maongezi yake unaona kila mda anajitetea kuhusu mabilioni ambayo ukiweka MAGAZIJUTO ni kama chenga fulani. Simba inaitaji kuchukua wanasheria kuokoa timu la sivyo tutajikuta timu ni mali ya bwana MO mpaka sasa.
  20. Hammer11

    Wadau huyu anaongea ukweli au?

Back
Top Bottom