Ukweli wa Vurugu Zilizopangwa Oktoba 29

Ukweli wa Vurugu Zilizopangwa Oktoba 29

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
1,194
Reaction score
911
Ushahidi unaonyesha vurugu zilikuwa zimepangwa, ziliratibiwa, zilifadhiliwa na zilitekelezwa na watu waliofuzu mafunzo maalum. Viongozi wakuu walikaa nyuma na kuwatumia vijana kama zana za mbele. #UkweliOktoba29
 
Hizo vurugu ulizipanga wewe na mumeo chumbani kama mnavyopanga lini akupe ujauzito mwingine ukishajifungua?
 
Sasa kama zilipangwa kwanini wahusika wa upangaji wasitajwe hadharani? Ili tujue maadui waliosababisha vifo kwa ndugu zetu!
Kwanini wasitajwe?
Kupanga vurugu ni jambo moja na kuua watu ni jingine. Ni makosa mawili tofauti.
Aliyepanga vurugu anatakiwa aadhibiwe kulingana na kosa lake, vivyo hivyo aliyeua.
 
Bahati nzuri wewe, chande na samia suluhu hassan nyote ni ***********
 
Wewe ni msengerema
Ushahidi unaonyesha vurugu zilikuwa zimepangwa, ziliratibiwa, zilifadhiliwa na zilitekelezwa na watu waliofuzu mafunzo maalum. Viongozi wakuu walikaa nyuma na kuwatumia vijana kama zana za mbele. #UkweliOktoba29
Mbona huwa hamuwataji hao wafadhili au waratibu wa hizo vurugu? Huwa mnaishia kusema walilipwa pesa ila walipaji hamuwataji na hamchukui hatua dhidi yao.
 
Kupanga vurugu ni jambo moja na kuua watu ni jingine. Ni makosa mawili tofauti.
Aliyepanga vurugu anatakiwa aadhibiwe kulingana na kosa lake, vivyo hivyo aliyeua.
Nyie machawa ya ccm ni majinga majinga kila siku huwa nawambia, ndio maana msisitizo wangu kwenu ni kwamba muende shule tofauti na hivyo mtakuwa mnakoment ujinga kila siku labda nikuulize kwenye Sheria unafahamu kitu kinaitwa 'Common Intention' najua hujui maana kichwa chako hakina tofauti na Yeriko Nyerere yule plagiarist.
 
Kwanza kabisa Mimi siyo chawa, nina akili na maamuzi huru bila kujali chama au kundi langu kwenye jamii.
Ukweli na utaifa kwanza, vyama baadaye.
Wewe mwenye elimu ya kukariri bila akili ya kawaida (common sense) ni changamoto.
Common intention kwenye kupanga vurugu ni tofauti na ile ya kuua watu hovyo.
Kusoma na kuwa na akili nzuri ni vitu viwili tofauti.
 
Back
Top Bottom