NONSENSEHalima Mdee tubu yaishe lakini eleza ukweli wote Covid 19.
Amegoma kwenda CCM sasa atupu kwa uwazi kabisa kuhusu Covid 19 kabla hajakubaliwa kurudi kama mwanachama wa kawaida. Bila kutubu asiruhusiwe
NONSENSE
Halima atubu, kwani kosa lake ni nini?, Wale 19 waliingizwa bungeni kwa barua bonafide genuine ya Chadema, iliyosainiwa na officer bearer, unamtaka Halima amtaje ili iweje wakati watu wote wenye jicho la tatu wanamjua! Voices From Within: Unaweza usiamini! Aliyetoa A Go ahead kwa Mdee na Wenzake ni Kigogo wa Chadema!. Alikuwepo Ukumbini na Vikaoni! Je, ni nani?Halima Mdee tubu yaishe lakini eleza ukweli wote Covid 19.
Amegoma kwenda CCM sasa atubu kwa uwazi kabisa kuhusu Covid 19 kabla hajakubaliwa kurudi kama mwanachama wa kawaida. Bila kutubu asiruhusiwe
Kuujua ukweli wote utamuweka huru yeye na hata wanachama ambao wana shauku kubwa ya kujua kwa usahihi hasa nini kilitokea na nani abebe lawama, pengine kuna mtu au watu walibebeshwa lawama zisizo zao.Halima atubu, kwani kosa lake ni nini?, Wale 19 waliingizwa bungeni kwa barua bonafide genuine ya Chadema, iliyosainiwa na officer bearer, unamtaka Halima amtaje ili iweje?. Kati ya Halima kuihitaji Chadema, na Chadema kumhitaji Halima, nani ni nani anayemuhitaji mwenzake zaidi?.
P
Halima hana haja ya kuusema ukweli wowote utakaowaibisha watu mliowaheshimu sana!. Mimi nakuhakikishia hata JJ Mnyika anaujua ukweli ila hausemi!, angalia hapa nilimuuliza nini na alijibu nini!Kuujua ukweli wote utamuweka huru yeye na hata wanachama ambao wana shauku kubwa ya kujua kwa usahihi hasa nini kilitokea na nani abebe lawama, pengine kuna mtu au watu walibebeshwa lawama zisizo zao.
Halima hana haja ya kuusema ukweli wowote utakaowaibisha watu mliowaheshimu sana!. Mimi nakuhakikishia hata JJ Mnyika anaujua ukweli ila hausemi!, angalia hapa nilimuuliza nini na alijibu nini!
View: https://youtu.be/-M8HnYQgtAc?si=STE5W7DTrIuVjDJX
Niliendelea kumbananisha JJMnyika, kwanini hawakuripoti polisi jinai ya forgery, kwasababu polisi ndio mamlaka ya uchunguzi wa kijinai
View: https://youtu.be/CH1amKvbsQc?si=j3eSmy1R1KctIuAb
Mnyika alichomoa!.
Ukweli ni huu
1. Hakukuwa na forgery yoyote ndio maana Chadema hawakuripoti popote jinai ya forgrey
2. Barua iliyowaigiza hao 19 Bungeni, ilikuwa barua bonafide genuine, ndio maana wamemaliza miaka yao mitano Bungeni.
P
Sii kweli!, JJMnyika kama KM wa Chadema alipaswa kusaini barua ya kuwateua, kwa vile wamewasilisha barua ya uteuzi iliyo sainiwa na mtu mwingine yeyote ambaye sio KM, kitu cha kwanza ni
- Majibu ya Myika yako crystal clear. Ili upeleke malalamiko ya forgery unatakiwa kuwa na ushahidi (form za kuteuliwa hao wabunge na barua ya chama).
This was a police case, ili iwe police case, KM aliopaswa kuripoti!.Kwakuwa form hizo hazikutolewa na CDM au hazikutoka kwa mfumo rasmi yeye Mnyika kama KM hawezi kuwa na nakala zake.
NEC wampe barua Mnyika kama nani?!. KM alipaswa kuripoti polisi, uchunguzi wa polisi ndio waombe barua, watu wa forensic wa polisi wachunguze forgery ya saini ya KM kuwateua!.Wamewaomba tume wawape nakala ya hizo form na barua ili wajue nani aliwasainia wale wabunge, lakini nyaraka hizo zimekuwa SIRI KUU huko serikalini.
Kosa ni la KM kutoripoti!, and this is not the first time, ile siku kabla TAL hajashambuliwa aliitisha press conference na kusema kuna gari inamfuatilia!. Hakuripoti polisi!, polisi did nothing kwasababu hawafanyii kazi taarifa za magazeti, TAL alipaswa kwanza kuripoti polisi, kisha ndipo afanye press, na kueleza ameripoti polisi!. Huu ni uzembe!. Niliuliza humu Handling of Serious Security Issues: Kama CHADEMA Takes Things For Granted Kwa Uzembe Hivi!, Jee Ikulu Yetu Wangeiweza?Sasa hapo nani mwenye makosa? Mosi ni huyo kiongozi wa CDM aliyefanya mambo kwa mlango wa nyuma (kosa la kiongozi sio kosa la chama), pili ni serikali ambayo ameamua kulinda jinai na tatu ni bunge ambalo liliamua kuwalinda wabunge hao pamoja na kwamba chama chao kili raise very serious allegations.
No!, Chadema imepata mbunge mmoja wa jimbo na viti maalum 19!, kwa vile vyuma vya JPM, that was fursa to make money na Chadema to survive!. Kuna kigogo wa Chadema aliwasaidia kila kitu, na alikuwepo kwenye CC iliyowatimua!. Kati ya hao 19, 4 wana cohabit, na wajumbe wa CC ya Chadema, wanaishi nyumba moja kinyumba, wanalala kitanda kimoja, pika pakua, mwenzi wako anaibukia kuapishwa eti wewe hujui?.Lakini pia hao wabunge 19 wanamakosa, wao sio watoto wadogo kwamba hawakujua faulo iliyochezwa hapo, walijua na waliamua kuwa washiriki. Wao pia wanayo dhambi ya usaliti kwa wananchi.
Nonsense is your mother's buttNONSENSE
Halima hana haja ya kuusema ukweli wowote utakaowaibisha watu mliowaheshimu sana!. Mimi nakuhakikishia hata JJ Mnyika anaujua ukweli ila hausemi!, angalia hapa nilimuuliza nini na alijibu nini!
View: https://youtu.be/-M8HnYQgtAc?si=STE5W7DTrIuVjDJX
Niliendelea kumbananisha JJMnyika, kwanini hawakuripoti polisi jinai ya forgery, kwasababu polisi ndio mamlaka ya uchunguzi wa kijinai
View: https://youtu.be/CH1amKvbsQc?si=j3eSmy1R1KctIuAb
Mnyika alichomoa!.
Ukweli ni huu
1. Hakukuwa na forgery yoyote ndio maana Chadema hawakuripoti popote jinai ya forgrey
2. Barua iliyowaigiza hao 19 Bungeni, ilikuwa barua bonafide genuine, ndio maana wamemaliza miaka yao mitano Bungeni.
P
Mnyika alimuandikia speaker na tume kuwa hawawatambui hao kina mdee kama wabunge kutoka chadema sasa kwanini ndugai aliendelea kuwatambua? Mzee acha kupotosha umma wewe kwasasa jamii inauelewa kuliko kipindi chochote, otherwise utaonekana kituko.Sii kweli!, JJMnyika kama KM wa Chadema alipaswa kusaini barua ya kuwateua, kwa vile wamewasilisha barua ya uteuzi iliyo sainiwa na mtu mwingine yeyote ambaye sio KM, kitu cha kwanza ni
- JJMnyika as KM wa Chadema, alipaswa kuripoti polisi kuwa ameona wabunge wa Chadema wakiapishwa huku yeye hakusaini barua yoyote ya uteuzi, hivyo saini yake itakuwa imefojiwa.
- Kwa vile KM hajaandika barua yoyote, ni jukumu la polisi kuchunguza hiyo barua ya hao 19 ilisainiwa na nani.
- Baada ya kuripoti hiyo jinai polisi, ndipo sasa Chadema ingeitisha ile kangaroo court yake kuwauliza aliyesaini barua ni nani?.
- Ni mamlaka tuu ya uchunguzi ndio inaweza kuomba ushahidi wa hizo barua na sio KM wa Chadema, ikifanyika jinai yopyote, hatua ya kwanza ni kuripoti polisi.
- Hili jambo lingekwisha pale pale.
- Polisi wangethibitisha jinai, then uthibitisho wa polisi ungepelekwa NEC kuwa hao 19 wamefoji uteuzi, then NEC ingewatengua na kumuarifu Spika, wangetenguliwa!
This was a police case, ili iwe police case, KM aliopaswa kuripoti!.
NEC wampe barua Mnyika kama nani?!. KM alipaswa kuripoti polisi, uchunguzi wa polisi ndio waombe barua, watu wa forensic wa polisi wachunguze forgery ya saini ya KM kuwateua!.
Kosa ni la KM kutoripoti!, and this is not the first time, ile siku kabla TAL hajashambuliwa aliitisha press conference na kusema kuna gari inamfuatilia!. Hakuripoti polisi!, polisi did nothing kwasababu hawafanyii kazi taarifa za magazeti, TAL alipaswa kwanza kuripoti polisi, kisha ndipo afanye press, na kueleza ameripoti polisi!. Huu ni uzembe!. Niliuliza humu Handling of Serious Security Issues: Kama CHADEMA Takes Things For Granted Kwa Uzembe Hivi!, Jee Ikulu Yetu Wangeiweza?
No!, Chadema imepata mbunge mmoja wa jimbo na viti maalum 19!, kwa vile vyuma vya JPM, that was fursa to make money na Chadema to survive!. Kuna kigogo wa Chadema aliwasaidia kila kitu, na alikuwepo kwenye CC iliyowatimua!. Kati ya hao 19, 4 wana cohabit, na wajumbe wa CC ya Chadema, wanaishi nyumba moja kinyumba, wanalala kitanda kimoja, pika pakua, mwenzi wako anaibukia kuapishwa eti wewe hujui?.
P
Nimekuelewa mkuu, asante kwa ufafanuzi wa kisheria.Sii kweli!, JJMnyika kama KM wa Chadema alipaswa kusaini barua ya kuwateua, kwa vile wamewasilisha barua ya uteuzi iliyo sainiwa na mtu mwingine yeyote ambaye sio KM, kitu cha kwanza ni
- JJMnyika as KM wa Chadema, alipaswa kuripoti polisi kuwa ameona wabunge wa Chadema wakiapishwa huku yeye hakusaini barua yoyote ya uteuzi, hivyo saini yake itakuwa imefojiwa.
- Kwa vile KM hajaandika barua yoyote, ni jukumu la polisi kuchunguza hiyo barua ya hao 19 ilisainiwa na nani.
- Baada ya kuripoti hiyo jinai polisi, ndipo sasa Chadema ingeitisha ile kangaroo court yake kuwauliza aliyesaini barua ni nani?.
- Ni mamlaka tuu ya uchunguzi ndio inaweza kuomba ushahidi wa hizo barua na sio KM wa Chadema, ikifanyika jinai yopyote, hatua ya kwanza ni kuripoti polisi.
- Hili jambo lingekwisha pale pale.
- Polisi wangethibitisha jinai, then uthibitisho wa polisi ungepelekwa NEC kuwa hao 19 wamefoji uteuzi, then NEC ingewatengua na kumuarifu Spika, wangetenguliwa!
This was a police case, ili iwe police case, KM aliopaswa kuripoti!.
NEC wampe barua Mnyika kama nani?!. KM alipaswa kuripoti polisi, uchunguzi wa polisi ndio waombe barua, watu wa forensic wa polisi wachunguze forgery ya saini ya KM kuwateua!.
Kosa ni la KM kutoripoti!, and this is not the first time, ile siku kabla TAL hajashambuliwa aliitisha press conference na kusema kuna gari inamfuatilia!. Hakuripoti polisi!, polisi did nothing kwasababu hawafanyii kazi taarifa za magazeti, TAL alipaswa kwanza kuripoti polisi, kisha ndipo afanye press, na kueleza ameripoti polisi!. Huu ni uzembe!. Niliuliza humu Handling of Serious Security Issues: Kama CHADEMA Takes Things For Granted Kwa Uzembe Hivi!, Jee Ikulu Yetu Wangeiweza?
No!, Chadema imepata mbunge mmoja wa jimbo na viti maalum 19!, kwa vile vyuma vya JPM, that was fursa to make money na Chadema to survive!. Kuna kigogo wa Chadema aliwasaidia kila kitu, na alikuwepo kwenye CC iliyowatimua!. Kati ya hao 19, 4 wana cohabit, na wajumbe wa CC ya Chadema, wanaishi nyumba moja kinyumba, wanalala kitanda kimoja, pika pakua, mwenzi wako anaibukia kuapishwa eti wewe hujui?.
P
Mkuu Pasco polisi unsowaxungumzia ni haws polisiccm au ni polisi wa nchi gani? Hivi kwa mazingira ya utawala wa Magufuli kuna jambo ambalo la kuinyooshea kidole serikali lingeweza kufanywa na polisi au Mahakama? Kuwa serious basi mkuu.Kuna mchezo mchafu ulifanywa na dola na ofisi ya spika kwenye sakata la covid 19. Unaweza kueleza Nusrat alitokaje jela usiku na kuja kuapishwa asubuhi? Na kwa nini covid 19 waĺiapishwa sehemu isiyo rasmi kwa uapushaji wa wabunge?Sii kweli!, JJMnyika kama KM wa Chadema alipaswa kusaini barua ya kuwateua, kwa vile wamewasilisha barua ya uteuzi iliyo sainiwa na mtu mwingine yeyote ambaye sio KM, kitu cha kwanza ni
- JJMnyika as KM wa Chadema, alipaswa kuripoti polisi kuwa ameona wabunge wa Chadema wakiapishwa huku yeye hakusaini barua yoyote ya uteuzi, hivyo saini yake itakuwa imefojiwa.
- Kwa vile KM hajaandika barua yoyote, ni jukumu la polisi kuchunguza hiyo barua ya hao 19 ilisainiwa na nani.
- Baada ya kuripoti hiyo jinai polisi, ndipo sasa Chadema ingeitisha ile kangaroo court yake kuwauliza aliyesaini barua ni nani?.
- Ni mamlaka tuu ya uchunguzi ndio inaweza kuomba ushahidi wa hizo barua na sio KM wa Chadema, ikifanyika jinai yopyote, hatua ya kwanza ni kuripoti polisi.
- Hili jambo lingekwisha pale pale.
- Polisi wangethibitisha jinai, then uthibitisho wa polisi ungepelekwa NEC kuwa hao 19 wamefoji uteuzi, then NEC ingewatengua na kumuarifu Spika, wangetenguliwa!
This was a police case, ili iwe police case, KM aliopaswa kuripoti!.
NEC wampe barua Mnyika kama nani?!. KM alipaswa kuripoti polisi, uchunguzi wa polisi ndio waombe barua, watu wa forensic wa polisi wachunguze forgery ya saini ya KM kuwateua!.
Kosa ni la KM kutoripoti!, and this is not the first time, ile siku kabla TAL hajashambuliwa aliitisha press conference na kusema kuna gari inamfuatilia!. Hakuripoti polisi!, polisi did nothing kwasababu hawafanyii kazi taarifa za magazeti, TAL alipaswa kwanza kuripoti polisi, kisha ndipo afanye press, na kueleza ameripoti polisi!. Huu ni uzembe!. Niliuliza humu Handling of Serious Security Issues: Kama CHADEMA Takes Things For Granted Kwa Uzembe Hivi!, Jee Ikulu Yetu Wangeiweza?
No!, Chadema imepata mbunge mmoja wa jimbo na viti maalum 19!, kwa vile vyuma vya JPM, that was fursa to make money na Chadema to survive!. Kuna kigogo wa Chadema aliwasaidia kila kitu, na alikuwepo kwenye CC iliyowatimua!. Kati ya hao 19, 4 wana cohabit, na wajumbe wa CC ya Chadema, wanaishi nyumba moja kinyumba, wanalala kitanda kimoja, pika pakua, mwenzi wako anaibukia kuapishwa eti wewe hujui?.
P
Utakuwa unawashwa kwa mada zizsizokuwa na mwelekeo hizi.Halima Mdee tubu yaishe lakini eleza ukweli wote Covid 19.
Amegoma kwenda CCM sasa atubu kwa uwazi kabisa kuhusu Covid 19 kabla hajakubaliwa kurudi kama mwanachama wa kawaida. Bila kutubu asiruhusiwe
Ni policcm gani angeweza kuchunguza jinai hiyo wakati huwo ulikuwa ni mpango wa ccm kutakakufanikisha jambo hilo. Uchunguzi wa kushambuliwa Lissu hadi leo hawajaufa ndio Mnyika aende kuripoti kwamba wamefoji saini huku ccm lengo lao nikuiua chadema. Ccm ina laana sana.Sii kweli!, JJMnyika kama KM wa Chadema alipaswa kusaini barua ya kuwateua, kwa vile wamewasilisha barua ya uteuzi iliyo sainiwa na mtu mwingine yeyote ambaye sio KM, kitu cha kwanza ni
- JJMnyika as KM wa Chadema, alipaswa kuripoti polisi kuwa ameona wabunge wa Chadema wakiapishwa huku yeye hakusaini barua yoyote ya uteuzi, hivyo saini yake itakuwa imefojiwa.
- Kwa vile KM hajaandika barua yoyote, ni jukumu la polisi kuchunguza hiyo barua ya hao 19 ilisainiwa na nani.
- Baada ya kuripoti hiyo jinai polisi, ndipo sasa Chadema ingeitisha ile kangaroo court yake kuwauliza aliyesaini barua ni nani?.
- Ni mamlaka tuu ya uchunguzi ndio inaweza kuomba ushahidi wa hizo barua na sio KM wa Chadema, ikifanyika jinai yopyote, hatua ya kwanza ni kuripoti polisi.
- Hili jambo lingekwisha pale pale.
- Polisi wangethibitisha jinai, then uthibitisho wa polisi ungepelekwa NEC kuwa hao 19 wamefoji uteuzi, then NEC ingewatengua na kumuarifu Spika, wangetenguliwa!
This was a police case, ili iwe police case, KM aliopaswa kuripoti!.
NEC wampe barua Mnyika kama nani?!. KM alipaswa kuripoti polisi, uchunguzi wa polisi ndio waombe barua, watu wa forensic wa polisi wachunguze forgery ya saini ya KM kuwateua!.
Kosa ni la KM kutoripoti!, and this is not the first time, ile siku kabla TAL hajashambuliwa aliitisha press conference na kusema kuna gari inamfuatilia!. Hakuripoti polisi!, polisi did nothing kwasababu hawafanyii kazi taarifa za magazeti, TAL alipaswa kwanza kuripoti polisi, kisha ndipo afanye press, na kueleza ameripoti polisi!. Huu ni uzembe!. Niliuliza humu Handling of Serious Security Issues: Kama CHADEMA Takes Things For Granted Kwa Uzembe Hivi!, Jee Ikulu Yetu Wangeiweza?
No!, Chadema imepata mbunge mmoja wa jimbo na viti maalum 19!, kwa vile vyuma vya JPM, that was fursa to make money na Chadema to survive!. Kuna kigogo wa Chadema aliwasaidia kila kitu, na alikuwepo kwenye CC iliyowatimua!. Kati ya hao 19, 4 wana cohabit, na wajumbe wa CC ya Chadema, wanaishi nyumba moja kinyumba, wanalala kitanda kimoja, pika pakua, mwenzi wako anaibukia kuapishwa eti wewe hujui?.
P
Anajifanya hajui hilo.Mkuu Pasco polisi unsowaxungumzia ni haws polisiccm au ni polisi wa nchi gani? Hivi kwa mazingira ya utawala wa Magufuli kuna jambo ambalo la kuinyooshea kidole serikali lingeweza kufanywa na polisi au Mahakama? Kuwa serious basi mkuu.Kuna mchezo mchafu ulifanywa na dola na ofisi ya spika kwenye sakata la covid 19. Unaweza kueleza Nusrat alitokaje jela usiku na kuja kuapishwa asubuhi? Na kwa nini covid 19 waĺiapishwa sehemu isiyo rasmi kwa uapushaji wa wabunge?
calm down gentleman, don't panic for nonsenseNonsense is your mother's butt