Hahahaha!!Acheni kulea mitoto ya watu kwa kichaka cha ndoa, kwao wamemshindwa wameamua kukuuzia wewe kwa mamilioni ukamfuge huko
Dah!😂😂😂😂Swala la ndoa kuna upande mwingine ukifiria linazingua ujue. Kwanini ulipe mahari??! Yaani kwanini? Unamnunua mtu kabisa, Najiulizaga sana ila ndo basi jamii imeshapitisha ndo mtindo wakuchukua mwanamke awe wako!Acheni kulea mitoto ya watu kwa kichaka cha ndoa, kwao wamemshindwa wameamua kukuuzia wewe kwa mamilioni ukamfuge huko
Sin pate mwanamke wa kunibakaMkuu umebakwa tena?!
Mbona mimi sitapeliwi mkuuNdoa ni utapeli
Linda kibunda chako
#kataa ndoa
😃😄😁😁😁Dah!😂😂😂😂Swala la ndoa kuna upande mwingine ukifiria linazingua ujue. Kwanini ulipe mahari??! Yaani kwanini? Unamnunua mtu kabisa, Najiulizaga sana ila ndo basi jamii imeshapitisha ndo mtindo wakuchukua mwanamke awe wako!
Siku nyingine akikubaka bana miguu. Halafu asubuhi beba virago vyako rudi kwa wazazi wako.Kwa ndoa Kuna ubakaji unakubaliana
Mbona kama nakufahamu😎Jinsia yako kwanza
Ana kubaka ki vp ?
Mpka mtu ana kubaka inamaana umemnyima na kwanini umnyime ?
Kwanini akikuomba usimpe kwa utuo ili kuepuka mbako ?
Pole sana 😁
Ndoa ni tendo na tendo lenyewe ndio hilo👍
Naunga mkono hojaNdoa ni utapeli
Linda kibunda chako
#kataa ndoa
elezeaKwa ndoa Kuna ubakaji unakubaliana