Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 28,058
- 54,592
eti kwanini mnyimane?Jinsia yako kwanza
Ana kubaka ki vp ?
Mpka mtu ana kubaka inamaana umemnyima na kwanini umnyime ?
Kwanini akikuomba usimpe kwa utuo ili kuepuka mbako ?
Pole sana 😁
Ndoa ni tendo na tendo lenyewe ndio hilo👍