Lakini ukweli huu ni dawa na ni lazima tumeze. Tutake Tusitake

Secret Star

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2011
Posts
1,870
Reaction score
2,122
1. Utapeli (The 40-Year Scam)
Tumeaminishwa tufanye kazi miaka 40, tuweke akiba kidogo kidogo, ili tuje tuanze kufurahia maisha tukiwa na miaka 65. Huu ni wazimu wa kiwango cha lami! Yaani usubiri mpaka viungo vyako vimechoka, magoti yanauma, na huwezi hata kula nyama choma bila daktari kukutishia kifo, ndio uanze "kula bata"?
Mfumo umetupangia tuanze kuishi wakati ambao tunajiandaa kufa.

2. Wewe Sio Mfanyakazi, ni "mfumo" unaochakaa
Tuweke hisabati wazi hapa; mfumo wa ajira wa kawaida ni mkataba unaokupa hasara ya uhakika (Negative Expected Value). Unauza kitu ambacho hakizalishwi tena (Muda na Ujana wako) ili upewe makaratasi yanayochapishwa kila siku na kupoteza thamani kupitia mfumuko wa bei (Pesa/Mshahara).

Wakati unashangilia kupandishwa cheo na kuongezewa majukumu, tajiri anatumia hisabati na mifumo kujiingizia kipato akiwa amelala. Cheo chako ofisini ni jina la utumwa lililopambwa vizuri (Glorified Slavery) ili ukubali kufa kwa presha ukitetea kampuni ambayo ikikufukuza leo, kesho asubuhi nafasi yako inatangazwa kwenye gazeti na mitandaoni.

3. Sifa ZA Kujiangamiza

Unanunua gari la cc 4000 unalolipa kwa mkopo wa miaka mitano, unachoma mafuta kwenye foleni, huku benki ikivuna riba kimya kimya. Unanunua nguo za "brands" kubwa ili utembee kama bango lao la matangazo huku wewe umelipia hilo bango! Unatumia akili zako kutengeneza pesa, halafu unatumia hisia zako kuzitapanya. Elite thinkers hawajali kuonekana masikini; wanatumia hisabati kuvuna thamani kimya kimya huku wakiwa salama. Wanaelewa kuwa "Stealth Wealth" (Utajiri wa kimya kimya) ndio uhuru wa kweli.

4. Ugonjwa wa "Mkombozi wa Familia"
Hapa ndipo wabongo wengi tunapofia. Unapata kamshahara, unataka usomeshe wadogo zako wote, ujengee wazazi, na uchangie harusi za ukoo mzima. Nia ni nzuri, lakini kimkakati, hii ni kujiua kiuchumi.
Kama huna msingi imara, huwezi kuokoa wengine. Ni sawa na mtu asiyejua kuogelea anayeruka kwenye maji marefu kumuokoa mwenzie anayezama wote mtakufa!.
 
Tuliza akili kdg mkuu para ya kwanza unatulaumu hatuishi, tukiamua kuishi tena unatumaindi para ya 3.
 
Yote nimekuelewa ila hapo kwenye matajiri kutokuvaa brands sasa hizo pesa zinakuwa zinatafutwa za nini kama mtu hurusiwi kuvaa na kupendeza

Huu ni ujinga wa hali ya juu
Unaweza kupendeza bila hata kuvaa louis vuitton! masikini anataka kuonekana tajiri kwa kuvaa brand kubwa! ila tajiri vile vitu hata akivitumia ni anaviishi!
 
Tatizo sio hiyo LV tatizo ni gharama huwezi kuwa tajiri ukawa unavaa nguo zisizo na ubora na gharama ndogo
 
Wakati unashangilia kupandishwa cheo na kuongezewa majukumu, tajiri anatumia hisabati na mifumo kujiingizia kipato akiwa amelala. Cheo chako ofisini ni jina la utumwa lililopambwa vizuri (Glorified Slavery) ili ukubali kufa kwa presha ukitetea kampuni ambayo ikikufukuza leo, kesho asubuhi nafasi yako inatangazwa kwenye gazeti na mitandaoni.
Sitosahau mwaka niliopandishwa cheo mshahara mkubwa lakini nilipoteza Utu wangu wote, majukumu magumu balaa, Niko bize muda woote, ni kweli watu waliniona kama nafaidi wakuangalia salary slip yangu lakini Mimi nilikuwa nateketea taratibu hadi nika resign
 
Mtu kama wewe ni rahisi kunielewa nasema nini, maana umepitia baadhi ya niliyoyasema.

"Tunauza Muda na Energy zetu kwa gharama Ndogo!, Ingawa Tumedanganywa kuwa gharama hiyo ni kubwa. (Mishahara na Pension)
 
Ndo maana mimi na min -me tumeamua kula pombe daily tumeona hakuna jipya tutafanya nini jipya zaidi ya kujichosha na changamoto ....au nakosea mwanangu min me ...sema sijui mwanangu ye anapataje hela me huwa natia million moja kila week naweka odds ya 1.5 najipatia laki 5 za kunywa na kula karibia week nzima au week 2 kbs...mind you kipato changu nakuwa naingiza million 5 kila mwezi so hata ikiwa bahati mbaya hio 1 million ikapigwa bado nina pumzi
 
Hahaha Betting ina Negative Expected Value wakuu nyie mnatoboaje!!?
 
Hahaha Betting ina Negative Expected Value wakuu nyie mnatoboaje!!
cheza odds below 1.4 cheza match moja tu
Ligi za asian nzuri
Option za over 0.5 match ikiwa in play odds huenda juu me huwa nazifuata hata kama dakika ya 50 wako nyaunyau nawapa goal...katika trial 10 naweza kupata won 7...ila naweka stake kubwa kuanzia laki 3 mpk million nikishinda tu na withdraw chap nakuwa ma cash ndani so na tumia kwa week nzima just kunywa tu
 
Mtu kama wewe ni rahisi kunielewa nasema nini, maana umepitia baadhi ya niliyoyasema.

"Tunauza Muda na Energy zetu kwa gharama Ndogo!, Ingawa Tumedanganywa kuwa gharama hiyo ni kubwa. (Mishahara na Pension)
Huu Uzi wako nimeuelewa hadi nilisshindwa Kuishi sababu ya kazi, huku unachombezwa kwamba You are achieving and growing up, kuna vimaneno vya kutia moyo wakati naona kabisa hata familia yangu nimeitelekexa Mke na watoto hawanipati na Mimi siwafurahii
 
Ndo maana mimi na min -me tumeamua kula pombe daily tumeona hakuna jipya tutafanya nini jipya zaidi ya kujichosha na changamoto ....au nakosea mwanangu min me ...sema sijui mwanangu ye anapataje hela me huwa natia million moja kila week naweka odds ya 1.5 najipatia laki 5 za kunywa na kula karibia week nzima au week 2 kbs...mind you kipato changu nakuwa naingiza million 5 kila mwezi so hata ikiwa bahati mbaya hio 1 million ikapigwa bado nina pumzi
Eng kama eng
 
cheza odds below 1.4 cheza match moja tu
Ligi za asian nzuri
Option za over 0.5 match ikiwa in play odds huenda juu me huwa nazifuata hata kama dakika ya 50 wako nyaunyau nawapa goal...katika trial 10 naweza kupata won 7...ila naweka stake kubwa kuanzia laki 3 mpk million nikishinda tu na withdraw chap nakuwa ma cash ndani so na tumia kwa week nzima just kunywa tu
That's Deep! Elimu kama hiyo uliyonayo wewe unaweza kuona ni Ndogo (sababu Unaijua) Ila kwa asie nayo ni sawa na Hesabu za E=mc2 ni ngumu hata kumfundisha mtu akaelewa!
 
Hujakatazwa kula bata mkuu, na ukiona kazi yako huna muda wa kupumzika na baso unaikomalia hapo sasa tatizo lipo kwako mfanyakazi na sio bosi.
 
Ndo maana mimi na min -me tumeamua kula pombe daily tumeona hakuna jipya tutafanya nini jipya zaidi ya kujichosha na changamoto ....au nakosea mwanangu min me ...sema sijui mwanangu ye anapataje hela me huwa natia million moja kila week naweka odds ya 1.5 najipatia laki 5 za kunywa na kula karibia week nzima au week 2 kbs...mind you kipato changu nakuwa naingiza million 5 kila mwezi so hata ikiwa bahati mbaya hio 1 million ikapigwa bado nina pumzi
😀naunga mkono hoja bwashee
 
Back
Top Bottom