Ukisimama nchale, ukikimbia nchale, ukitembea nchale, ukikaa nchale, ukifa nchale. Binadamu tumekua viumbe vya ajaju sababu ya ulimi.. Tysingekua na uwezo wa kuongea hii dunia ingekua sehem salama saana.Tuliza akili kdg mkuu para ya kwanza unatulaumu hatuishi, tukiamua kuishi tena unatumaindi para ya 3.
Noma Sana kaka 😁Ukisimama nchale, ukikimbia nchale, ukitembea nchale, ukikaa nchale, ukifa nchale. Binadamu tumekua viumbe vya ajaju sababu ya ulimi.. Tysingekua na uwezo wa kuongea hii dunia ingekua sehem salama saana.
App gan unatumia?cheza odds below 1.4 cheza match moja tu
Ligi za asian nzuri
Option za over 0.5 match ikiwa in play odds huenda juu me huwa nazifuata hata kama dakika ya 50 wako nyaunyau nawapa goal...katika trial 10 naweza kupata won 7...ila naweka stake kubwa kuanzia laki 3 mpk million nikishinda tu na withdraw chap nakuwa ma cash ndani so na tumia kwa week nzima just kunywa tu
Unaweza kupendeza bila hata kuvaa louis vuitton! masikini anataka kuonekana tajiri kwa kuvaa brand kubwa! ila tajiri vile vitu hata akivitumia ni anaviishi!
Tufanye mahesabu kidogo.cheza odds below 1.4 cheza match moja tu
Ligi za asian nzuri
Option za over 0.5 match ikiwa in play odds huenda juu me huwa nazifuata hata kama dakika ya 50 wako nyaunyau nawapa goal...katika trial 10 naweza kupata won 7...ila naweka stake kubwa kuanzia laki 3 mpk million nikishinda tu na withdraw chap nakuwa ma cash ndani so na tumia kwa week nzima just kunywa tu
Tungekua tunatoa milio kama mbwa ama fisi tungekua na limited amount of vocabularies. Expressions za hisia na matamanio zingekua general. Sasa sahizi tunamwagika kama hivi tunazingua kichizi. Ndomaana dinosaur wameish hapa duniani zaidi ya 400 million years, na kimondo ndo kimewaondoa. Lakini mbwa sisi tupo hapa kwa 40-60 thousand years tunajiangamiza wenyewe pumbavu zetu.Noma Sana kaka
Unadhani Nature imefanya Kosa kukupa Ulimi uongee?Ukisimama nchale, ukikimbia nchale, ukitembea nchale, ukikaa nchale, ukifa nchale. Binadamu tumekua viumbe vya ajaju sababu ya ulimi.. Tysingekua na uwezo wa kuongea hii dunia ingekua sehem salama saana.
Unadhani Nature imefanya Kosa kukupa Ulimi uongeeUkisimama nchale, ukikimbia nchale, ukitembea nchale, ukikaa nchale, ukifa nchale. Binadamu tumekua viumbe vya ajaju sababu ya ulimi.. Tysingekua na uwezo wa kuongea hii dunia ingekua sehem salama saana.
HEheheeTufanye mahesabu kidogo.
Let's say ukaweka 1M mara 10.
Ukishinda mara saba na ukaloose mara 3 (kama ulivosema)
Kwa odds ya 1.4 kila ukishinda unakuwa umepata laki nne.
Sasa laki 4 mara mikeka 7 inakuja 2.8M.
Wakati ukiloose hiyo mikeka mitatu unakuwa na loss ya 3M.
Hauoni ni biashara ya hasara?
Zamani tulikuwa tunagemeana kwa sana ,ila sasa tumekuwa controlled na binadamu wenzetu...Wanachotaka tutumie basi tunatumia ,wanachotaka tusikie basi tunasikia...Kila kitu wanacontroll wao .Mfumo wa kuishi/maisha umeharibiwa
Viumbe hai na visivyo hai vipo duniani kwa ajili ya kuishi kwa kutegemeana
Hapa namaansha mwenyezi mungu alishaumba dunia iliyo kamili na inayojitegemea/kujikamilisha kiumbe kizaliwe kizaliane kisapato asili kife wakat huo vzaz vinaendelea
Viumbe hai hutegemeana na kutegemea viumbe viumbe visivyo Hai
Hapa utaona/utakumbuk/utagundua/ waliishi miaka 150+ nyuma hawakuw na changamoto za kimaisha kama sasa tunavyoaminishwa Dunia ya kisasa ambako hakuna maisha Huru ya kiafya wala kijamii
Kosa kubwa saana, mana tumejikuta tunapeana ujuzi na maarifa haribifu. Tura tungekaa kimya kama masokwe tuUnadhani Nature imefanya Kosa kukupa Ulimi uongee?
So sadKula bata acha kusubiri uzee ndio ule bata.
Kuna umri ukifika unaambiwa kula ndizi moja kwa siku
Unaambiwa usinywe bia ina kisukari
Unaambiwa usile nyama choma
Unaambiwa kula mboga mboga bila chumvi
Unaambiwa kwa mwezi usifanye mape...nz zaidi ya mara mmoja
Unaambiwa usisafiri, tumia mda wako kulala
Wakati unaambiwa hayo account yako ya NMB ndio imetuna maana ujanani hujala bata.
Watoto nao wanakukimbia,
Mke nae anakukimbia anaenda kwa watoto...
.......unabaki mpweke
Mwishowasiku unakufa.
Mali anakula mkeo na vibenten
Watoto wanatapanya ulichotafuta kwa jasho.....
Hayo ndio maisha yako.
HIVYO BASI
JIPENDE WAKATI WA UJANA WAKO
Kula bia mpaka ikuogope
Kula nyama choma mpaka ikuogope
Tafuna mchemsho wa kuku mpaka kuku waishe
Hivyo tu.
1x betApp gan unatumia?