Ukweli Roach (born September 22, 1986) is an English actor best known for playing the role of FBI psychiatrist Dr. Robert Borden, on the American television series Blindspot.
Wakuu kwema
Nilikuwa nafuatilia vikao vya Bunge jana kwenye Tv.
Niseme kiukweli Mheshimiwa Tulia ackson ni mtu haswa haswa, huyu mama nimeelewa sasa Kwanini ni amekuwa raisi wa mabunge yote duniani.
Alikuwa anawa challenge wabunge ambao wengi wao nimeamini kichwani ni kweupe sana na hawawezi...
Kutokana na umeme kutokuwa wa uhakika ni vyema kuangalia plan B.
Ni wapi wanauza power bank za uhakika zisizo feki zenye guarantee?
Wadau wenye kujua tujulishane.
Huwezi ona pande yoyote inaweka nguvu kubwa kupata suluhisho la haya mambo zaidi ya porojo za ku hadaa watu.
1. Ukweli wa umiliki kiwanja na nyumba kati ya GSM na Makonda .
2. Ukweli kuhusu kupotea Ben saanane na kushambuliwa Tundu lissu , si CCM wala CHADEMA ambae anatumia nguvu kubwa...
Wakuu
Kitambo Fulani pale Kenya ulihit sana wimbo kwa jina la Stella ..
Wimbo huo ulioimbwa na mtu aitwaye freshley mwamburi ni kisa cha msichana aliyeitwa Stella , ambaye alipelekwa japan na bwana mwamburi kusoma udaktari mpaka alipomaliza masomo yake Ili kurejea nyumbani Kenya na shida...
Mwenge wa uhuru? Kivipi?
Umeleta unafuu gani katika nchi hii zaidi ya hasara ya mabilioni ya pesa?
Umeleta uhuru au utumwa? Unajua jinsi watumishi wa umma wanavyolazimishwa kuchangia fedha za kuunywesha mafuta na kushinikizwa kuhudhuria mkesha wa mwenge?
Watumishi wa umma wanalazimishwa...
Kama mtu ambae napenda kufanya research, Kutokana na utafiti (si utafiti wa kisayansi kwa 100%) nilioufanya nimegundua kuwa wengi wa member wa JF huamini ndivyo sivyo kuhusu member wenzao.
Baadhi wamekuwa wakiamini kuwa asilimia kubwa ya member ni watu wa kipato cha chini lakini hujikweza kuwa...
If the owners of the natural resources go around begging, then you should know there's something wrong with their minds” - President Paul Kagame
My Take
Mdomo Kila mtu anao,swali Je yeye amefanya kipi Cha maana hapo Rwanda wakati Nchi yake ni LDC...
Yeye hakuunga mkono upande wowote, alisimamia ukweli na kusema tatizo la pale Palestina ni la kihistoria na linapaswa kutatuliwa kidiplomasia, kasema kesi za kisiasa haziwezi kutatua lile tatizo.
Na ndio ukweli wenyewe maana hata hiyo ICJ ilishindwa kusema chochote zaidi ya kuomba Israel iwe...
Sio vibaya kukumbushana...!!!
Nipende kuwakumbusha ndugu zangu kwamba mkataba wa Koplo Ibra Bacca unasoma hadi mwaka 2027, yaani hapo akitoka anaenda Ulaya, mbali na hapo ataichezea Yanga milele tena milele amina😀.
Kuna Club moja ya Bundasliga inamhitaji lakini sitawaambia hamtaki kutunza siri...
Chama cha siasa ni muhimili katika mfumo wa kisiasa wa nchi yoyote, na utendaji wake unaweza kuathiri maendeleo na mwelekeo wa jamii. Hata hivyo, swali linalojitokeza ni jinsi gani tunavyoweza kupima utendaji wa chama chetu cha siasa. Je, tuamini kila wanachotuambia, tukikubaliana na kila hatua...
1. Mpaka sasa haieleweki dira yake hasa ni nini. Kila kitu ni kama kinajiendea tu. Hakuna concrete direction.
2. Nchi inakosa umeme kila mahali kwa zaidi ya miezi sita na wala hakuna kinachofanyika. Hapajawahi kutokea mgao mrefu hivi.
3. Kuna maeneo maji yanakatika hata wiki nne na hakuna...
Katika maisha ya leo ukijionea huruma, utakuja kutia huruma.
Ukikosa nidhamu, utakuwa kuadabishwa na walimwengu
Ukijidanganya utakutana na ukweli muda ukiwa umepita.
Tujifunze na kutia maanani yafuatayo:
1.Thamani yako ndo inaamua mkate unaoingiza. Ikiwa chini, lazima ipande kubadili matokeo...
Bei ya Viwanja huko Tegeta, Bunju na Boko ni kubwa mno ukilinganisha na Mbagala, lakini linapokuja suala la Mvua Mbagala haina mafuriko kabisa kulinganisha na Tegeta, Bunju na Boko.
Sasa kinachowafanya wengi kukimbilia huko ni nini?
Watanzania wenzangu sijaona hali mbaya ya umeme km wakati huu. Tuliambiwa ilikuwa tatizo la upungufu wa maji kutokana na ukame.
Mvua imenyesha tangia mwezi wa 11 na mpaka sahivi inanyesha mpaka imekuwa kero. Lakini hakuna umeme na hali ndiyo imekuwa mbaya sana, hata km watanzania mmezoea ni...
Mjadala wa kitaifa usingepaswa kuwa Dr. Hamisi Kigwangalla amekosea, atoe ushahidi, ataje, hakupaswa kusema alichosema, ana wivu kwa kuwa yeye yuko benchi etc, bali je alichosema ni uongo ama ukweli; kama ni ukweli tunafanyaje ili kudhibiti?
Badala ya kunyoosheana kidole, ama kutaka umbeya ni...
Huu ni muda wa kuambiana ukweli ndugu zangu.
Hivi sisi watu weusi hata waafrika tatizo kubwa ni nini hasa hapa duniani mbona tumeganda kama kwenye barafu ? Tupo nyuma nyuma tu kwa mambo mengi huku hao wanao onekana wenzetu wakituacha mbali.
Yaani sisi kwa vitu vingi tuna kimbizwa na hawa watu...
Je, Majaliwa wa 2015-2021 ndiye huyo wa sasa!?
Ukweli ni kwamba, siye Majaliwa tuliye mzoea. Siye PM Majaliwa aliye wahi kuwa na uwezo wa kuchukua uamuzi mgumu kwa Watumishi wazembe wa Serikali. Na siye Kassim aliye ogopewa na Watendaji wazembe wa Serikali.
Kwa hakika, Majaliwa kapoa kawa wa...
Katikatika ya msongamano wa magari jijini Dar es Salaam, wanaonekana wanawake wenye mabeseni vichwani wakizunguka huku na huko.
Hawa ni wajasiriamali, wachuuzi wa mihogo mibichi, karanga, tende, mchele na nazi maarufu busta.
Wachuuzi hawa wanatumia msongamano kwenye makutano ya barabara kuuza...
Mimi nikiwa namba moja wa kujitolea kufanya kampeni hizo za kiinjilisiti, ambapo zitakuwa za nyumba hadi nyumba, mtu hadi mtu
Kampeni aina hiii huvuna wanachama kwa wingi, na uhakika wa kuwafikia wananchi wengi na kwa haraka zaidi, CCM anachapika vizuri mno na chepesi zaidi, ukweli ni kwamba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.