ukweli

Ukweli Roach (born September 22, 1986) is an English actor best known for playing the role of FBI psychiatrist Dr. Robert Borden, on the American television series Blindspot.

View More On Wikipedia.org
  1. Sema chochote kuhusu haya

    Francis Chacha Wambura Kazi; Mkulima Umri: 98 Wake: 6 Watoto: 47 Wajukuu: 86 Sababu ya kifo: uzee Lazaro Olemgbe Kazi: Seremala Umri: 115 Wake: 11 Watoto: 56 Wajukuu: 132 Sababu ya kifo: Uzee. Mabura Mabondo Matinde Kazi: Tailor Umri: 109 Wake: 4 Watoto: 38 Wajukuu: 73 Sababu ya kifo: Uzee...
  2. T

    Tuseme ukweli madam Tulia Ackson ni kichwa sana

    Wakuu kwema Nilikuwa nafuatilia vikao vya Bunge jana kwenye Tv. Niseme kiukweli Mheshimiwa Tulia ackson ni mtu haswa haswa, huyu mama nimeelewa sasa Kwanini ni amekuwa raisi wa mabunge yote duniani. Alikuwa anawa challenge wabunge ambao wengi wao nimeamini kichwani ni kweupe sana na hawawezi...
  3. S

    Wapi Wanauza Power bank za uhakika?

    Kutokana na umeme kutokuwa wa uhakika ni vyema kuangalia plan B. Ni wapi wanauza power bank za uhakika zisizo feki zenye guarantee? Wadau wenye kujua tujulishane.
  4. E

    Haya ndiyo mambo matatu ambayo pande zote mbili zinazovutana hazitaki ukweli ujulikane. Je, ni kwanini?

    Huwezi ona pande yoyote inaweka nguvu kubwa kupata suluhisho la haya mambo zaidi ya porojo za ku hadaa watu. 1. Ukweli wa umiliki kiwanja na nyumba kati ya GSM na Makonda . 2. Ukweli kuhusu kupotea Ben saanane na kushambuliwa Tundu lissu , si CCM wala CHADEMA ambae anatumia nguvu kubwa...
  5. Ukweli juu ya freshley mwamburi wimbo wa stella ..

    Wakuu Kitambo Fulani pale Kenya ulihit sana wimbo kwa jina la Stella .. Wimbo huo ulioimbwa na mtu aitwaye freshley mwamburi ni kisa cha msichana aliyeitwa Stella , ambaye alipelekwa japan na bwana mwamburi kusoma udaktari mpaka alipomaliza masomo yake Ili kurejea nyumbani Kenya na shida...
  6. Ukweli usemwe: Ni Mwenge wa Uhuru au wa Utumwa?

    Mwenge wa uhuru? Kivipi? Umeleta unafuu gani katika nchi hii zaidi ya hasara ya mabilioni ya pesa? Umeleta uhuru au utumwa? Unajua jinsi watumishi wa umma wanavyolazimishwa kuchangia fedha za kuunywesha mafuta na kushinikizwa kuhudhuria mkesha wa mwenge? Watumishi wa umma wanalazimishwa...
  7. UTAFITI: Ukweli kuhusu watumiaji wa JamiiForums

    Kama mtu ambae napenda kufanya research, Kutokana na utafiti (si utafiti wa kisayansi kwa 100%) nilioufanya nimegundua kuwa wengi wa member wa JF huamini ndivyo sivyo kuhusu member wenzao. Baadhi wamekuwa wakiamini kuwa asilimia kubwa ya member ni watu wa kipato cha chini lakini hujikweza kuwa...
  8. Paul Kagame: Ukiona wenye mali wanageuka kuwa ombaomba ujue akili zao haziko sawa

    If the owners of the natural resources go around begging, then you should know there's something wrong with their minds” - President Paul Kagame My Take Mdomo Kila mtu anao,swali Je yeye amefanya kipi Cha maana hapo Rwanda wakati Nchi yake ni LDC...
  9. Hizi hapa hoja za Jaji wa Uganda aliyesimamia ukweli kule ICJ

    Yeye hakuunga mkono upande wowote, alisimamia ukweli na kusema tatizo la pale Palestina ni la kihistoria na linapaswa kutatuliwa kidiplomasia, kasema kesi za kisiasa haziwezi kutatua lile tatizo. Na ndio ukweli wenyewe maana hata hiyo ICJ ilishindwa kusema chochote zaidi ya kuomba Israel iwe...
  10. Mkataba wa Koplo Ibra Bacca unasoma hadi mwaka 2027

    Sio vibaya kukumbushana...!!! Nipende kuwakumbusha ndugu zangu kwamba mkataba wa Koplo Ibra Bacca unasoma hadi mwaka 2027, yaani hapo akitoka anaenda Ulaya, mbali na hapo ataichezea Yanga milele tena milele amina😀. Kuna Club moja ya Bundasliga inamhitaji lakini sitawaambia hamtaki kutunza siri...
  11. Unapimaje utendaji wa chama chako cha siasa? Je, unakubaliana na kila wanachoeleza wametekeleza au unahoji na kuutafuta ukweli?

    Chama cha siasa ni muhimili katika mfumo wa kisiasa wa nchi yoyote, na utendaji wake unaweza kuathiri maendeleo na mwelekeo wa jamii. Hata hivyo, swali linalojitokeza ni jinsi gani tunavyoweza kupima utendaji wa chama chetu cha siasa. Je, tuamini kila wanachotuambia, tukikubaliana na kila hatua...
  12. Pre GE2025 Tuweke ushabiki pembeni, ukweli ni kwamba Rais Samia ameshindwa kazi ya urais

    1. Mpaka sasa haieleweki dira yake hasa ni nini. Kila kitu ni kama kinajiendea tu. Hakuna concrete direction. 2. Nchi inakosa umeme kila mahali kwa zaidi ya miezi sita na wala hakuna kinachofanyika. Hapajawahi kutokea mgao mrefu hivi. 3. Kuna maeneo maji yanakatika hata wiki nne na hakuna...
  13. Ukweli mtupu usiopingika kuhusu maisha

    Katika maisha ya leo ukijionea huruma, utakuja kutia huruma. Ukikosa nidhamu, utakuwa kuadabishwa na walimwengu Ukijidanganya utakutana na ukweli muda ukiwa umepita. Tujifunze na kutia maanani yafuatayo: 1.Thamani yako ndo inaamua mkate unaoingiza. Ikiwa chini, lazima ipande kubadili matokeo...
  14. Ukweli ni kwamba Mbagala ina ardhi nzuri kuliko Bunju, Tegeta na Msasani

    Bei ya Viwanja huko Tegeta, Bunju na Boko ni kubwa mno ukilinganisha na Mbagala, lakini linapokuja suala la Mvua Mbagala haina mafuriko kabisa kulinganisha na Tegeta, Bunju na Boko. Sasa kinachowafanya wengi kukimbilia huko ni nini?
  15. S

    Umeme umekuwa janga la Taifa, Rais jitokeze uiambie Taifa ukweli

    Watanzania wenzangu sijaona hali mbaya ya umeme km wakati huu. Tuliambiwa ilikuwa tatizo la upungufu wa maji kutokana na ukame. Mvua imenyesha tangia mwezi wa 11 na mpaka sahivi inanyesha mpaka imekuwa kero. Lakini hakuna umeme na hali ndiyo imekuwa mbaya sana, hata km watanzania mmezoea ni...
  16. Pre GE2025 Kigwangalla: Nitawajibika lakini ukweli ni kuwa Mifumo yetu nchini ni dhaifu

    Mjadala wa kitaifa usingepaswa kuwa Dr. Hamisi Kigwangalla amekosea, atoe ushahidi, ataje, hakupaswa kusema alichosema, ana wivu kwa kuwa yeye yuko benchi etc, bali je alichosema ni uongo ama ukweli; kama ni ukweli tunafanyaje ili kudhibiti? Badala ya kunyoosheana kidole, ama kutaka umbeya ni...
  17. Ni muda wa kuambiana ukweli. Sisi watu weusi hapa duniani tatizo letu ni nini?

    Huu ni muda wa kuambiana ukweli ndugu zangu. Hivi sisi watu weusi hata waafrika tatizo kubwa ni nini hasa hapa duniani mbona tumeganda kama kwenye barafu ? Tupo nyuma nyuma tu kwa mambo mengi huku hao wanao onekana wenzetu wakituacha mbali. Yaani sisi kwa vitu vingi tuna kimbizwa na hawa watu...
  18. Ukweli ni kwamba PM Majaliwa amenyimwa uhuru wa kufanya kazi

    Je, Majaliwa wa 2015-2021 ndiye huyo wa sasa!? Ukweli ni kwamba, siye Majaliwa tuliye mzoea. Siye PM Majaliwa aliye wahi kuwa na uwezo wa kuchukua uamuzi mgumu kwa Watumishi wazembe wa Serikali. Na siye Kassim aliye ogopewa na Watendaji wazembe wa Serikali. Kwa hakika, Majaliwa kapoa kawa wa...
  19. Ukweli Mchungu kuhusu wanawake wanaouza ‘Busta’ barabarani

    Katikatika ya msongamano wa magari jijini Dar es Salaam, wanaonekana wanawake wenye mabeseni vichwani wakizunguka huku na huko. Hawa ni wajasiriamali, wachuuzi wa mihogo mibichi, karanga, tende, mchele na nazi maarufu busta. Wachuuzi hawa wanatumia msongamano kwenye makutano ya barabara kuuza...
  20. Pre GE2025 Kwa kuwa CHADEMA ndio chama kikuu, nashauri kampeni zake ziwe kama za Kiinjilisiti

    Mimi nikiwa namba moja wa kujitolea kufanya kampeni hizo za kiinjilisiti, ambapo zitakuwa za nyumba hadi nyumba, mtu hadi mtu Kampeni aina hiii huvuna wanachama kwa wingi, na uhakika wa kuwafikia wananchi wengi na kwa haraka zaidi, CCM anachapika vizuri mno na chepesi zaidi, ukweli ni kwamba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…