ukweni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Dr Chi

    Mambo Nane ya Kuzingatia Ukienda Ukweni

    1. FANYA TAFITI NDOGO KUWAHUSU. Muulize mwenza wako kuhusu asili yao, namna wanavyoishi, nini unatakiwa ufanye na nini hutakiwi kufanya. Jifunze kusalimia kwa lugha yao kama sio ngumu sana, watafurahi kuona unajitahidi kuwa kama wao na hii itaonyesha ni kwa namna gani upo serious katika kujenga...
  2. K

    Ni sawa kuwasiliana ukweni kabla ya kuoa?

    Wakuu hivi kama umepeleka barua kwa mwanamke umejibiwa mahari ni kiasi Fulani Je ni sawa kuwasiliana nao labda mama mkwe kumjulia Hali au baba mkwe kumsalimu ni sawa au miyeyusho??
  3. bongo-live

    Ushauri jamani: Nanyanyasika ukweni, eti nimemchezea muda mrefu

    mimi ni mbabaz wa miaka 39, sijaoa lakini naishi na mwanamke ambaye naweza kusema kuwa ni kama mke wangu kwani nilishamtolea mahari, tumeishi pamoja kwa miaka kumi bila ndoa, sikuona umuhimu wa kufunga naye ndoa kwani yeye ni mama wa nyumbani, nilijua kama nikifunga naye ndoa ikatokea...
  4. Magical power

    Dada kujulikana ukweni sio kuolewa. Kuongea na mtu masaa yote sio kuolewa. Kutolewa barua sio kuolewa.

    Dada kujulikana ukweni sio kuolewa. Kuongea na mtu masaa yote sio kuolewa. Kutolewa barua sio kuolewa. Unaweza ukawa na mtu miaka na msioane, Lakini ukaja kutana na mtu ghafla tu akawa ndio rizki yako. ......usijimalize sana dadangu.
  5. Sonko Bibo

    Niwajibu nini Ukweni? Yaani jibu ambalo litatosha na liwe la haki hata kama litawakera ila liwe la haki.

    Hii ni mimi huyu Sonko sio mwingine,, Short story huko nyuma nyuma hivi nikiwa kijana. * **** **** Miaka imeenda sana,, Kwa jadi ya kabila letu wanaona nimepaa sana age halafu sieleweki. Zingatia sieleweki yaani, Hawasikii Sonko kuwa na demu, wala zile kesi za ajabu ajabu. Kifupi mtaani...
  6. O

    Kwenda kumuangalia mtoto ukweni unatakiwa uende na nini?

    Wakuu msaada aisee vp kwenda ukweni unatakiwa kwenda na nini? Au vizawadi gani? Wakuu naombeni msaada aisee na natakiwa nivaaje? Aisee Nimejichanganya aiseee!!!
  7. Melki Wamatukio

    Ni kipi hutokisahau ulipokuwa ukweni?

    I'll never forget such kind of moment in my life. Ile wamepika matoke wakayachanganya na maharage, plus matumbo ya ng'ombe, karanga za kusiginwa plus karanga za kutafunwa, humo humo mfuru, kha! Ile siku nilitembea kama naruka majoka vile kuelekea toy kujiharishia, tena mbele ya mama mkwe na...
  8. rofa la tz

    Unapoenda ukweni unatakiwa uzingatie nini?

    Jamani wana JF naomba kuuliza hivi unapoenda ukweni unatakiwa uzingatie hasa vitu gani maana nasikia ukienda ukweni huwa kuna utaratibu mwingi sana naomba mnifahamishe.
  9. Ngengemkenilomolomo

    Sikutegemea nilichokikuta ukweni

    Wakuu habari za muda huu. Kijana wenu nina umri wa miaka 28. Baada ya kuona kwamba sasa yanifaa kuwa na mwenzangu wa kuishi nae basi nikachukua jukumu la kwenda kwao kujitambulisha na kufahamika rasmi ili basi niishi nae kihalali kabsa Kipato changu sio kikubwa sana hvo nikawa nimejiwekea kias...
  10. Mkalukungone mwamba

    Wanaume hii yetu; Hivi ulishawahi kukataliwa ukweni Mwanamke ulitaka kumuowa kisa mahari

    Wanaume hii yetu; Hivi ulishawahi kukataliwa ukweni Mwanamke ulitaka kumuowa kisa mahari
  11. lelulelu

    Je, nitumie dili niliyopewa ukweni hata kama wife ananitambia?

    Wakuu mimi ni mume ambaye tumezaa mtoto mmoja na mke wangu ndoa yetu ina miaka zaidi ya mi4 mpaka sasa. Ukweni kwangu yaani familia ya wife imekuwa ikinisaidia saana ila tatizo wife sasa huwa anatamba sana kwamba mimi nasaidiwa na familia yake. Wife amekuwa akiyasema hayo hata wakija marafiki...
  12. MOSHI UFUNDI

    Wanaume tunaokwenda kujitambulisha ukweni hivi karibuni njooni tupeane mbinu za kurahisisha jambo

    Binafsi mwezi ujao naelekea Tanga maeneo ya Muheza kujitambulisha. Nimejipanga kwa haya yafuatayo. 1. Sitolala ukweni. 2. Ikitokea kula ukweni ntakula mlo mmoja tu. 3. Ntavaa simple sana( shati yangu ya mikono mirefu, suruali na balaghashehe kichwani) na kiatu changu cheusi 4. Nitaongea kwa...
  13. Kaka yake shetani

    Ndugu wajitafakari wanapotaka kutembelea watoto wao wenye familia

    Ni meshindwa kuweka kichwa cha habari vizuri ila mtaelewa kuhusu mada hii. Kijana anapoingia kujitafuta na mwenzake pande hizo mbili mnageuza studio p funk majani kila mtu kuja ijalishi mwenzenu ana vyumba vingapi. Kuna kijana hapa bodaboda ana chumba kimoja yani katembelewa na mama mkwe ,dada...
  14. M

    Ukweni hawanitaki, wanasema nimempa dawa kijana wao. Nifanye nini?

    Habari wana jf, Mimi ni binti wa miaka 26 na nipo kwenye mahusiano na Tunatarajia ndoa ila Ukweni wanaweka pingamizi sana na sijawahi fanya chochote kibaya na wala sina mazoe na wakwe zangu ila chakushangaza mama mkwe Anamuuliza Kijana wake "Hivi Bado upo na yule mwanamke tu kwani amekupa...
  15. Donnie Charlie

    Ajikuta polisi baada ya kwenda ukweni mikono mitupu

    Awali kabla ya kwenda ukweni kwake walikubaliana na baba wa bibi harusi mtarajiwa kuwa watakwenda na ng’ombe na mbuzi. Lakni aliwasili ukweni bila kuwa na mifugo hiyo. Uganda. Mzee Samuel Maikut (6O) amejikuta mikononi mwa polisi baada ya kwenda kwenye sherehe ya utambulisho na kutoa mahari...
  16. Magical power

    Nimepata aibu kubwa ukweni

    AIBU Kama kawaida mzee wa visa nakuletea kisa kingine iki apa twende sawa. Dada naomba nipeleke huko kwa wamama kuna aibu imenipata nilikuwa ukweni yani nilienda kwa mara ya kwanza na nilifika usiku nikapewa chumba nililala peke yangu sasa usiku nikabanwa na haja kubwa na chooni sipajui na...
  17. Robert Heriel Mtibeli

    Ukishaoa au kuolewa Ukweni panakuwa Kwenu

    UKISHAOA AU KUOLEWA UKWENI PANAKUWA KWENU, Anàandika, Robert Heriel Mtibeli. Kwenu(ulipozaliwa) sio kwako. Weka Akilini. Kwako patageuka "kwenu" ya watoto wako. Ukiwa kijana ambaye hujaoa na unaishi kwenye na unaakili unatambua kabisa hapo unapoishi kwa wazazi wako sio Kwako bali ni kwenu na...
  18. Jemima Mrembo

    Rose Mhando achumbiwa, atambulishwa ukweni Kahama

    ROSE MUHANDO ACHUMBIWA NA KUTAMBULISHWA UKWENI KAHAMA. Wiki hii imekuwa wiki ya baraka kwa Malkia wa nyimbo za Injili Tanzania, Rose Muhando baada ya kwenda kutambulishwa ukweni Kahama kwa ndugu wa mchumba wake. Kama wanavyoonekana pichani Rose Muhando akiwa na mawifi zake na mwanaume wa...
  19. Tajiri wa kusini

    Ajinyonga kisa kukosa nauli ya kwenda ukweni.

    Kijana William Bahati (20) Mkazi wa Kijiji cha Kashero Wilayani Mbogwe Mkoani Geita amefariki Dunia kwa kujinyonga na kamba ya kufungia mbuzi huku sababu zikitajwa kuwa ni kukosekana kwa nauli ya kwenda ukweni kumzika Baba Mkwe wake. Akiongea kuhusu tukio hilo Mke wa Marehemu, Grace Jeremiah...
  20. Ngurukia

    Unaweza kukubali kuadhibiwa endapo umekosea ukweni/mkeo?

Back
Top Bottom