Habari wanajamvi..!
Leo nimeamua kuja na mada inayowahusu watu wanaoishi kwa ndugu, shemeji au ukweni.
Ndugu asikwambie mtu kuishi kwa ndugu baadhi kunaitaji huwe na kiwango cha hali ya juu cha hekima na busara la sivyo unatimuliwa haraka tu.
Mambo yanayopelekewa kutimuliwa
1. Tabia mbaya...
Takribani siku chache tangu nitambulishwe ukweni kama kijana mtarajiwa mambo nilioweza kuyaona.
1.Nilikaribishwa salama salmini kwa vifijo na vigelele msosi ulipikwa tukala na kusaza.
2.Baada ya hapo talisman mazungumzo tukiwa watu watatu mimi, baba mkwe na mama mkwe ila yote tisa kumi ni pale...
Baada ya mgogoro na kelele za muda mrefu za lini utakuja kwetu kujitambulisha mara nyumbani hawanielewi kila siku wananiuliza lini utakuja, mara unavyozidi kuchelewa unaniweka katika wakati mgumu sana haya ni maneno ya mtoto wa kike aliokuwa akiniimbia takribani miaka miwili tangu tuanzishe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.