Baada ya mgogoro na kelele za muda mrefu za lini utakuja kwetu kujitambulisha mara nyumbani hawanielewi kila siku wananiuliza lini utakuja, mara unavyozidi kuchelewa unaniweka katika wakati mgumu sana haya ni maneno ya mtoto wa kike aliokuwa akiniimbia takribani miaka miwili tangu tuanzishe...