Tunajua sote jinsi mchezo huu ulivyo muhimu kwa Simba na Taifa kwa ujumla, ndio wa kwanza katika historia ya Nchi yetu kutumia teknolojia ya usaidizi wa Video kwa Mwamuzi (VAR).
Zaidi ya hayo Sheria za CAF zinataka uwanja kuwa wazi angalau saa 72 kabla ya mchezo.
Pamoja na kwamba Wanasema saa...
Leo baada ya CAG Kichere kuwasilisha ripoti ya ukaguzi wa hesabu za serikali, Mh Rais alipata nafasi ya kutia neno.
Mh Rais ameona hakuna ulazima wa magari kukaguliwa hapa nchini. Ameona umuhimu ni magari kukaguliwa huko huko yanapoagizwa.
Mh Rais amesema wenzetu wapo makini kwenye kufanya...
Nawasalimia kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Tangu kufunguliwa kwa shule za secondary na msingi inchini mwaka huu 2022,,,
Ofisi za afisa elimu mikoa mbali mbali zimekuwa busy Sana ktk kuhudumia wanainchi wanaohitaji uhamisho wa shule kwa watoto wao.
Baada ya wingi huo wa wananchi...
HABAR WADAU hope wote mpo poa
Leo nina maswali mengi sana wadau nilitaka nifungue uzi mmoja niweke mada zote ila nikaona nitawachanganya wadau ngoja nifungue kila kitu na uzi wake uzi huu niliwahi kuuandika apo nyuma sema sikuwa na screenshoot ivo mada ikakosa mashiko leo sasa twende pamoja pia...
Misamaha ya kodi mara zote huwa ni kwa jili ya wawekezaji ambao misamaha hiyo husababisha mapato mengi kupotea na kwenda kumkaba asiye na kitu, ambaye ni mwananchi wa chini kutoa tozo, ushuru, ada nk. Sababu wanayosema ya kutoa msamaha wa kodi ni kuvutia uwekezaji, sababu ambayo ni mfu kwa kuwa...
Yaani Wenzenu Simba SC wanajiandaa Kucheza na Vilabu vya maana Barani Afrika huku ikiwa imetoka Kucheza na vingine viwili huko Morocco ilipokuwa Pre Season nyie mnacheza na Friends Rangers FC ya Magomeni.
Mlivyo Wapuuzi japo wenyewe mnajifanya mna Akili baada ya Majuzi Kunyooshwa na Wazambia...
Habarini wadau wana JF
Je, kunaulazima wa kumpa mpenzi wako pesa kila akija nyumbani kwako? Maana inakuwa kama umemnunua vile ninavyoona maana muda wa kuondoka wanakodoa macho kweli.
Mbona wanaume wakienda kwa wapenzi wao wa kike hamtupi nauli? Au ndo mwanaume utakula kwa jasho maana mbinguni...
Hii habari ya yule wakili maarufu kwenye kesi zenye uhusiano na sanaa kuitwa kujieleza na pengine kufikishwa ubaoni kwa Pilato linaweza kutengeneza shujaa asiyetegemewa akageuka kuwa cheche ya moto (spark of fire) inayo subiriwa na wabaya wa wenye dhamana.
Kuna washindani wenu au watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.