Mkurugenzi Mtendaji (CEO) wa kampuni changa ya Moonshot AI, Dkt. Yang Zhilin (miaka 34), ambaye ni mhitimu wa Chuo Kikuu cha Tsinghua, amezindua modeli mpya ya akili bandia (AI) iitwayo Kimi K3.
Kimi K3 imekuwa miongoni mwa modeli za AI zilizozungumziwa zaidi mwaka 2026 kutokana na uwezo wake...