LEARN BEFORE YOU BET
LIGI NA MECHI ZILIZOWAHI KUKUMBWA NA KASHFA ZA UPANGAJI MATOKEO (MATCH FIXING)
Katika ulimwengu wa soka, Match Fixing ni tatizo la kweli linalotokea duniani kote. Haimaanishi kwamba kila mechi kwenye ligi hizi imepangwa, bali ni ligi ambazo ziliwahi kuwa na uchunguzi...
Katika ulimwengu wa soka, mijadala ya nani ni bora kuliko mwenzake huwa haikwepeki. Kwa sasa, gumzo limekuwa kati ya wachezaji wawili mahiri: Pacoume Zouzou na Mpanzu. Wote ni wachezaji wenye vipaji, lakini katika makala hii tunachambua kwa undani sababu zinazomfanya Pacoume kuwa juu zaidi ya...
Cristiano Ronaldo sio tu gwiji wa soka bali pia ni mfanyabiashara aliye na aina mbalimbali za biashara zinazoendeleza ushawishi wake zaidi ya uwanjani. Chapa yake ya CR7 inajumuisha nguo, viatu, manukato, na biashara zingine kubwa.
Kupitia biashara hizi, Ronaldo anahakikisha urithi wake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.