ulimwengu wa soka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. I

    JamiiForums Tanzania Ligi na mechi zilizowahi kukumbwa na kashfa za upangaji matokeo (match fixing) katika ulimwengu wa soka

    LEARN BEFORE YOU BET LIGI NA MECHI ZILIZOWAHI KUKUMBWA NA KASHFA ZA UPANGAJI MATOKEO (MATCH FIXING) Katika ulimwengu wa soka, Match Fixing ni tatizo la kweli linalotokea duniani kote. Haimaanishi kwamba kila mechi kwenye ligi hizi imepangwa, bali ni ligi ambazo ziliwahi kuwa na uchunguzi...
  2. JamiiForums Tanzania Pacoume Zouzou vs Mpanzu — Sasa basi, maana Pacoume ni bora kuliko Mpanzu

    Katika ulimwengu wa soka, mijadala ya nani ni bora kuliko mwenzake huwa haikwepeki. Kwa sasa, gumzo limekuwa kati ya wachezaji wawili mahiri: Pacoume Zouzou na Mpanzu. Wote ni wachezaji wenye vipaji, lakini katika makala hii tunachambua kwa undani sababu zinazomfanya Pacoume kuwa juu zaidi ya...
  3. JamiiForums Tanzania Biashara kubwa zinazomilikiwa na Cristiano Ronaldo

    Cristiano Ronaldo sio tu gwiji wa soka bali pia ni mfanyabiashara aliye na aina mbalimbali za biashara zinazoendeleza ushawishi wake zaidi ya uwanjani. Chapa yake ya CR7 inajumuisha nguo, viatu, manukato, na biashara zingine kubwa. Kupitia biashara hizi, Ronaldo anahakikisha urithi wake...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…