ulinzi shirikishi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. exalioth

    Nimemkamata mwizi wa Taa (balbu) usiku wa leo

    Inashangaza na inaskitisha... Ilikua ni majira ya usiku saa saba na ushee usinigzi uligoma kabisa nilikuwa naumwa, tumbo lilikuwa linasokota nikatoka nje kuskilizia maumivu, sasa nikiwa nmekaa kwenye maua yaliyostawi niliona kwa jirani yangu taa za nyumba yake zimeanza kuzima moja baada ya...
  2. Erythrocyte

    Wananchi kuweka Mageti ya ukaguzi mitaani ni ishara ya kushindwa kwa Jeshi la Polisi

    Sasa hivi maeneo mengi ya Mkoa wa DSM wananchi kwa umoja wao wameamua kuajiri walinzi binafsi na kuweka Vizuizi vya ukaguzi kwenye mitaa, ukifika kigamboni au Mbezi Beach ni lazima wenyeji wako wathibishe ujio wako mbele ya walinzi , vinginevyo utaishia njiani . Pamoja na pongezi hizi kwa...
  3. B

    IGP Sirro anapopingana na Dhana ya Ulinzi Shirikishi

    Kamanda Sirro amekuwa akijinasibu kuhamasisha watu na ulinzi shirikishi. Sirro amekuwa akihimiza kuwa: "ushirikishwaji watu katika maeneo yao ndiyo njia pekee ya kuumaliza kabisa uhalifu katika maeneo husika." Kamanda Sirro amekuwa akieleza zaidi kuwa, wahalifu wote wanajulikana katika jamii...
  4. Rufiji dam

    Waziri Simbachawene acha kuingiza raia kwenye ulinzi. Polisi wako wanafanya nini?

    Hivi sasa kuna migogoro kila mahala juu ya kuwepo kwa ulinzi shirikishi. Mfano mtaani kwangu mwenyekiti wa mtaa ambaye ni wa CCM kawa mwizi kabisa maana analazimisha kila mkazi wa kitongoji mwenye nyumba alipe Tshs.10,000 kwa mwezi suala ambalo analibeba kama vile ni kesi. Sasa hivi anatishia...
Back
Top Bottom