Sheria ya Ulinzi wa Taarifa ya Binafsi ya mwaka 2022 (Tanzania) inatumika kwa 'Ulinzi wa Taarifa Binafsi', ambazo ni taarifa zinazohusiana na mhusika wa taarifa (data subject). Sheria hii inawapa watu haki ya kulindwa faragha zao katika ukusanyaji, uchakataji na udhibiti wa taarifa.
Taarifa Binafsi ni maelezo fulani ambayo yanamtambulisha mtu, au kueleza jambo fulani kuhusu maisha yake.
Taarifa Binafsi huweza kuwa majina ya mtu, namba ya simu, mwaka na tarehe ya kuzaliwa, dini, kabila, mahali anapoishi na mengineyo yanayombainisha mtu fulani.
Aidha, vifungashio...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameelekeza Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia na Habari kuhakikisha inakamilisha uandaaji wa Sheria ya Kulinda Taarifa Binafsi za Watu
Ameelekeza hayo katika uzinduzi wa Mfumo wa Usafirishaji wa Dharura wa Wajawazito na Watoto Wachanga (M-MAMA) leo...
Haki za Kidigitali kimsingi ni haki ya binadamu katika enzi hizi za mtandao. Kwa mujibu wa Umoja wa Mataifa, kuwatenganisha binadamu na mtandao ni ukiukaji wa haki hizi na ni kinyume na sheria za kimataifa.
Kadiri tunavyoendesha maisha yetu mtandaoni - kununua, kushirikiana kijamii na...
SERIKALI imewataka wanaokusanya na kutumia taarifa za watu binafsi, taasisi na Serikali kupitia mitandao kutimiza wajibu wao kwa kuzilinda kwa kufuata kanuni, taratibu, sheria, maadili na nidhamu ya kulinda taarifa hizo kwa kuwa Serikali inatambua umuhimu wa kuzilinda taarifa hizo.
Hayo...
Picha: Dkt Faustine Ndungulile
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Dkt Faustine Ndungulile ameeleza azma ya serikali katika kuanzisha Sheria ya ulinzi wa taarifa binafsi (Personal Data Protection). Dkt. Ndugulile amesema serikali inathamini jambo hili linalozidi kuwa maarufu...
Unashauriwa kuharibu kwakuwa inaonesha jina la Benki, Namba nne za mwisho za namba ya Akaunti, kiasi kilichotolewa na kilichobaki.
Taarifa hizo zikifika kwa mtu mwenye nia mbaya anaweza kuunganisha na taarifa nyingine na kufanya ulaghai kupitia wewe.
Dar es Salaam. Usajili wa taarifa za watu kwa mfumo wa kidigitali, umeanza kuibua wasiwasi wa usalama wa taarifa binafsi, hivyo kuibua hoja ya umuhimu wa kuwapo sheria ya ulinzi wa taarifa binafsi na faragha nchini.
Hoja ya kutungwa kwa sheria ya aina hiyo, imepata nguvu hasa baada ya uamuzi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.