ulinzi

  1. I

    Ujerumani kutumia dola bilioni 4.3 kununulia mfumo wa ulinzi wa anga aina ya Arrow 3 kutoka nchini Israel.

    Ujerumani inapanga kutumia kiasi cha dola za kimarekani bilioni 4.3 kununulia mfumo wa ulinzi wa anga aina ya Arrow 3 kutoka nchini Israel. --- Germany is one step closer to acquiring Israel's Arrow-3 missile defence system. The German government has expressed its willingness to buy the...
  2. B

    Hili la Bandari zetu kubinafsishwa kwa muda na 'conditions' ambazo hazijulikani, tuviachie vyombo vyetu vya Ulinzi na Usalama

    Asalaam Aleykum wana jamvi, Ama baada ya salamu hizo nidondoke kwenye mada tajwa hapo juu. Kiukweli suala la kubinafisha (??!kumilikisha) Bandari zetu, ni suala ambalo limeibua hisia za Watanzania wengi wazalendo wa dhati (na wasio na uzalendo wa dhati). Ni suala ambalo kwa kweli kwa kila...
  3. Librarian 105

    Joseph Musukuma, usiangalie upande mmoja tu wa sarafu

    Mbunge wa Geita, Josephu Musukuma, wakati unapotoa ushauri kwa vyombo vya ulinzi na usalama kuwachukulia hatua wanaopotosha mkataba wa Dubai Port World na Tanzania Ports Authority. Ni vyema pia ukapigania bunge lijadili kwa uwazi kila kipengele cha mkataba huo pasina na shinikizo la uchama...
  4. Loran

    SoC03 Ulinzi wa Bima kwa mtu wa tatu

    Utangulizi Maana ya Bima Bima ni mfumo wa ulinzi au fidia ambao unamuwezesha mtu au shirika kulinda mali zao au kujilinda dhidi ya hatari au hasara ambazo zinaweza kutokea. Kuna aina mbalimbali za bima mfano bima ya Afya, bima ya vyombo vya moto, bima ya maisha, bima ya moto n.k. Aina ya bima za...
  5. JanguKamaJangu

    Uteuzi mpya wa Rais Samia, leo Juni 8, 2023, Prof. Abel Makubi ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa MOI

    Rais Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa nafasi kadhaa, amemteua Prof. Abel Makubi kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mifupa (#MOI) akichukua nafasi ya Dkt. Respicious Boniface ambaye amemaliza muda wake Omar Issa ameteuliwa kuwa Mkuu wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela...
  6. BARD AI

    Idara za Ulinzi na Usalama za Marekani ziliwahi kuikataa DP World kwa kuhofia kuingiza Magaidi na Silaha

    Kwa mujibu wa Bill Gertz, mwandishi wa Kitabu cha Breakdown: How America's Intelligence Failures Led to September 11 alinukuliwa akisema "Maafisa wa kijasusi na usalama waliopinga mpango wa kubinafsisha Bandari zake kwenda Dubai Ports World walisema bandari ziko hatarini kutumika katika...
  7. BARD AI

    Waziri Innocent Bashungwa awakabidhi Wakuu wa Majeshi Wastaafu Land Cruiser LC300 mpya

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Innocent Bashungwa amewakabidhi magari mapya Wakuu wa Majeshi Wastaafu kwa maelekezo ya Rais na Amiri Jeshi Mkuu, Dkt. Samia Suluhu Hassan. Wakuu wa Majeshi Wastaafu waliokabidhiwa magari ni CDF Mstaafu George Waitara na Robert Mboma na makabidhiano...
  8. Zaitun kessy

    SoC03 Kutumia teknolojia ya kisasa ni hatua muhimu katika kuleta usalama na kulinda rasilimali za Tanzania

    Usalama ni suala muhimu sana katika maendeleo ya nchi yoyote, na Tanzania sio tofauti. Katika juhudi za kuboresha usalama na kulinda raia wake, serikali ya Tanzania inaweza kutumia vifaa vya usalama, teknolojia ya usalama barabarani, na polisi kwa njia yenye ufanisi. Kwanza, Kuanzishwa kwa...
  9. I

    Namna ilivyo vigumu kwa mfumo wa ulinzi wa anga (Patriot) kuharibiwa kabisa na kombora la Hypersonic (Kinzhal) Missile

    Tofauti na wengine wanavyofikiri, ni vigumu sana kwa kombora la Hypersonic (Kinzhal) kuharibu kabisa mfumo wa ulinzi wa anga kama Patriot Air Defense System. Mfumo huu wa ulinzi wa anga kwa namna ilivyotengenezwa kufanya kazi haikai sehemu moja bali ina mifumo kadhaa ambazo huwekwa maeneo...
  10. M

    Tambo za G7 huko hiroshima zaingia doa: Bakhmut yatekwa rasmi, Wizara ya ulinzi ya Urusi yathibitisha

    Kesho Zelensky atahudhuria kikao cha G7 akiwa na taarifa mbaya za kutekwa mji ambao aliweka ngome yake uitwao Bakhmut. Key Donbass city fully liberated – Moscow Artyomovsk, also known as Bakhmut, has been captured, the Russian Defense Ministry confirmed Fighters from the Wagner PMC in...
  11. R

    Hali tete wakuu mwenye connection kazi za Ulinzi

    Habari wakuu, Mwenye connection kazi za ulinzi ndugu yangu anatafuta. Hali tete. Cc: Sandali Ali
  12. K

    Marekani yasitisha zoezi la kupeleka ndege vita F -16 baada ya mifumo yake ya ulinzi kudunguliwa uko Ukraine

    Baada ya mifumo ya ulinzi ya Marekani ambayo walikuwa wakiiamini sana kupigwa na kuharibiwa na majeshi ya Russia, kwa kutumia makombora ya kinzhai, leo Marekani amepiga marufuku ndege zake aina ya F -16 zisipelekwe ukraine wala kuwafundisha askali wa ukraine. Hii Ni baada ya kugundua kwamba...
  13. Teko Modise

    Kwanini Rais Samia haambatani na Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi kwenye matukio na hafla za Kitaifa?

    Zamani ungeweza kumuona Mkuu wa Majeshi, IGP, Mkuu wa Magereza, Mkuu wa Uhamiaji, Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa wote hao ungeweza kuwaona kwenye kila tukio alipo Rais wa Jamhuri ya Muungano. Yaani hao wote ungeweza kuwaona kuanzia kwenye uwekaji wa jiwe la msingi, uzinduzi wa...
  14. Pang Fung Mi

    DOKEZO Ongezeko la Wahamiaji na Usalama wetu: Je, Vyombo vya Ulinzi na Usalama Tanzania vimelala Usingizi wa Pono?

    Wasalaam nyote! La mgambo likiliia ujue kuna jambo. Mnisamehe kwa kuanza na utangulizi wa jazba yote ni maumivu ya uzalendo. Tanzania ni nchi ya ajabu sana kila Jambo lipo kimazoea, nitoe rai na angalizo uhamiaji haramu kupitia mipakani hasa Mipaka na Malawi, Rwanda, Burundi, Kenya, Uganda ni...
  15. Mpinzire

    Pentagon yakiri mfumo wao wa ulinzi huko Ukraine ulitungua Kinzhal, wachambuzi wakataa kuwa ile sio kinzal ila BETAB-500

    Uenda ikawa kashfa mbaya kwa Pentagon kushindwa kuyatambua makombola ya Urusi, hii inajiri mara baada ya msemaji pentagon kusema ni kweli mfumo wao wa ulinzi wa Patriot ulilitungua kombola la urusi aina ya Kinzjal huko nchini Ukraine. Wachambuzi wa makombola walianza kulitilia mashakha aina ya...
  16. chuchu2020

    Miradi ya kimkakati ya nishati kuimarishiwa ulinzi

    MIRADI YA KIMKAKATI YA NISHATI KUIMARISHIWA ULINZI Waziri wa Nishati, Mhe. January Makamba na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mhe. Innocent Bashungwa wamekutana kwa ajili ya kupanga mikakati ya kuimarisha ulinzi kwenye miradi ya kimkakati inayosimamiwa na Wizara ya Nishati. Kikao...
  17. N

    TAZAMA wanalipaje kwa nafasi za ulinzi?

    Habari, Naomba kujuzwa kwa wenye uzoefu na hawa jamaa wa mradi wa bomba la mafuta la TAZAMA (TANZANIA ZAMBIA MAFUTA) Hivi wanalipaje kwa nafasi ya ulinzi? Mana nimeona wametangaza nafasi na wamesema mshahara mnono. Naomba kwa mwenye uzoefu au ambae anafanya nao kazi anijuze. Ahsante
  18. T

    Luhaga Mpina awekewe ulinzi iwapo kweli tuna maana ya kupiga vita ufisadi!

    Watu waliojiapiza maisha yao, kufa au kupona, kuuwa ama kuuwawa, ni mafisadi! Ikiwa kweli mnamaanisha kupambana na watu hao hatari, anapotokea mtu mmoja kujitoa mhanga kuwataja hadharani watu hatari kama how, Sisi ambao tuko nyuma ya vita hiyo, jambo moja tu tunapaswa kufanya, Ni kumuunga...
  19. R

    Nimesikitishwa kusikia wanasiasa wanawaza kubinafsisha utengenezaji wa mifumo ya TEHAMA ya vyombo vya ulinzi na Haki jinai kwa makampuni ya nje

    Baada ya ripoti ya CAG kuonyesha watumishi WA umma na mashirika yanayomilikiwa na serikali yameshindwa kufanya vizuri na hivyo kuiletea hasara nchi wanasiasa wapo busy kusoma ripoti na kutengeneza mahusiano ya kibiashara na makampuni ya Kigeni kuja kuchukua hizi fursa wapate ten percent Maeneo...
  20. MK254

    Jengo la Wizara ya Ulinzi mjini Moscow lachomwa moto

    Tutaongea lugha moja hivi karibuni.... A fire has broken out in the Defence Ministry building on Znamenka Street in the centre of Moscow. Source: Russian Kremlin-aligned news outlet TASS, citing emergency services Details: One of the buildings of the Russian Defence Ministry at 19 Znamenka...
Back
Top Bottom