Kitengo cha ulinzi kinachomlinda Rais Mteule wa Kenya, Dkt. William Ruto kimeimarishwa tangu alipotangazwa kuwa mshindi katika Uchaguzi Mkuu wa Urais, Agosti 15, 2022.
Kitengo cha Ulinzi cha General Service Unit (GSU) kimeweka walinzi katika nyumba ya Ruto iliyopo Jijini Nairobi na nyingine ya...
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) amewataka washiriki wa Mafunzo yanayohusu Manunuzi ya Umma kuhakikisha kuwa Mafunzo hayo yanawajengea Weledi na kuwawezesha kutekeleza Shughuli za manunuzi ya Umma kwa Uaminifu na Uadirifu.
Waziri ameyasema hayo...
Tangu akiwa ziara ya Arusha alipokutana na wakuu wa nchi za jumuiya ya Afrika Mashariki na sasa yupo mkoani Mbeya, nimegundua kama ulinzi umebadilika kiaina.
Zamani tulizoea kuona jammer car katika msafara wa Rais lakini kwasasa gari lile halionekani kabisa.
Pia wale jamaa zetu wenye silaha...
Abeid Abubakar
Asubuhi moja mwaka huu namuona utingo wa lori lenye tela, akihangaika kuvuta kibao kilichowekwa barabarani kuashiria kuwa hapo kuna kituo cha abiria.
Lengo lake ni kukipindisha ili dereva wake aweze kukata kona eneo hilo ambalo kwa hakika barabara yake ni ndogo kwa gari hilo...
Serikali ya India imeondoa Muswada wa ulinzi wa data na faragha wa 2019 unaotajwa kuipa Serikali Mamlaka ya kuuliza Kampuni kutoa taarifa binasfi za Wateja wa Kampuni za Teknolojia ili kusaidia kutunga Sera, kinyume na Sera za Kampuni hizo
Serikali imesema hatua hiyo ni baada ya mapitio ya...
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) ameongoza maadhimisho ya miaka ya 95 ya Jeshi la Ukombozi la Watu wa China (Chinese People’s Liberation Army) tangu kuanzishwa kwake mwaka 1927, maadhimisho haya yamefanyika kwenye Ubalozi wa China hapa Nchini...
Waziri wa Ulinzi wa Israel amekiri kuwa wanajeshi wa Urusi nchini Syria mnamo may 13 kwa mara ya kwanza waliamua kuitageti na kuishambulia ndege vita ya Israe F-35, ile midoli ya Marekani ambayo tumekuwa tukiaminishwa kuwa ni stealth fighter (hazionekani kwenye radar). La kushangaza ni kuwa...
Hakuna Kitendo Kimenishangaza na Kimeniuma kama kuona Juzi CDF na Chief of Staff wake wakienda Kiunyonge na Kiuhuruma kwa Waziri wa Ulinzi Kujitambulisha.
Sijawahi kuona popote pale Waziri wa Ulinzi anakuwa Juu ya Jeshi tena Kiprotokali wakati Jeshi ni Serikali Kificho ya Kimedani na...
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax ametembelea Mradi wa Ujenzi wa Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa eneo la Kikombo, wilaya ya Chamwino Dodoma, tarehe 12 Julai, 2022.
Hii ni ziara ya pili kwa Waziri kutembelea mradi wa ujenzi. Lengo la ziara hiyo, ni kukagua...
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb), amewataka watumishi wa Wizara ya Ulinzi na JKT kuendeleza utii, weledi na uaminifu katika utekelezaji wa majukumu yao ya kazi, na kuepuka migogoro mahali pa kazi.
“Pamoja na kuwa sina mashaka kuhusu nidhamu mliyonayo...
Wakuu habari,
Kuuliza sio ujinga , ningependa kujua ni yapi majukumu ya Mnadhimu Mkuu kwenye Majeshi ya Ulinzi ktk Nchi zetu ,
Je, majukumu yao hayafanani na CDF au!?
Sokoni kuna antivirus nyingi na kila moja inajinasibu kuwa ni nzuri. Kwa yule mwenye uzoefu na antivirus mbalimbali naomba ushauri nitumie antivirus vipi kwenye laptop yangu?
Katika muda wa wiki mbili tu, Ukraine imepoteza karibu wanajeshi 5,500, wakiwemo zaidi ya 2,000 waliouawa, Waziri wa Ulinzi wa Urusi Sergey Shoigu alisema Jumatatu alipokuwa akitoa taarifa kuhusu mzozo kati ya Ukraine kwa Rais Vladimir Putin.
Waziri alitoa ripoti yake ya pili kwa kiongozi wa...
RAIS SAMIA KUMPANGIA MABEYO MAJUKUMU MAPYA
Rais Samia Suluhu Hassan ameahidi kumpangia majukumu mengine aliyekuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (CDF), Venance Mabeyo ambaye amestaafu kulitumikia Jeshi.
Amesema hayo baada ya kumuapisha Jacob John Mkunda kuwa CDF mpya, Ikulu Dar es Salaam, leo Juni...
Rais Samia Suluhu Hassan amempandisha cheo Meja Jenerali Jacob John Mkunda kuwa Jenerali, na amemteua kuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (CDF).
Kabla ya uteuzi huo alikuwa Mkuu wa Tawi la Operesheni na Mafunzo katika Makao Makuu ya Jeshi.
====
RAIS, Samia Suluhu Hassan amempandisha cheo Meja...
BUDGET ya ULINZI ya MAREKANI ni USD 778 billion. Anafuata mchina Kwenye 240 USD billion. Ukijulisha BADGET zote za ULINZI ulimwenguni hatufiki 778 billion USD. Anaebisha lete facts sio blah blah. USA yupo sana, Tena sana
Habar zenu wakuu wa humu ndani,
Kuna TV nahitaji kununua (maelezo yake yapo katika picha), nakuiunganisha na circuit breaker kwa ajili ya usalama.
Je, nichague circuit breaker yenye rating gani(single pole) kwa ajili ya usalama wa TV yangu?
Naomba kutoa pongezi kwa Jeshi la Polisi kwa ukaguzi na usimamiaji mzuri wa barabara zetu mimi leo nipo kwa daladala toka Posta mpaka Mbezi tumesimamishwa karibu sehemu 8 na askari ni wengi safi kabisa hii nimeikubali sana.
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax amemtembelea Mkuu wa Majeshi Mstaafu, Jenerali (Mstaafu) Robert Philemon Mboma nyumbani kwake Mbezi Beach Jijini Dar es Salaam kwa lengo la kumjulia hali.
Waziri Stergomena amemtembelea Jenerali Mboma akiwa ni mwendelezo...
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mheshimiwa Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) ameongoza Ufunguzi wa Maenesho Madogo ya Zana na Teknolojia ya Kijeshi ya India (India Mini Defence Expo). Maonesho hayo yaliandaliwa na Ubalozi wa India nchini Tanzania. Maonesho hayo yamefanyika tarehe 30...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.