Amemkuta mwanamke kituoni, akalipa nauli ya anakoshuka ,nae akashuka, Akampigia boda boda, wakati anamsubiri kijana wa boda boda.
Akaja mtu akamgusa bega akasema upo chini ya ulinzi akatokea yule mwanamke akamfunga pingu, gari likaenda wakawa wanapumzika wakanunua chips. Wakamuweka kwenye mti...