Kuna jambo moja Hatari lilikuwa limepangwa dhid ya Rais Samia nikatoa angalizo, Ila baadae mliona ana msafara wa magari 120 na ulinzi mkali; ni pale ambapo walipanga kumfanyia mafia
Naona ameamua amtoe muhusika wa ulinzi hadi kuwa RAS Kilimanjaro kutoka kuwa mkuu wa kikosi cha ulinzi wa Rais...
Kwema Wakuu
Nimeletewa barua ya serikali za mitaa ikiwa na wito WA kutaka niende ofisi za serikali za mitaa.
Kisa na mkasa NI kugoma kulipa Pesa ya taka na ulinzi àmbayo haizidi elfu Tano. Yàani taka 3,000/= ulinzi 2000/=
Walijaribu kunipa risiti za kawaida nikawakatalia nikawaambia waje na...
Naandika kama mzalendo na mwenye upendo wa dhati na taifa langu Tanzania.
kuna mazunumzo niliyasikia yanayohusu Teknolojia kutoka kwa watu nisiowafahamu maana nilikutana nao stendi ya basi wote tukiwa kama wasafiri tu wao walikua wawili walikua wakipiga story za hapa na pale kutokana na...
Urusi Baada Ya Mifumo yake Ya ulinzi wa Anga Chapa S-300&400 Kushindwa kufua dafu mbele ya makombora ya ballistic ya Kimarekani Chapa ATACMS,yanatumika na vikosi vya Ukraine, imeamua kupeleka Mfumo wao wa Kisasa na ghali zaidi huko Crimea.
Mytake :Tusubiri tuone matokeo ya hayo machumachuma...
Tanzania iko katika wakati muhimu katika historia yake. Dira hii inaangazia hatua zinazoweza kuchukuliwa ili kutokomeza ubaguzi wa kijinsia, kukomesha ndoa za utotoni, utumikishwaji wa watoto, tohara kwa wanawake na unyanyasaji huku tukikuza elimu na mazingira tegemezi kwa watoto wote. Suluhu...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro linaendelea kuimarisha operesheni zake dhidi ya uhalifu na wahalifu. Operesheni hizo zimepata mafanikio makubwa ikiwemo kuwakamata watuhumiwa watano wa matukio ya mauaji ambayo yametokea katika wilaya ya Kilombero na Kilosa kati ya Mei 26, 2024 na Juni 2, 2024...
Nimeona bajeti ya hizi Wizara mbili, Wizara ya Ulinzi ina bajeti kubwa kuliko hata Wizara ya Ujenzi. Nadhani ni jambo jema kwa kuwa majemedari wanatakiwa kushinda bila kuinua silaha, na gharama za kurudisha amani ni kubwa kuliko gharama za kuitunza. Pia nchi yetu imezungukwa na nchi zenye mambo...
Ni uchunguzi wa miezi zaidi ya mitatu kwa nyakati tofauti kwenye maeneo mbalimbali Jijini Dar es Salaam na mikoa jirani, ambapo safari yangu inakutana na Walinzi wa kampuni binafsi wakitoa kauli zenye kuashiria uwepo wa mazingira ya upigaji, utapeli na usanii.
Nini kinabainika?
Kwa siku za hivi...
Juhudi za openAI za kupunguza matokeo yasiyo ya kweli kutoka kwenye chatbot yake ya ChatGPT yamegonga mwamba kwa sheria za data za Umoja wa Ulaya
Jopo la wachunguzi lililoundwa kwaajili kufuatilia usahihi wa taarifa za ChatGPT imesema "Ingawa hatua zilizochukuliwa ili kuzingatia kanuni ya uwazi...
Jana nimeshangaa mno kuona watu wakitabiri, wakiomba na wakitamani Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda atumbuliwe na Rais Samia Suluhu Hassan kutokana na kauli yake ambayo hadi sasa sijaona ni wapi kakosea sana sana nimeona kapatia kabisa na alikuwa sahihi.
Mkuu wa Mkoa wa Arusha yupo na wala...
Tanzania Tuitakayo inahitaji ulinzi imara ili kuimarisha usalama WA wananchi na mali zao.
Kwa sasa kumekuwa na uhitaji wa mkubwa wa Polisi Jamii kwenye kata mbali nchini, Hali hii inatupa taswira sio tu ongezeko la watu lakini hata ongezeko la uharifu.
Kwa kipindi Cha miongo kadhaa hapo nyuma...
Mdau umewahi kusikia kuhusu Tv guard ama Fridge Guard?
"Bidhaa za Ulinzi wa TV na Jokofu: Kuweka Vifaa Vyako Salama na Imara!
Je! Umewahi kuwaza jinsi ghafla umeme unavyozimika au kuwa na spikes za umeme zisizotarajiwa zinaweza kuathiri vifaa vyako vya umeme kama TV na jokofu? Ndiyo maana...
Kwanza nitoe pole Kwa taifa la Iran Kwa kumpoteza Kiongozi wao,
Pili, inafaa Ulinzi uimarishwe Kwa Ayatollah Ali ili kumlinda na mashambulizi ya maadui ambao dunia inawajua Ila ndo vile
Mwendesha mashtaka mkuu wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu wa Kivita, ICC, ametoa maombi ya kukamatwa kwa Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu na kiongozi wa Hamas katika Ukanda wa Gaza kwa uhalifu wa kivita.
Mwendesha mashtaka, Karim Khan KC alisema kuna sababu za msingi za kuamini kwamba...
DODOMA: Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa imewasilisha Bungeni Bajeti ya Tsh. 3,326,230,419,000 kwaajili ya matumizi ya Wizara, Vikosi vya Ulinzi kutoka Jeshi la Wananchi (JWTZ) na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kwa mwaka 2024/25.
Kwa mujibu wa Hotuba ya Bajeti iliyowasilishwa na Waziri...
Kama Tunavyojua Uimara Wa Taifa Lolote Kiuchumi Duniani, Ikiwemo Marekani Na Uchina Basi Ni Kuwekeza Nguvu Zaidi Katika Kuimarisha Ulinzi Na Usalama Wa Nchi. Lakini Jambo Hili Ni Kinyume Kidogo Na Nchi Za Kiafrika Ambazo Bado Zinapambana Kujikwamua Kwenye Lindi La Umaskini.
Lakini Kwa Bajeti...
Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena L. Tax amesema Migogoro ya ardhi inayohusisha maeneo ya Jeshi inapaswa kutatuliwa kwa mashauriano kwa kufuata Sheria zilizopo na si Kisiasa
Akiwasilisha Bajeti ya Wizara hiyo kwa mwaka 2024/25 amesema, maeneo ya Jeshi ni maalum kwa...
Usikose Kufuatilia Mubashara, leo Jumatatu.
Hotuba ya Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2024/2025 ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa itakayosomwa na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb).
⏰ 3:00 Asubuhi.
🗓️ 20 Mei, 2024.
📍Bungeni, Dodoma
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.