ulipo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. milele amina

    Hapa ulipo Kuna umeme Leo?

    1. Singida hakuna 2. Mbeya hakuna 3. Arusha hakuna 4. Kilimanjaro hakuna
  2. Mlaleo

    Baada ya Kashfa ya Trump, Ulaya kwa kauli moja wamuambia Zelensky your not Alone you never walk alone alipo wapo ulipo tupo simamia nchi yako

    Februari 28, 2025 Wakuu wa Umoja wa Ulaya wanamwambia Zelensky kwamba "hauko peke yako" baada ya kukashifiwa na Trump katika Ikulu ya White House Wakuu wa Umoja wa Ulaya Ursula von der Leyen na Antonio Costa wanamhakikishia kiongozi wa Ukraine Volodymyr Zelensky uungwaji mkono usioyumba wa...
  3. dorge

    Mh. Jumaa aweso hapo ulipo "Unamuangusha mama Samia"

    Ndugu jamaa na marafiki wa Mh Jumaa. Huyu kijana wenu anamuangusha Rais, maji hakuna. Sio kwa walala hoi tu hata wanyama hawapati maji. Ndh Aweso unamuangusha huyu mama yetu. Imagine watu wanatajabhata majina ya mitaa yao. Kimya . Hakuna ufumbuzi
  4. R

    Hali ya jua kali ulipo ikoje? TMA utabiri ukoje?

    Jua linawaka sana huku mikoani. Nadhani kuna sehemu kuna angalau mvua kidogo. Tupeane taarifa, One can shift from one region to another to look for agricultural opportunities Sehemu ambazo hata tone hakuna 1. Mwambao wote wa Bahari ya Hindi
  5. Dazla tech

    Huduma ya ufundi popote ulipo

    Habari wanajamii forum kwa wale Wenye changamoto ya kiufundi kama TV,JBL SPEAKER, NA HOMETHETA unaweza nitafuta kwa namba 0655226738. Nafanya kazi kwa uaminifu mkubwa sana
  6. T

    Pocket WiFi 4G – Internet Yenye Kasi na Portable Popote Ulipo

    Habari njema kwa wote! 🎉 Tunawaletea Pocket WiFi Portable yenye kasi ya 4G, inayokuwezesha kufurahia internet popote ulipo! 🔥 👉 Bei ya WiFi: Sh. 50,000 tu! 👉 Ukisajili, unapata GB 20 BURE kwa mwezi mmoja. BEI ZA VIFURUSHI 💻 Sh. 10,000 – GB 10 💻 Sh. 20,000 – GB 20 💻 Sh. 30,000 – GB 25 💻 Sh...
  7. OMOYOGWANE

    From scratch: Jinsi ya kuwa dalali popote pale ulipo.

    Eeeh wakuu, Leo nitavunja code ya udalali kwa watu wote ambao wanalala hawajui wakiamka waende wapi wakatafute ridhiki. Hii code kanipa jamaa aliyekuja huku bariadi kwa ishu zake namimi nimeona niwape bure. NILIMUULIZA ULIANZAJE ANZAJE KAZI YA UDALALI Akanijibu short tu, "nilishikwa mkono...
  8. T

    Ilikuwaje ulipo sikia kwichikwichi chumba cha jirani yako ulipopanga?

    Kwenye Nyumba za kupanga tunateseka sana sisi mafukara, siku MOJA nipo single nimelala chumba Cha jirani kitanda kinasikika mechi on afu mdada analia makusudi, huwezi amini mnara wangu ukawa nyuzi tisini, najipiteza wapi nikaona si vibaya nende bafuni!!! Wewe ulifanyaje?
  9. Transistor

    Ni mashine gani au Mtambo gani, uliwahi fikiria kama ukitengenezwa, utatatua changamoto za kilimo au Ufugaji hapo ulipo

    Kazi ya tekinolojia ni kutatua changamoto za kijamii,hasa zile zinazokumba shughuri za uzalishaji mali. Najua kuna changamoto umesha wahi kukutana nayo,na ukatamani uwepo wa kifaa flani kutatua changamoto hiyo. Au kifaa hicho kipo ila ni gharama sana hasa kuagiza nje ya nchi. Wazo lako ni...
  10. H

    Je mahali ulipo unapata huduma za simu kama onavoatahili?

    Kwa takribani wiki nzima sasa mawasiliano ya mtandao wa Vodacom ni mabovu kupindukia. Kila simu unayotaka kupiga lazima ujaribu mara mbili au tatu ndo simu inaunganishwa.
  11. Eli Cohen

    LGE2024 Vipi harakati za siku ya kwanza ya kampeni maeneo ulipo?

    Aisee yani ni watu wanajibizana na boda boda duuh Yani vruuuuuuuu.... Tangia asubuhi!!!!!!
  12. Brojust

    Watu wote hapa ambao hawaamini kama Mungu yupo someni hapa

    Shalom watu wa Mungu. Moja kwa moja kwenye mada, wanasayansi na wana imani watatusaidia. Je, Uhai wako ulianza tu pale ambapo mbegu moja ya mzee wako ilipokutana na yai la mama yako ? Je ulikuwa unajitambua kwamba tayari mimi ni binadamu na ile miezi tisa wakati uko tumboni ulikuwa unahisi...
  13. L

    Rais Samia: Ukiwa Muadilifu Vyeo Vitakufuata Ulipo

    Ndugu zangu watanzania, Haya ni Maneno ya Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti. Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA...
  14. GENTAMYCINE

    Tetesi: Kuna tetesi kuwa kuna mambo yatafanyika ili kuzima yanayojiri Sasa

    Nimesikia baada ya Wasaidizi wake kuona kuwa Mitandaoni Kumenuka na kila Kona anashambuliwa kwa Boko lake alilolitoa Jana kuna Kikao kimefanyika huku Mhusika akiwa anatia Huruma kwani kuna Mtu Mmoja anayemheshimu sana kamwambia Ukweli kuwa jana ameharibu hata Yeye kamshangaa. Hivyo basi ili...
  15. F

    Series/movies tano na kukuletea mpaka ulipo

    kwa bei ya 3000 tu, uhitaji series au movies yoyote popote nitumie list ya movies/series unazohitaji kwa gharama ya 5 kwa 3000 tuu na kukuletea ndani ya dar es salaam. whatsapp: 0685068828
  16. ndege JOHN

    Tupeane updates za mwenendo wa mvua za VULI hapo ulipo

    Ni kwa yale maeneo ambayo huwa mmezoea kupata mvua mara mbili kwa mwaka mikoa ya pwani ya mashariki, pwani ya kusini, kaskazini na kanda ya ziwa hali ipoje TMA majuzi walitabiri mwaka huu zitanyesha chini ya wastani zitaanza kwq kususua.vipi zimeshaanza week la mwisho la august?kwa ujumla kupoje...
  17. G

    Watumiaji wa halotel, Weka speed test yako na eneo ulipo, naanza mimi.

    pima speed yako >> minya hapa << Halotel internet speed test yangu nimepima nikiwa Iringa mjini, Je huko kwako ni ngapi ?
  18. GENTAMYCINE

    Jenister Mhagama popote pale ulipo pokea hili

    Kila nikikuangalia ulivyo, nilivyokuzoea, taaluma yako na mienendo yako ( hasa katika Utendaji wako Serikakini ) sioni kabisa Competency yako katika hiyo Docket uliyoko sasa na najua hata uombe Mizimu ya Kwenu kwa Watani zangu Washamba wa Mkoa wa Ruvuma au ubebwe vipi na Namba Tatu Kitaifa bado...
  19. Sa 7 mchana

    Huko ulipo lita moja ya maziwa ni bei gani?

    Muda huu nipo Mwanza Nyamagana, huku bei ni elfu 2 kwa lita maziwa fresh. Je wewe uko ulipo lita ni bei gani. Sio mbaya kama ukiwa mahususi kwa kutaja mkoa, wilaya hata kata kama ikiwezekana. Asante
  20. D

    Naomba kujua bei ya Mahindi eneo ulipo

    Asalaam, Poleni na kazi. Naomba kujua huko ulipo na bei ya mahindi imefika bei gani kwa gunia la debe 7 au 6. Tupeane updates, tuone tunafikaje kuchukua mzigo. Ahsanteni.
Back
Top Bottom