Muwe na alasiri njema!
====
Moshi/Arusha. Sukari inakwenda wapi? Ni swali linaloumiza wengi, huku wakazi wa mikoa ya Arusha na Kilimanjaro wakitaka vyombo vya usalama kuchunguza biashara hiyo, wakisema licha ya bidhaa hiyo kuingizwa sokoni, bado bei imesimama kati ya Sh3,500 na Sh4,000...