Habari wadau,
Naomba kama una taarifa ya bei (prices) za vyakula vya kuku maeneo ulipo. Unaweza kutueleza pia bei hizo ni kwa kipimo gani, labda gunia, debe au hata kilo.
Lengo ni hasa kutambua wapi kuna fursa za kununua vyakula hivyo na kuuza. Mfano: Kwa Arusha bei ya gunia moja la Pumba...