umalaya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MK254

    Hivi kwanini Tanzania kuna desturi ya kutaja makabila ya watuhumiwa wa umalaya

    Huwa pana ulazima gani mpaka kabila litajwe... Makosa mengine hamtaji kabila
  2. sanalii

    Kipini puani sio umalaya kwa mwanamke, ni tamaduni

    Suala la kuvaa kipindi kwa pwani ni suala la kawaida na urembo, Pwani, Tanga ni jambo la kawaida. Tatizo watu wa bara wana mtazamo finyu wa utofauti wa jamii, mtu ametoa huko anakuja anakuta watu wamevaa vipini anaona ni umalaya. Tuelewane, siyo mtazamo sahihi.
  3. DR HAYA LAND

    Wanawake acheni uchafu kwenye vyumba vyenu mnatia aibu

    Kiukweli hawa jamaa wachafu Sana. Nimeona hili Jambo niliseme, yaani ukijichanganya kuingia katika gheto la mwanamke utajuta kuzaliwa Hivi nyie wanawake kwanini hamjipendi, mnashindwa kufua hata mashuka tu? Ahaa mnaboa sana, mna usafi wa nje tu lakini ndani aibu. Kama nasema uongo waulizeni...
  4. luangalila

    Umalaya Shinyanga ni hatari

    Ni siku ya 4 leo nipo mjini Shinyanga kikazi, badi leo mwenyeji wangu akaniambia atanipitisha maeneo ya madada poa wa Shinyanga ili kujionea vijana wanavyo angamia na ngono zembe ndipo tukatembelea eneo linaitwa RELINI. Hapo bana vijana wale wanaoendesha baiskeli au almaarufu kama Boda kwa hapa...
  5. Apollo one spaceship

    Wanawake wanaficha umalaya wao hivi, ni rahisi kuwajua

    #Kuna demu nilimla yeye stori zake ni kushinda kanisani, nikaja kugundua rafiki yangu naye anamega, afu pigo zake ni zilezile za Mungu, nikagundua hapa wanapigwa wengi. #Mwanamke Malaya hujifanya hatoi viashiria vya urafiki kwa wanaume wengine akiwa na mchumba anayemega kwa wakati huo. Wanawake...
  6. Mdudu Mende

    Kwanini wabongo wanadhani kutafuta mpenzi mtandaoni ni umalaya?

    Mpenzi huweza kupatikana mahali popote iwe klabu, kwenye ngoma, shule, kanisani nk. Ni suala la kupatana tu. Kuna watu wanakesha makanisani na hawapati watu wa kuwa nao na kuna watu wamepatana barabarani na wamedumu. Ukuaji wa teknolojia umefanya zoezi la kutafuta wapenzi kuwa rahisi kwa kuwa...
  7. D

    Umalaya na Umasikini ni kulwa na doto

    Habari wadau wangu wa nguvu mlioko humu. Leo naomba kuwajulisha siri hii chungu kumeza! SINA MAANA Kwamba Masikini wote ni Malaya HAPANA! Hapa namaanisha Umalaya na Umasikini ni mapacha wanaopendana! (kulwa na doto) ikumbukwe kwamba siyo kila Doto atatokana na mapacha, Lakini waliowengi ni...
  8. K

    Pamoja na umalaya wangu hili nimelivuka

    Wife anafanya kazi kwenye taasisi flani, kipindi wife akawa amejifungua wageni nyumbani wakawa wanakuja, sitasahau jpli moja nimeshinda nyumbani kuna ndugu zangu walikua wanakuja kumjulia Hali wife na mtoto. Before ndugu zangu hawajafika walikuja wafanyakazi wenzake na wife so ikabidi wife...
Back
Top Bottom