umaridadi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Fbn

    JamiiForums Tanzania Vanvera: Kifaa cha Karne ya 19 Kilichowawezesha Wanawake Kuficha Gesi(ushuzi) kwa Umaridadi

    Katika karne ya 19, kulikuwa na kifaa cha kipekee kilichoundwa mahsusi kuwasaidia wanawake kushughulikia matatizo ya gesi tumboni—bila aibu wala kusumbua waliokuwa karibu nao. Kifaa hiki kiliitwa Vanvera. Vanvera ilikuwa kama pedi au kisahani kidogo kilichotengenezwa kwa vifaa vilivyoweza...
  2. kiredio Jr

    JamiiForums Tanzania Kuwa mtanashati au handsome ni mzigo mkubwa

    Nimeamini kuwa mtanashati ni mzigo mkubwa, hasa ukiwa hauna strong financial stability, expectations zinakuwa kubwa kwa watu wanao kuona, wanalinganisha muonekano wako na kipato chako. Ukiwa umebarikiwa muonekano nadhifu, wengi watadhani hata mfuko wako upo vizuri, huenda unabangaiza na kupata...
Back
Top Bottom