umasikini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Watanzania Matajiri na wafanya biashara wakubwa ni maskini na ukitaka kujua kuwa ni maskini ingia kwenye hizo sehemu mbili

    Ushindani wa Tanzania ni kimaskini sana. Yani leo usije kusikia matajiri wanatoa pesa kukusanya mawazo ili ushinde pesa ambzao wazime wazo au kulichukua wazo. Wengi wamekuwa wakifitiniana ili kujilinda na umaskini wao japo mnawaona kuwa kama kichwa cha habari. Wengi wapo kupigana na wewe.
  2. Harakati za kukimbia Umasikini

    kitabu hiki kinaeleza mambo yafuatayo 1. Ni jinsi gani masikini wanaweza kuukimbia umasikini kwa kuchukua hatua madhubuti . 2. Kinafundisha nidhamu na kanuni za pesa kiundani. 3. Kinafundisha jinsi ya kutambua fursa, kufanya uchunguzi na kunitumia fursa vizuri. Kinapatikana kwa muundo wa soft...
  3. HARAKATI ZA KUUKIMBIA UMASIKINI

    kitabu hiki kinaeleza mambo yafuatayo 1.ni jinsi gani masikini wanaweza kuukimbia umasikini kwa kuchukua hatua madhubuti . 2.kinafundisha nidhamu na kanuni za pesa kiundani. 3.kinafundisha jinsi ya kutambua fursa, kufanya uchunguzi na kunitumia fursa vizuri. Kinapatikana kwa muundo wa soft copy...
  4. Kama unataka kulala njaa tegemea pesa ambayo ipo kwenye mfuko wa mwenzako

    Kama unataka kulala njaa tegemea pesa ambayo ipo kwenye mfuko wa mtu mwingine. Usiache jua lizame kwa kuendelea kusubiri hela ambayo umeahidiwa kupitia kauli zifuatazo; (a) "Usijali leo uhakika nitakutumia baadae"😃 (b) "Nipo somewhere hakuna huduma ya pesa, nikirudi nitakutumia"😃 (c) "Nitumie...
  5. T

    Ngono ndo chanzo cha umasikini wa waafrika acheni kuwasingizia wazungu juu ya umasikini wenu

    Ukifanya tafiti utagundua tendo la ngono kidunia ufanyika sana kusini mwa jangwa la Sahara kuliko sehemu zingine za dunia. Hata ukifanya tafiti unagundua waafrika ndio wanaongoza kwa kuwa na wapenzi wengi kwa wakati mmoja kuliko race zingine. Ngono ni nini ni tendo la kiroho na kimwili kwa...
  6. T

    Pre GE2025 Makonda: Dalili mojawapo ya umasikini ni majungu na fitina

    Vita ya makonda na Gambo inaendelea kupaba moto huko Arusha, Makonda adai dalili mojawapo ya umasikini ni fitina na majungu. Yanini kupanda fitina, fitina, fitina huu ushirikina mtaacha lini jamani? Sababu unajua dalili mojawapo ya umasikini ni majungu, fitina, yani ukikuta sehemu kuna fitina...
  7. T

    Kwann wanawake wanavumilia umasikini wa baba zao na sio wa waume zao.

    Ni wanawake wachache sana wenye kuweza kuvumilia umasikini wa mme wake akifulia kwa sababu pesa ni kama maji ya mto kujaa,kupungua,kukauka,kujaa tena ni kitu cha kawaida kwa 3D eyes. Ukiangalia mahusiano mengi yamejengwa kwenye pesa ukitaka kuthibitisha ili check wanaume wastaafu wanayopitia...
  8. Huyu ndiye kiongozi na mgombea tunayetegemea atumie 'Neoclassical economics' na adadavue 'Complex Economic Boost Projects' Kuondoa umasikini Tanzania

    Huyu ndiye kiongozi ambaye wananchi wa Huko Kilongosi Mtwara, Wanamtegemea atumie akili yake kuinua sekta ya Viwanda na Kutafuta masoko ndani na nje ya nchi ili wauze korosho zao Huyu Ndiye Mgombea ambaye wanafunzi wanaokaa chini kwa kukosa madawati, Wanamtegemea achacharike kufanya transformed...
  9. Hivi unaweza kuwa na akili timamu ukakubali baba yako mzazi auze samaki akiwa na umri wa miaka 92 na ukakubali alalie mkeka?

    Huyu mzee Ana miaka 92 na ana watoto wameajiriwa huko serikalini Ila anauza samaki na kulalia mkeka This is bullshit.
  10. K

    Samia kashidwa swala la Rushwa, Haki na umasikini

    Samia kashidwa swala la Rushwa, Haki na umasikini Rushwa: Imeongezeka. Mikataba ya sirisiri na rushwa kila mahali Haki: Hakuna tume huru ambayo haimtegemei raisi. wizi wa kura kwa kutumia Polisi na usalama Umasikini: Huwezi kununua magari ya milioni 400 kwa bilioni 600 halafu unategemea dawa za...
  11. R

    Nimevaa sana mitumba ya kurusha, kutumia simu kioo kimepasuka miaka miwili, kutembea kubana nauli, niliyaogopa mapenzi, n.k, Umasikini ulaaniwe

    Nikikumbuka maisha niliyowahi kuyaishi siwezi kuja kumuombea hata adui umasikini, Ni hali inayoaibisha, kukunyanyasa, kushusha heshima, kukutesa, n.k. Nimevaa sana mitumba ya kurusha, kiatu unaenda kutafuta lisaa zima uone chenye nafuu Simu imepasuka kioo miaka miwili sina pesa ya kubadili...
  12. Wakati wa uchaguzi chama kikongwe hujidai kama siyo chanzo cha umasikini uliopo nchini

    Kipindi cha uchaguzi na maajabu yake, utasikia maneno na mipango ya busara kutola kwenye chama kikongwe huku wakijitenga kuwa chanzo cha uharibufu na umasikini uliopo, watatoa mawazo chanya yenye akili kama siyo wao waliokaa madarakani toka kabla ya kuanza kwa vyama vingi nchini Tanzania ila...
  13. Utegemezi na Umasikini kwa nchi za Africa, Je tatizo lilianzia kwenye mapokeo ya dini na Imani?

    Ukiangalia waarabu majority identity yao ni Uislam na inawaunganisha. Ukiangalia wazungu, majority ni Christianity, ni kiunganishi cha umoja wao. Wa China wana imani zao ambazo ndio kitambulisho chao. Wahindi majority wanaunganishwa na imani zao. Je ni ipi identity ya Muafrica? Ni ipi imani...
  14. O

    Motivational speaker na madalali chanzo cha umasikini kwa vijana

    Watu wengi wakifanikiwa uanza kuwa motivational speaker,na wanatengeneza story ili wauze wapate pesa zaidi kwa wasio na pesa. Unamponda kijana hana nyuma wala mbele kama vile andazi, kitumbua au chapati. Unamwambia afanue uwinga au achinga mtaji ni mdogo tu lakini aumpi abc za wapi aende...
  15. Uthubutu wako utakufanya uondokane na umasikini

  16. Tanzania watu wanaishi maisha magumu sana ila hawasemi wala kulalamika!

    Jana nilikuwa nimevaa Kofia (bagharashia) pamoja na kanzu. Ila Malaya wanaojiuza waliponiona nimepita Buguruni usiku saanane waliniita ili nikawaungishe. Ebu fikiria huu ni ujasiri wa aina gani?. Peoples are broke Mtu ambaye hana changamoto za maisha hawezi kwenda kujiuza Buguruni hadi...
  17. K

    Nimeamini ni ngumu sana kutoboa kwenye maisha kama unatoka kwenye familia masikini

    Inawezekana kutoboa ila unahitaji nguvu kubwa sana mana unakuwa huna backups kutoka kwa mjomba shangazi wala mamkubwa. Kuna wengine wanapewa mitaji na ndugu Wanapewa connection na ndugu Hata wakikwama wanapewa support na wazazi wao ni rahisi kufanikiwa Oya tupambane sio rahisi
  18. Ujinga na umasikini wa wajumbe ndio unaomfanya Mbowe aendeleee kuwa mwenyekiti wa chadema milele.

    jamani nafsi na roho yangu vinanishudia kuwa Mbowe ataendelea kuwa mwenyekiti wa chadema, nimeumia sana baada ya kuona hili jambo linaenda kutendeka, ukisoma vzr sana walaka wa marehemu "chacha wangwe" utagundua kuwa Mbowe sio rahisi kushindwa uchaguzi kwa sbb ya ujinga mkubwa, na umasikini wa...
  19. Umasikini na Kutojiweza kukidhi Mitaji

    Sio Kila rafiki, ndugu, mke au majirani wako karibu na wewe kwa sababu ya Upendo sio kweli ni Njaa tu ndo zinazowafanya wawe karibu na wewe. Siku wakizipata pesa au kuwa na uwezo wa kukidhi mahitaji yao, lazima watakua mbali na wewe, haijarishi uliwajari namna gani. " Mwanadamu atakupenda...
  20. Ukishabikia Simba na Yanga lazima kichwani ziwe zimepungua na umasikini lazima uwe rafiki yako

    Nimechunguza mashabiki wa hizi timu Simba na Yanga kichwani kama zimepungua Fulani hivi na wamepigwa na maisha sio poa. Mfano Yanga ilipoingia fainali kwenye kombe la shirikisho Kuna jamaa alijirusha barabarani akakanyagwa na gari ubongo nje alaacha familia na watoto watatu wakiteseka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…