umasikini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Dalton elijah

    Tabia Zinazoleta Umasikini Kwenye Maisha

    Mambo yanayo zuia mafanikio kwenye maisha Tanzania ni mengi sana na ukiwachunguza sana watu waliofanikiwa utagundua kuwa kuna tabia au mambo kadhaa yanayoshabihiana kati yao. Pia ukiwachunguza watu walioshindwa au ambao hawajafanikiwa, utabaini pia kuna tabia au mambo kadhaa yanayofanana kati...
  2. G

    Mawazo ya ndugu kujiona entitled ni lazima wasaidiwe na waliofanikiwa husababisha kuridhika, uvivu, umasikini zaidi. Nazipongeza jamii zenye mipaka.

    Ni tabia iliyo kwenye default settings kwa baadhi ya watu kwamba ndugu akifanikiwa basi ni lazima wasaidiwe mpaka kiama. Yani kinyume na hapo hata ukipunguza msaada aidha kwa matatizo yako ya kifamilia, marejesho ya mkopo, n.k. kelele zinaanza anajitenga, anaringa, mke wake kamnunulia gari...
  3. Tman900

    Umasikini + Magonjwa na Afya ya Akili.

    Wahubiri wanatumia watu kua mtaji wao, na kumekua na mahubiri ya kuhubiri mafanikio, na Kuna utapeli unaombatana na Dini, wahubiri wanajinufaisha kupitia Fedha za waumini wao. Jopo kubwa linalolengwa na wahubiri ni wanawake. Ukitazama Television nyingi wanashuhudia kujibiwa maombi na Kuna kua na...
  4. Shooter Again

    Anafanya kazi kiwandani ameshajiwekea msingi wa umasikini milele

    Kuna kazi ambayo ni kituko yaani kama za kiwandani unakuta mtu analipwa 5000 nauli humo humo kula humo humo halafu hapo hapo matusi ya wachina au wahindi koko yanamkabili wakina dada wanaliwa na wachina na kutumikishwa kama mbwa Kuna viwanda vipo huko kibaha watu wanalambwa viboko wakizingua...
  5. Nyafwili

    Ukiwa Huna Hela Kila Kitu Huwa Kinakuwa Kibaya.

    Mtu anapokuwa maskini au kukumbwa na changamoto za kifedha, mara nyingi akili yake huzongwa na mawazo ya matatizo yanayomzunguka, ambayo yanaweza kumfanya aone kila kitu kuwa kibaya. • Hii ni hali ya kisaikolojia inayotokana na msongo wa mawazo, kukata tamaa, au hata kujihisi kama hana thamani...
  6. Dogoli kinyamkela

    Muda huu upo kazini kuna mtu amekaa anapigia hesabu mshahara wako ambao hata wewe mwenyewe haukutoshi!

    Huwezi kuamini muda huu upo kazini kuna mtu mzima kabisa na meno 32 limekaa linapigia hesabu mshahara wako ambao hata wewe mwenyewe haukutoshi. Afrika ukiwa ni lijinga lisiloheshimu kipato chako, unapata marafiki wengi sana lakini ukiamua kuwa na nidhamu kwa kila senti yako, wanasema ni...
  7. B

    Kuna uhusiano gani? kati ya kuzaa watoto wachache na utajiri versus kuzaa watoto wengi na umasikini

    Kwenye kundi la kuzaa watoto wengi naomba tuwatoe wazee wetu waliozaliwa 1950's maana wao kulikuwa na mashamba ya kukidhi mahitaji Tujadili kuhusu kizazi cha 1960's-2024's 👉Aslimia kubwa ya wengi wanaomiliki mali wanaishia kuzaa watoto maximum watatu ni u-busy?, uoga wa kuwagombanisha watoto...
  8. Pdidy

    Roho ya umasikini shtuka

    wa Cuba mmenielewa lakini
  9. OLS

    Umasikini na Maendeleo 101

    Sina shaka na ufahamu wa umasikini alionao Rais juu ya uchumi CV yake inaonesha amesoma Economic Development. Naamini alikuwa anawachezea shere wahariri kwa kuwachanganya kidogo, bahati mbaya uelewa juu ya umasikini waliokuwa nao wahariri ulikuwa na walakini hivyo wakashindwa kumrudishia hoja...
  10. DR HAYA LAND

    Umasikini ambao upo nchi za Africa ni umaskini bandia na sio umasikini unaotokana na Mazingira au umasikini halisi

    Umasikini ambao tunao katika bara la Africa ni umasikini bandia na sio kwamba unapatikana Kutokana na Mazingira. Katika post hii nitamui-invite ndugu Robert Heriel Mtibeli ambaye aliwahi kuzungumzia hili jambo . Umasikini - ni hile hali ya mtu kushindwa kukidhi mambo makuu matatu ambayo ni...
  11. covid 19

    Mikopo ya Bajaj na Pikipiki kwa Vijana: Fursa au Mtego wa Umasikini?

    Kwa muda mrefu sasa, kumeibuka makampuni yanayodai kuwawezesha vijana kwa kutoa mikopo ya bajaj na pikipiki. Kwa mtazamo wa nje, mpango huu unaonekana kama suluhisho kwa changamoto za ajira, lakini kwa undani wake, unaelekea kuwa mtego wa umasikini kwa vijana wengi. Cha kusikitisha zaidi...
  12. G

    Nataka nimsaidie kisiri rafiki mlinzi shilingi milioni 1.2 kwa mategemeo ataacha ulinzi anaolalamka unamtesa ili afanye biashara. Je, nitarajie hilo?

    nimejenga mazoea na mlinzi anaelnda sehemu jirani, mara kadhaa mida ya jioni huwa tunajuliana hali Katika stories kuna siku aliwah kuniambia kazi inamtesa sana, Usiku ni lazima aingie kazini saa 12 jioni mpaka kesho yake alfajiri saa 12 Analalamika kampuni inapewa laki 6 yeye anaachiwa laki 1...
  13. Lady Whistledown

    Ripoti: Mabadiliko ya tabianchi yanawasukuma katika Umasikini Wanawake zaidi kuliko Wanaume

    Ripoti ya Shirika la Kimataifa la Wanawake, (UNWomen) iitwayo Feminist Climate Justice: A framwork for Action ya Mwaka 2023, imeeleza kuwa Kutokuwepo kwa usawa wa kijinsia pamoja na tofauti nyingine za kijamii na kiuchumi kunazidisha udhaifu wa athari za mabadiliko ya tabianchi. Ushahidi...
  14. BLACK MOVEMENT

    Serikali ya CCM haitaki kabisa kuwekeza kwenye maendeleo ya watu, wanawekeza kwenye vitu, Umasikini ni mtaji wao

    Hii nchi zinaimbwa miradi kuchwa nzima kuanzia Madaraja,mara Barabara mara reli na kadhalika. Ila huko huko kwenye hizo Barabara, Madaraja, reli kuna umasikini wa kutisha kabisa, Kule Kigongo Busisi vuka ingia hapo Sengerema kuna Poverty ya kutisha kabisa, Sogea hapo Geita kwa Msukuma kuna...
  15. hmaloh

    KERO Ukosefu wa Namba ya NIDA unaninyima haki zangu za msingi na inanitia umasikini

    Ndugu zangu wanaJF, huu ni mwaka wa sita sasa mtanzania mimi nahangaika kupata huduma hii muhimu lakini mpaka sasa nahisi kukata tamaa kwa maana kila nikiuliza naambiwa bado mfumo mpya haujatangazwa hivyo tuendelee kusubiri kwa wale tusiokuwa na namba ya nida na kibaya zaidi huku mtaani mfumo...
  16. BLACK MOVEMENT

    Kinachoniuma ni kwamba Bunge la Tanzania halina hata mamlka ya kumuhoji mkuu wa wilaya

    Bunge la Tanzania halina mamlaka hata ya kumuita na kumujoji mkuu wa wilaya na wakimuita haendi na hawana cha kumfanya. Hili ni bunge la wapiga makofi na wakitoka hapo zile Posho zao wananunua Bati na mifuko ya cement wanaenda kuhadaa wajinga jimboni mwao. Sasa angalia ni tunahitaji miaka...
  17. Eli Cohen

    Je, umalaya na udanganyaji ni chapa na asili ya jamii fukara au ni tabia binafsi na matokeo ya makuzi?

    Maana kuna mademu huko mitandaoni sex imefanya hadi wanatembelea spacio lakini bado hawajakoma kujiuza. Kuna mabinti wametoka kwenye umasikini mkali hata pale alipobakia na option moja ya kujiuza tu ili ajikimu yeye na familia yake hakufanya hivyo. Ingawa wengi wa mademu hawa wakikuambia mitaa...
  18. M

    Juhudi kubwa zilizotumiwa na hayati Nyerere kupigania uhuru wa nchi zingine ulitusababishia umasikini mkubwa Watanzania

    Hivi angejikita kupambania nchi yake kwa muda wa miaka 24 aliyotawala tungekuwa wap? Lakini watu wanabaki kusifia upande mmoja wa shilingi. Huku wakisahau upande mwingine. Kwa ujumla aliacha nchi ikiwa masikini na hata tuliowasaidia kupata uhuru wanatucheka.
  19. BLACK MOVEMENT

    Hizo Dhahabu zinazo chimbwa Geita na kwingineko kanda ya Ziwa, mbona bado Umasikini uko juu sana?

    Ukimsikia Raisi anaongea kule Geita unaweza dhania ni eneo lenya maisha ya juu kabisa kwa Raia ila ukweli kuna umasikini mkubwa sana kwa raia pale Geita, nenda huko Geita Vijijini kwa Msukuma kule ndio balaa tupu ni full umasikini wa kuonekana kwa macho. Hio Geita ukisikia wakina Musukuma...
Back
Top Bottom