umaskini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tlaatlaah

    Umaskini jeuri katika siasa hupelekea mwanasiasa kujidhulumu hadi uhuru na haki zake za msingi kikatiba na kuambulia hasara kwa kujitapeli mwenyewe

    Kuwaza, kupanga, kuamua na kutenda jambo lolote lile hususani kisiasa lenye kudhuru, kuumiza au kukuathiri wewe mwenyewe na pengine jamii Fulani, ni miongoni mwa dalili za mwanzo sana za dosari au kasoro katika uongozi wa taasisi za kisiasa au afya ya akili hususani kwenye siasa. Kwa mfano hapa...
  2. Mshangazi dot com

    Kwanini wanaume wanaoongoza kwa kuoa wake wengi wanatoka nchi maskini?

    Nchi 5 zinazoongoza duniani kwa ndoa za wake wengi, zote ziko Afrika na ni nchi maskini sana. Burkina Faso: 36% Mali: 34% Gambia: 30% Niger: 29% Nigeria: 28% Nchi zenye viwango vya juu vya kipato na elimu kama nchi za Ulaya na hata zile mashariki ya kati kama UAE na Quatar ndiyo zinaongoza...
  3. Y

    Umaskini ndani ya utumishi wa umma

    Habari Wana JF Sinamengi yakusema ila kama unapambana kitaa pambana usihangaike na ajira za serikalini utaumia, Hawa watumishi wa uma wanao vaa vizuri huku mtaani msiwaogope Wala msitamani maisha Yao wamejawa na stress hatari wanajutia kujingiza katika utumwa,wanajutia kuwa wavivu...
  4. G

    Bora kumtoa kafara mzazi ama mtoto ili kuokoa wengine ktk ukoo kutoka kwenye lindi la umaskini

    Kukubali ukoo mzima kuishi ktk umaskini ni sawa na kukubali kuutoa kafara ukoo mzima. Ndiyo! Umaskini ni ugonjwa. Mkiwa maskini mtakufa kwa magonjwa, stress au mtauana kwa kugombania vitu vidogo. Ni Bora ukaamua kumtoa kafara mzazi mmojawapo ili awe msukule wa kuleta utajiri utakaotumika...
  5. Prakatatumba abaabaabaa

    Uliwezaje kufungua mnyororo wa umaskini kwenye miaka yako ya 30?

    Nilipokua mdogo nilisema nikiwa mkubwa nitapata pesa, nitakua nawasaidia masikini, ila mpaka sasa hivi najiona Mimi ndio maskini mwenyewe ninayepaswa kusaidiwa kabisaa, sijafika 30 lakini nina approach 30, naona kama game ni gumu sana, Inabidi nikae chini zaidi nifanye meditation nijue nimekuja...
  6. chizcom

    Kuna Tofauti ya Umasikini wa kufikia malengo na Umasikini wa kukufikisha malengo

    Ili swala sio utani ila waafrika wengi tunapenda umaskini wa kufikia malengo. Tumeona kuanzia serikali yetu ambavyo kuna mambo ambayo kama bima za afya,sekta za uwekezaji ndani na nje swala la kodi na misimamo ya siasa ambayo chama kikubwa utumia nafasi kama mtaji mkubwa sio kusingizia kuwa...
  7. Mashamba Makubwa Nalima

    Wananchi wahangaika kilometa nne kutafuta matibabu, zahanati iliyojengwa 2021 bado haijatoa huduma

    Wananchi wahangaika kilometa nne kutafuta matibabu, zahanati iliyojengwa 2021 bado haijatoa huduma
  8. W

    Fungua Milango ya Mafanikio: hizi ndizo njia kwa wanaume kujiondoa katika umaskini

    Pata Mwanamke Sahihi Sahau kuhusu slay queens na wanawake wenye sura na shape wasioweza kukuunga maono yako. Tafuta mwanamke atakayekuunga mkono kwenye maono yako na kukupa ahueni kwenye safari ya kusaka mafanikio. Mwanamke alie tayari kutimiza majukumu yake na yenu kwa pamoja, ni muhimu sana...
  9. Magical power

    Watoto wako hawataonja Umaskini🙏

    Watoto wako hawataonja Umaskini🙏
  10. Uwesutanzania

    Faida za UMASKINI

    Ni mimi wako UWESUTANZANIA ✍️ Leo ngoja nikupe faida za UMASKINI,. Unaambiwa katika dunia kila kitu kina hasara na faida. Hivyo kabla kufikilia kufanya unashauliwa kuanza kuangalia pande zote mbili yaani (ADVANTAGE na DESADVANTAGE ) kimombo changu changu kinaweza kisiwe sawa ni kutokana na...
  11. Mwamuzi wa Tanzania

    Haya ni baadhi ya matendo ya kimaskini yanachochea umaskini. Jitahidi uyaepuke

    Ishara kubwa au alama kubwa ya umaskini ndani ya mtu ni hali ya maisha yake. Daily routine ya mtu inatoa jibu kuwa huyu mtu ni maskini , tajiri au mtu wa kipato cha kati. Matendo ya kimaskini ni pamoja na ; 1. Kuomba punguzo kila bidhaa anayonunua. Akiambbiwa suruali hii inauzwa sh. 25000...
  12. Rorscharch

    Kwanini Nchi za Kiislamu zinaendelea kukumbwa na umaskini? Sababu zilizofichika za Kihistoria na Kisasa

    Nchi nyingi zenye Waislamu wengi zinakabiliwa na changamoto kubwa za kiuchumi, hali inayochangiwa na sababu za kihistoria, kitamaduni, na taasisi. Nchi kama Morocco na Yemen, licha ya historia tajiri ya kiasili, zinakumbwa na viwango vya juu vya umasikini, huku wastani wa Pato la Taifa kwa kila...
  13. M24 Headquarters-Kigali

    Ukosefu wa "Siasa Safi" Afrika ndo chanzo cha Umaskini

    Afrika kote tunafanana kwa tabia zetu za kizombi. Siasa Safi inawekwa Kapuni na wachache. Watu wanapiga bila kupingwa. NB: poleni FRELIMO, SWAPO na Vyama vyote rafiki.
  14. Infropreneur

    Hakuna utajiri wa kishetani, Kama kuna utajiri wa kishetani, kichawi au kishirikina, Kwanini watu maskini wasiutumie kuondokana na umaskini wao?

    Waafrika wengi hasa watanzania wamekuwa wakiamini kwa muda mrefu kwamba kuna utajiri wa kishetani, kichawi na kishirikina. Cha kushangaza hali zao za kiuchumi ziko vilevile miaka nenda rudi. Kama kweli kwa hakika unajua na kuamini kuna utajiri wa kishetani, kichawi au kishirikina. Kwa nini...
  15. Rorscharch

    Tunatumbukiza Mamilioni Kwenye Harusi, Lakini tunashindwa changia matibabu ya wagonjwa na tunashindwa kujichanga kwa shughuli za maendeleo ya pamoja

    Nimekuwa nikifuatilia kwa makini jinsi desturi ya kuchangia na kufanya sherehe kubwa, hususan harusi, inavyozidi kushika kasi hapa nchini. Kinachoshangaza zaidi ni kwamba ule wigo wa kuomba michango sasa umepanuka kiasi cha kutisha. Leo hii, mtu ambaye jina lako halijui vizuri anaweza kukuomba...
  16. H

    Chanzo cha umaskini wa Waafrika ni viongozi wa kisiasa na wa kidini

    Habarini, Lengo kubwa la Waafrika kupigana vita dhidi ya wakoloni ilikuwa ni kurudisha ardhi na heshima yao ambazo zilikuwa zimechukuliwa na wanasiasa na viongozi wa dini wa kikoloni siyo kurejesha DEMOCRACY. Leo hii taasisi za kidini na wanasiasa ndiyo wanamiliki ARDHI na UTU kwa kumiliki...
  17. DR HAYA LAND

    Umasikini ambao upo nchi za Africa ni umaskini bandia na sio umasikini unaotokana na Mazingira au umasikini halisi

    Umasikini ambao tunao katika bara la Africa ni umasikini bandia na sio kwamba unapatikana Kutokana na Mazingira. Katika post hii nitamui-invite ndugu Robert Heriel Mtibeli ambaye aliwahi kuzungumzia hili jambo . Umasikini - ni hile hali ya mtu kushindwa kukidhi mambo makuu matatu ambayo ni...
  18. G

    Uchawa, MAGHOROFA kuanguka, wingi wa wamadaktari uchwara mahospitalini na TZ kuangukia pua kwenye kesi za kimataifa ni kilele cha UBOVU wa ELIMU.

    Hali ya elimu yetu ni mbovu sana. Kama taifa, hivi sasa tuko kwenye kilele cha mavuno ya matunda ya ubovu wa mfumo mzima wa elimu yetu. Na bado huu ni mwanzo tu, kuna siku rais atakuja kuwekewa drip ya mafuta ya taa.
  19. G

    chupi / boxer za mitumba zipigwe marufuku, ni bidhaa zinazoshusha utu kuliko kuyamudu maisha kiuchumi

    Elimu ndogo ya boxer (Me) na chupi (Ke) Chupi / Boxer inafyata nabidi ifyatuliwe Matone ya mkojo hudondokea Kwa wanaume zinachafuliwa na manii (Bao) Kwa wanawake zina zinagusa Period Chupi ni nguo ya kwanza kupokea hewa chafu Bora uende dukan ununue chupi / boxer za bei chee kuliko original...
  20. B

    Siasa za Mwalimu Nyerere za Ujamaa wa kujitegemea na itikadi yake ya Azimio la Arusha ndio chanzo cha umaskini wa Tanzania

    Leo Oktoba 14, 2024 tunakumbuka kifo cha muasisi wa Tanzania Mwl. Julius Kambarage Nyerere aliyefariki siku na mwezi kama leo mwaka 1999 takribani miaka 25 sasa imepita Baada ya Tanzania kupata uhuru wake mwaka 1961 Mwalimu Nyerere alipata kufanya ziara nchini Marekani (USA) alikutana na Rais...
Back
Top Bottom