Natafakari uhusiano wa ubilionea na umaskini
Ukiangalia mabilionea wote wanaoongoza duniani wamezaliwa familia duni au za kawaida tu wakiwemo akina Bill Gates.
Ukija Tanzania Bilionea Bakheresa alizaliwa familia ya kimaskini tu.
Ukija akina Reginald Mengi hivyo hivyo wametokana na familia...
Naomba kutumia mifano ya vijana wawili; Esau na Yakobo
Esau alikuwa mwindaji na Yakobo alipenda kukaa nyumbani (mfugaji, mkulima)
• Esau anategemea kuamka asubuh kwenda kutafuta chakula(kuwinda), bila kutoka siku hiyo anashinda na njaa. Tatizo lake sio kwamba ni mvivu, hapana tatizo lake ni...
“Natumai watoto wa sehemu maskini pia wawe na fursa ya kujiunga na vyuo vikuu bora”
Alichosema hayo ni Zhang Guimei mwenye umri wa miaka 63. Yeye ni mwalimu mkuu wa shule ya sekondari ya juu ya wilaya ya Huaping, mjini Lijiang. Hii ni shule maalum, ambayo wanafunzi wake wote ni wasichana kutoka...
JamiiForums ni zaidi ya habari, nami nimeona niweke hapa kisa ambacho kinaweza kuwa funzo/somo kwa vijana wengi watafutaji hasa wanaopenda shortcut. Mtanisamehe kwa uandishi wangu mbovu na mpangilio wa visa.
Mwaka huu mwanzoni nilikuwa mkoani Arusha kwa jamaa yangu mmoja tuliyetoka nae Kijiji...
Zamani nikiwa mwinjilisti mdogo niliyejaa moto nilisema kuwa matatizo makuu yanayowakabili wanadamu wa kizazi cha leo ni matatu; Dhambi, umaskini na magonjwa.
Sasa hivi nimegundua kuwa ile arrangement yangu haikuwa sahihi na kwamba natakiwa niyapange hivi ;
1.Umaskini
2.Magonjwa na
3.Dhambi...
Askofu Gwajima yuko mubashara Clouds tv akiongelea ugonjwa wa Corona na waandishi nguli Baby Kabaye na msaidizi wake Hassan Ngoma.
Gwajima anasema Corona ni tatizo litakalopita kama yale yote yalivyopita huko nyuma na watanzania wasiogope bali wasimame imara imara kwa sababu Mungu anatupigania...
Amesema Dkt Albina Chuwa Mkurugenzi wa Takwimu. ameyaongea juzi tarehe 17/ 02/ 2020, Ninamnukuu;
“Hali ya umaskini wa kipato hapa nchini Mwaka 1991-92 ulikuwa Asilimia 39, 2007 umaskini ulikuwa asilimia 34, 2012 Asilimia 28.4 na 2018 hali ya umaskini likuwa 26.4, kasi ya kupungua umaskini hapa...
Literally nashindwa kuona how a sane person anaweza kuamini kwamba kumpa mtu shs. 2,000= , 3,000/= nk. kwa mwezi inaweza kumuondolea umasikini huyo mpokeaji wa hizo monthly handouts, nisaidieni, how mtu huyu anaondokana na umasikini? HOW?
Lengo la TASAF ni nini hasa?
Imeelezwa kuwa takwimu za hali ya umaskini wa kipato hapa nchini kwa mwaka 2017, zimepungua kwa kiasi kikubwa na kufikia asilimia 26.
Hayo yamebainishwa leo Februari 17, 2020 na Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) Dkt Albina Chuwa na kusema kuwa jukumu la kuondoa umaskini kwa...
Wanabodi, poleni na majukumu pamoja na misiba iliyowakuta wenzetu wa moshi baada ya kukanyagana wakati wakati wakikanyaga mafuta ya upako chini ya neno la unabii kutoka kwa mtumishi mwamposa mnamo 01.02.2020
Pili, naendelea kupongeza juhudi za serikali ya awamu ya tano kwa kuongeza utoaji wa...
Nimesikitika sana kuona kuwa katika maadui wakuu wa tangu kale
1. Ujinga
2. Umaskini
3. Maradhi
Kwa WANASIASA wa leo hao ndio marafiki wao wakuu katika kutimiza agenda zao na uovu wao.
1. UJINGA
Tunawekeza kwenye ujinga wa watu wetu. Kama sio ujinga wa watu wetu VIONGOZI wetu...
Hongereni kwa kuvuka mwaka wanajamii.
Hii hali ya kushindwa kukidhi mahitaji muhimu kwa binadamu imekuwa ikusumbua sana nchi maarufu zipatikanazo CHINI YA JANGWA SAHARA. Hali hii sasa inafafanuliwa kama hali ya kuishi chini ya dola moja na umoja wa mataifa hii hali ni umaskini. Kumekuwa na...
Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Felix Tshisekedi amehidi wananchi wake kuwa yuko tayari kupambana dhidi ya umaskini uliokithiri nchini humo.
Rais Tshisekedi ameahidi kuwaondoa raia milioni 20 wa Congo kutoka kwenye umaskini au umaskini uliokithiri katika miaka mitano ijayo na kwamba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.