AIBU YAKO UMASKINI WAKO
Aibu na Umaskini, Vijana wengi tumekumbwa na changamoto ya aibu na kutupa wakati mgumu tutaanzaje kukabiliana na maisha hasa kwa wale walio jaliwa kupata elimu na kuhitimu katika vyuo mbalimbali ndani na nje ya nchi , msongo wa mawazo umewakumba wengi hasa pale...
Nakumbuka kipindi nasoma shule ya msingi nilikuwa nikiambiwa na wazazi wangu pia na waalimu wangu soma ili upate kazi, nikitoroka shule na kwenda kucheza mpira nilichapwa sana na kuambiwa nacheza na shule maisha yatakunyoosha, nikionekana naimba mziki naonekana mtukutu nacheza na shule maisha...
AIBU YAKO UMASKINI WAKO
Aibu na Umaskini, Vijana wengi tumekumbwa na changamoto ya aibu na kutupa wakati mgumu tutaanzaje kukabiliana na maisha hasa kwa wale walio jaliwa kupata elimu na kuhitimu katika vyuo mbalimbali ndani na nje ya nchi , msongo wa mawazo umewakumba wengi hasa pale...
“COMFORT ZONE”
sijui niiweke vipi hii kwa kiswahili katika neno moja na likaleta maana.
“Anga/wigo/dunia ya mridhiko”
(Kama sijakosea).
kama hujawahi Kijiuliza Kama ulipo panakutosheleza Au la Basi upo ndani ya “comfort zone”
kama unataka maendeleo binafsi na unakwepa mabadiliko basi upo...
Wana JF,
Nimeona sehemu wakuu wa vitengo kidini wakijitetea kupunguziwa kodi wakijinasibu kuwa wanasaidia sana kwenye sekta ya elimu, kumbe ndio wanyonyaji wakubwa.
Kwa sasa shule za Romani na KKKT ni ghali mno. Kuna shule zilianzishwa kama za kusomesha watoto yatima lakini zimekuwa...
Kuna watu wanaleta propaganda za ajabu sana nchini, kwamba eti tumerudi kwenye umaskini kwa sababu ya Rais mpya.
Naomba kuwauliza lini tumewahi kuwa matajiri? Hizi mentality za kitumwa tumezitoa wapi? Unafunguliwa kifikra na kupewa Uhuru wa kuwaza na kusema unasema umekuwa maskini?
Kwamba...
Inawezekana wakati mama anaenda kufungulia nchi anaweza kufungulia hizi hisia za kutukuza na kukumbushana juu ya kile kinachoitwa umaskini wetu?
Tunatakiwa kutokujaribu au kuthubutu kufanya makubwa kwa sababu sisi ni masikini? Ndio mwanzo wa kuanza kuombaomba tena...maskini wa fikra...
1. Kutumia muda mwingi kuangalia TV, sinema au tamthiliya
{ Masaa mengi unayotumia kuangalia TV unaweza kuyatumia kufanya shughuli za kibunifu, na kuutengenezea thamani muda wako. kuangalia TV sio jambo baya lakini kutumia masaa mengi kuangalia TV, sinema au tamthiliya ni hasara}
2. Kununua...
SHAREDCovid pushing 30 million Africans into poverty - IMF
Africa editor, BBC World Service
ReutersCopyright: Reuters
Some African nations will need to increase health spending by 50% to vaccinate 60% of their populations, the IMF saysImage caption: Some African nations will need to increase...
Je, siri ya China kupunguza umaskini ni nini?
------Ni kwa jinsi gani ‘kijiji cha kwanza cha China katika kupambana na umaskini’ kilivyofanikiwa?
Na Hassan Zhou
Ofisi ya habari ya Baraza la Serikali la China hivi karibuni ilitangaza waraka uitwao “Kupunguza Umaskini: Uzoefu na Mchango wa...
Je, siri ya China kupunguza umaskini ni nini?
------mama mkulima wa China aondokana na umaskini kwa kutengeneza fagio la mabua ya mtama
Na Hassan Zhou
Ofisi ya habari ya Baraza la Serikali la China hivi karibuni ilitangaza waraka uitwao “Kupunguza Umaskini: Uzoefu na Mchango wa China”...
Je, siri ya China kupunguza umaskini ni nini?
-------usawa wa kijinsia katika elimu ni muhimu kufanya umaskini ‘kutorithiwa’.
na Hassan Zhou
Ofisi ya habari ya Baraza la Serikali la China hivi karibuni ilitangaza waraka uitwao “Kupunguza Umaskini: Uzoefu na Mchango wa China”. Waraka huo...
Mara kadhaa nawasikia viongozi wetu wakitamba kwamba wameuishi umaskini wa watanzania hivyo wanajua cha kufanya ili kuwatoa watanzania kwenye huo umaskini. Ndipo najiuliza kwani aliekulia maisha ya kitajiri hawezi kuwaongoza watanzania kujiapatia maendeleo?
Ulipokuwa waziri wa fedha na mipango ulisimamia vizuri hasa ukusanyaji wa mapato. Hii ilisadia kuwepo kwa ukelezaji wa miradi mingi.
Awali ulikuwa mbunge wa kuteuliwa na ukapata uwaziri. Lakini mwaka jana uliamua kwenda kugombea huko kwenu Kigoma na ukachaguliwa kuwa mbunge wa Buhigwe...
Ni kweli hamuwezi wote kuwa matajiri. Sisi wengine tunakuwa tuna wawakilisha ninyi ambao bado hamjafanikiwa kuzipata.
Utajiri wako uwe wa furaha na amani. Usiibe, Usidhurumu, Usipate kwa Waganga. Pata mali halali. Maskini hana Raha mchana wala Usiku.
Mchana Nzi usiku Mbu. Hamna jema maskini...
Habari za mchana ndugu zangu,
Kuna dada mmoja alikuja home kutafuta chumba cha kupanga tukamuonesha chumba kimoja akakisafisha kesho yake akaja na mumewe kumuonesha.
Mume akadai chumba hajakipenda wakaondoka baada ya week akarudi tena, kile chumba kikawa kimepata mteja tukamuonesha chumba...
Mwaka huu nilikua nafatilia maswala ya mirath ya mzee, so ilinifanya nikatembelea ofisi nyingi za kiserikali. Kwa kawaida ukiwa unafatilia mirathi hizi ofisi lazima ufike zote au chache:
Mtendaji
Vizazi na vifo
Mahakama ya mwanzo
Mahakama kuu
Bank
PSSF
Na nyingine ambazo inategemea carrier ya...
Wana jf
Wengi mnaweza msilione hili lakini mbinu chafu zinazotumiwa Hawa wafanyabiashara kuhakikisha wanapata faida kubwa huku mdoro wa Kasi ya maendeleo ikikwamishwa makusudi. Umoja wa wafanyabiashara wenye viwanda vinavyozalisha vifaa au vitu vya matumizi ya lazima wamekuwa wakipanga Kwa...
Mafanikio ya China ya kupata "ushindi kamili" kwenye vita vyake vya kutokomeza umasikini uliokithiri kunatajwa na wasomi wengi kama matokeo ya mpango kabambe, utawala bora na nia njema ya kisiasa nchini humo.
Dk. Beatrice Matiri-Maisori ambaye ni mshauri wa maswala ya uchumi na diplomasia kati...
Habari wadau..
January imeisha .. wazazi wengi walikuwa wanalalamika school fees tatizo.
Kwa maoni yangu kama mtu huna mali za kutosha, huna kampuni ya kueleweka wala huna mtaji wa kutosha... baba mzazi wewe mwenyewe unategemea ajira za laki nane ama milioni moja, kusomesha watoto wako shule...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.