umaskini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mwamuzi wa Tanzania

    Nini chanzo cha umasikini na ufukara wa Waafrika?

    Tuache masihara ndugu zangu, Waafrika wengi ni maakini na wengine ni mafukara. Achana na media ambazo zimejaa picha za vijana wa Kiafrika wanaopiga picha kwenye malls kubwa na maofisini. Ukirudi nyuma kutazama uhalisia utagundua kuwa Afrika imegubikwa na ufukara mkuu. Malazi duni, mavazi...
  2. Binadamu Mtakatifu

    Hivi ni kweli umasikini ni kurithi au ni kujiendekeza?

    Kwa muda sasa natafakari kuhusu umaskini wa mtu mpaka kufikia mda mtu anashindwa kutekeleza baadhi ya mambo. Yote ya yote umaskini ni naouona kama ulemavu wa akili kwani unashindwa kujituma na kujikomboa binafsi huu ni ugonjwa wa watu wa Afrika na kupenda shortcut way kijana unabidi upambane...
  3. YEHODAYA

    Umasikini wa Watanzania chanzo chake ni kupenda kujenga nyumba ya kuishi kwanza badala ya kuanzisha biashara

    Hakuna watu wanapenda kujenga nyumba za kuishi duniani kama Watanzania. Ndoto kuu ya kwanza ya Mtanzania yeyote ngozi nyeusi ni kuwa na kwake hivyo akipenda vihela huvipeleka site kujenga nyumba ya kuishi hapa ndio siri ya umasikini wa Watanzania ngozi nyeusi kuanzia. Wenzetu Wahindi...
  4. K

    Viongozi waandamizi jifunzeni kujitegemea, mnawatesa wasaidizi wenu kuwatumikisha kinyume na kazi zao

    Kiongozi mwandamizi hana gari binafsi yakutembelea amekalia kutumia gari ya umma kufanya shughuli za Kiserikali na shughuli za familia bila kujali masaa ya kazi kwa madreva na wasaidizi wengine. Ninaishi na mzee mmoja hapa anatumia gari ya Serikali kama yake binafsi, kila sehemu anapokwenda...
  5. E

    Ukiendelea kuhonga utabaki kwenye duara la umaskini wewe na familia yako yote

    Habari za Leo wakuu. Kuna ujinga fulani ulisha waingia wanaume, wakifanikiwa tu huwa hawakumbuki watu waliowasomesha au kuwapa mitaji. Wengine walisomeshwa ili wazikomboe familia zao lakini wakisha kamatwa masikio na wanawake basi humalizia mishahara yao yote, mitaji yao yote na faida zao...
  6. Mwamuzi wa Tanzania

    Hifadhi ya Selous ina utajiri wa madini unaoweza kuwaondoa Watanzania kwenye ufukara na umaskini

    Habarini wakuu! Leo ngoja niandike kitu ambacho huenda kitaamsha ari ya viongozi wetu. Binafsi mimi ni mwenyeji wa mkoa wa Ruvuma(Myao) ila nimekulia na kuzaliwa Liwale (Lindi). Ulinzi wa hifadhi ile hasa kipindi cha masika ulikuwa duni. Hii ilisababishwa na poor infrastructure (barabara)...
  7. Yoyo Zhou

    Lengo sawa la kuondokana na umaskini, ila njia tofauti za kuondoa umaskini

    Hakuna nchi hata moja inayopenda kuwa masikini duniani, lakini tatizo kubwa linakuja kwenye kujua mbinu gani zitumike ili kuhakikisha umasikini huu unatokomezwa kabisa. China ilikuwa na ndoto ya kutokomeza umasikini tangu kilipoasisiwa chama cha Kikomunisti cha China mwaka 1949. Ingawaje kasi ya...
  8. share

    Uchaguzi 2020 Mwelekeo wa kampeni za Uchaguzi Mkuu umedhihirisha umaskini mkubwa uliozalishwa nchini ndani ya miaka 5 ya utawala huu

    Mwezi mmoja umekatika tangu kampeni za Uchaguzi Mkuu zianze. Hali halisi inaonesha dhahiri Taifa lilivyobugikwa na umaskini uliozalishwa ndani ya miaka 5 ya utawala huu wa awamu ya tano. Taifa limeshuhudia wagombea urais kushindwa kufanya kampeni kwa kukosa fedha, kushindwa kuandaa mabango kwa...
  9. Thailand

    Tanzania upole na unafiki wetu ndiyo sababu ya Umaskini wetu

    Ndugu zangu miaka ya 1960s kipindi tunapata uhuru wetu, Uchumi wetu in terms of GNP tulikuwa sawa kabisa na nchi kama Vietnam, Thailand, Singapore, Malysia, Uchina na Korea Kusini. Kwa kipindi chote hicho hakuna chama chochote cha upinzani kilichoingia madarakani na either tukakitupia lawama...
  10. K

    Ruvuma, Lindi, Tanga na Tabora ngome za CCM zilizozama kwa umaskini, Ngome za wapinzani zipo uchumi wa Kati

    Maeneo yote wanayochagua CCM ni maskini wa kila kitu, CCM ikishachaguliwa ukimbilia kupigania maendeleo ya maeneo ya majimbo ya upinzani ili yarejeshwe kwao UCHAGUZI ujao. Hakuna fadhila wanayopata wanaowachagua na ndiyo maana nchi haipigi hatua. Mwanza waliwachagua lakini wabunge wote walibaki...
  11. SheriaE

    Hoja ipi kati ya zifuatazo ina ukweli ndani yake

    Habari za uzima ndugu zangu. Naomba mkipata muda mtaniambia ni hoja ipi kati ya zifuatazo inaukweli ndani yake : 1.Inasemekana wanawake wengi wamepewa uwezo mkubwa na Mungu wa kutunza fedha kuliko wanaume , 2.Hali ngumu za kimaisha zimewafanya watu wengi wasiabudu 3.Inasemekana kwamba...
  12. Superleta

    Pamoja na miundombinu bora ya Ethiopia, bado Wananchi ni masikini. Watanzania tujitafakari

    Jamani ni kweli tunafata nyayo za Ethiopia? Nauliza maana ni kama tunaanza kufanana ndege, mareli, umeme miradi, mbona kama tunafanana nao tu halafu wao pia hawatoagi ajira na serikali inadhibiti kila kitu. Halafu wao wanaangalia maendeleo ya vitu kama sisi tu tumeanza kufanana nao. Naogopa...
  13. Sami Omary Khamis

    Uchaguzi 2020 Uchambuzi wa ilani ya CCM 2020-25 kwenye kupambana na umaskini na uwezeshaji wa wananchi kiuchumi

    Na Bwanku M Bwanku. Baada ya mafanikio makubwa ya awamu ya kwanza ya miaka mitano ya Serikali ya CCM katika kupambana na umaskini na kuwawezesha wananchi ikiwemo kusaidia vikundi vya wajasiriamali kimafunzo, kisera na kimikopo, wafanyabiashara wadogo na kuwawezesha vijana pamoja na mpango wa...
  14. Mwamuzi wa Tanzania

    Miaka 60 na CCM Madarakani: Ujinga, umaskini na maradhi bado havijaondoka

    Tangu tupate Uhuru 1961 sasa ni miaka 59 . Lakini wale maadui 3 ambao ni ujinga, umaskini na maradhi bado wanawatesa Watanzania. Je, tuendelee kuwapa kura CCM ili waendeleze mapambano waliyoyashindwa kwa miaka 59? Tuwanyang'anye mamlaka kwakuwa wameshindwa kutokomeza ujinga, umaskini na...
  15. Masokotz

    Tunahitaji kuzalisha ajira, kukuza uchumi, kupunguza umaskini na kuboresha hali za maisha. Je, tuanze na lipi?

    Hiki ni kipindi cha siasa na kama kawaida huwa napenda sana kupita katika vijiwe vya kahawa kujadili kuhusu uelekeo wa siasa zetu na maendeleo yetu. Katika vijiwe vyote nilivyopita pembeni ya kukuta watanzania wengi wakiwa bado na ile mitazamo ya ajabu ajabu kuhusu siasa na maendeleo kuna mambo...
  16. Mkogoti

    Saa zingine vaa vizuri ingia town ulizia bei za magari ili uushtue "umasikini" sio kukaakaa kizembe?

    Nenda ulizia viwanja, matrekta, nyumba na n.k unaona kabisa hii kuipata sio leo lakini jitahidi muda fanya hivyo acha kukaa kizembe unafikiri hela zinakujaje. Inatakiwa uuchangamshe umaskini wako na watu mijini humo unapoishi wawe kidogo na wasi wasi na wewe waone huyu mtu sio mchezo mchezo...
  17. Mwamuzi wa Tanzania

    Jinsi wafanyakazi tunavyoingia kwenye wimbi la umaskini

    Habari wakuu! Hii mada haiwahusu tu watumishi wa umma bali wafanyakazi karibu wote walioajiriwa kwa masharti ya kudumu Tanzania 1. Hatua ya kwanza: Mtu anakuwa amebeba maono makubwa . Hapa wapo wanaowaza wakipata kazi ndoto zao za kumiliki kampuni, shule au biashara kubwa zitatiki kwani tayari...
  18. Mwamuzi wa Tanzania

    Mnaouchukia ufukara na umaskini NGENDE ndilo jawabu lenu la mwisho

    Niliwahi kuandika uzi mwezi May nikisema nitafanya lolote ilimradi niondokane na umaskini. Umaskini mbaya wazee. Sijaondokana bado na umaskini but kidogo naona unafuu sasa, kwa Kibongobongo 33 yrs ukiwa na mahali pa kuweka mgongo mvua isikunyeshee na kausafiri hata kama umenunua kwa mbongo...
  19. Yoyo Zhou

    Je, kama haki za kuishi na kuendelea ziko juu ya haki nyingine zote za binadamu?

    Ni jambo lisilopingika tukisema kuishi vizuri na kupata maendeleo ni msingi wa binadamu kufanya shughuli nyingine. Mtazamo huu uliosisitizwa na rais Xi Jinping wa China sio tu unalingana na hali halisi ya nchi yake, bali pia unafaa kwa nchi mbalimbali za Afrika, hasa janga la Corona...
  20. J

    CCM tukumbushane majimbo yaliyotopea kwa umaskini baada ya kuongozwa na upinzani ili tuyakomboe tukianza na Rombo

    Ikumbukwe kuwa sasa tupo kwenye uchumi wa kati mdogo hivyo jitihada zinahitajika ili tuweze kupanda na kufika $4000 per capita. Hivyo niwaombe tuorodheshe majimbo maskini ili tuyafanyie mkakati maalumu bila kujali itikadi zetu na misimamo yetu ya kisiasa na kimaendeleo. Mimi naanza na jimbo la...
Back
Top Bottom