Habari Wana JF
Sinamengi yakusema ila kama unapambana kitaa pambana usihangaike na ajira za serikalini utaumia, Hawa watumishi wa uma wanao vaa vizuri huku mtaani msiwaogope Wala msitamani maisha Yao wamejawa na stress hatari wanajutia kujingiza katika utumwa,wanajutia kuwa wavivu...