umaskini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    Nionavyo, hakuna kinaitwa tatizo la afya ya akili bali ni umaskini wa kipato tu

    Mi huwa nashangaa watu hasa siku hizi eti mara ooh huyu ana tatozo la afya ya akili mara ooh huyu ana ahangamoto ya afya ya akili. Ki ukweli kabisa hakuna kitu kama.hicho. Jiulizeni kwa nini hakuna mzungu au tajiri anakuwa na tatizo la afya ya akili. Kwani waafrica tu ndo wamelaaniwa na...
  2. Namna Tanzania Inavyoweza Kuongeza Idadi ya Walipa Kodi: Suluhisho kwa Wimbi la Umaskini na Ukosefu wa Ajira

    Tanzania ni nchi yenye uchumi unaoendelea, lakini changamoto kubwa bado ni umaskini na ukosefu wa ajira, hasa miongoni mwa vijana. Katika hotuba ya hivi karibuni, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alibainisha kuwa kati ya Watanzania milioni 60, ni watu milioni 2 tu wanaolipa kodi. Hii ni...
  3. M

    Umaskini ukikomaa huzaa ushirikina

    PENYE UMASKINI NDIPO UTASIKIA MITIZAMO MINGI YA KISHIRIKINA. Kuna sababu nyingi za watu kuwa washirikina na kati ya sababu hizo umaskini ni moja wapo. Umaskini wa mawazo na kifedha ni sababu kubwa sana nyuma ya washirikina. Kwenye umaskini ndio utasikia wengi wakianguka mapepo, kulalamika...
  4. M

    Penye umaskini ndipo utasikia mitizamo mingi ya kishirikina

    PENYE UMASKINI NDIPO UTASIKIA MITIZAMO MINGI YA KISHIRIKINA. Kuna sababu nyingi za watu kuwa washirikina na kati ya sababu hizo umaskini ni moja wapo. Umaskini wa mawazo na kifedha ni sababu kubwa sana nyuma ya washirikina. Kwenye umaskini ndio utasikia wengi wakianguka mapepo, kulalamika...
  5. S

    Mtu akikwambia njoo tugawane umaskini halafu ni swala la mchongo yaani wewe unatumbua nini kwenye ubongo wako?

    Ni swali la upimaji IQ Mtu akikwambia njoo tugawane umaskini halafu ni swala la mchongo yaan wewe unatumbua nini?kwenye ubongo wako
  6. S

    Naombeni mbinu za kuushinda umaskini

    Wadau wa jamiiforums habari? Kàma kichwa cha habari kinavyoeleza hapo juu, Kama ni kupambana nimejitahidi sana ili kuondokana na umaskini lakini hali bado tete. Naombeni mnipe tips za kushinda hii hali inayokera. Maana kuna mda nashindwa ku-offer chochote kwa familia. Umaskini unakera.
  7. Hivi huu ni umaskini au ni nini, mbona sielewi?

    Kujazana kiasi hiki kunaonyesha hawa wahindi ni masikini au ndo nini? Maana kwa kujazana huku, hiyo Train lazima iende mwendo wa kinyonga kwa usalama wa abiria! Sasa maana halisi ya kupanda chombo cha moto ni nini? Je wana haraka gani mpaka kuhatarisha maisha kiasi hiki? Ebu niambie!
  8. Umaskini ndio mtaji mkubwa ccm kuwafanya kuwepo madarakani

    Kuna mambo unaona yakiondolewa ccm wanaweza kukosa madaraka. Mfano swala la bima za afya zilitakiwa kuwa bure hivi kuna mtu anashindwa kulipa bima kwa mwezi shilingi 4000. Tupo wangapi tanzania?. Kuondoa kodi ambazo hakuna faida yoyote zaidi ya wao kujinufaikia tu mfano. Kodi za bandarini...
  9. Wanufaika wa TASAF washauriwa kubuni vyanzo vya mapato ili wapate maendeleo na kutoka kwenye umaskini

    Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF), umewezesha walengwa wa mfuko huo kutumia ruzuku wanayopata kushiriki kilimo, hali ambayo imekuwa ikiwaongezea kipato na kuwa na uhakika wa chakula. Hayo yamesemwa na Mkurugenzi Mtendaji wa TASAF, Shadrack Mziray wakati akizungumza na waandishi wa habari...
  10. Umasikini wa mtoto umefungwa ndani ya fikra na akili ya mzazi! Tusiwalaumu watoto tu wakati mwingine!

    Umasikini umefungwa ndani ya fikra na akili ya mtu. Wazazi kama fikra zao ni za kimasikini huwa na uhakika uzao wake wote watakuwa masikini. Katika jamii ninayoishi kuna watoto wengi ambao tunawasomesha shule za umma na za binafsi. Sasa hizi shule za umma (za Serikali) kutokana na changamoto...
  11. Umaskini wa nchi za Afrika umetokana na system mbovu ya uongozi

    Baada ya kuishi hizi nchi za wenzetu Nimeona mambo mengi pia nimejifunza mambo mengi Hasa hasa mambo ya uongozi japo sina elimu kubwa zaidi ya kujua how hawa wenzetu wanaongoza nchi zao ila nimejifunza machache kidogo Cha kwanza Ni madaraka ya Rais Katika nchi za wenzetu Rais ana play nafasi...
  12. Mwalimu ajiua kutokana na umaskini licha ya kupambana sana

    Huyu ni mwalimu kutoka Zambia alikuwa anafundisha shule ya sekondari Nsajika day baadaye akahamishiwa Maguya. Amesema amechoka licha ya kupambana sana alikuwa haoni mafanikio. Kwenye pesa kiasi alizoacha ametoa maelekezo kwa mke wake ajenge nyumba, kiasi kingine aanzishe biashara kingine...
  13. Hasira za Gen Z ya Kenya; Chanzo Chake ni Umaskini Uliotopea

    Wengi wanaona Watanzania ni legelege au hawatambui haki zao ndiyo maana hawachukui hatua dhidi ya maamuzi ya wanasiasa. Wanatamani vijana wetu wangekuwa kama vijana wa Gen Z wa Kenya ambao kwa siku mbili wameteketeza mali zenye thamani ya mamilioni kwa hasira za financial bill 2024. Matajiri...
  14. Kodi kubwa kwa umaskini na kuumiza biashara

    High tax rates hinder poor countries from growing their economies. The tax rates from sales tax to income tax are too high for our region where businesses need more and more capital to grow and reinvest and create employment but instead the government’s strategy of imposing higher taxes is...
  15. D

    Kwanini Kanisa Katoliki linahamasisha umaskini na halitaki kabisa watu waponywe na maradhi? Au wanafaidika nao

    Ukisikiliza mahubili ya maaskofu wa kanisa katoliki au mapadre, wanapiga vita sana wachungaji wanaowaombea watu kufanikiw kifedha au maisha kiujumla. Kwa sasa maaskofu wote wa katoliki wamemlia kolabo mwamposa. Mahubili yote ni yeye. Wanaponda sana kwamba kwa nini anawaombea watu wafanikiwe. Na...
  16. Tetesi: Kwasababu ya umaskini na woga vijana wanachukua kadi za CCM kwa kasi sana. Nani atalikomboa taifa na adui wetu 3 wa asili?

    Hello ! Mwanzoni mwa mwezi May 2024 mke wangu aliniambia kuwa kadi za CCM zinefika, mjumbe kaandika jina lako hivyo twende ukachukue kadi yako. Nilitafakari, inakuwaje mjumbe aandike jina langu kwenye orodha ya wanaohitaji kadi za CCM bila ridhaa yangu. Kwakuwa nilikuwa free nikaona nisigombane...
  17. M

    Tafiti Zimeonesha Matumizi makubwa ya viongozi, huchangia umaskini wa nchi za kiafrika.

    Utafiti hupingwa na utafiti Chuo kikuu hicho kimesema ikiwa wakoloni waliweza kufanya maendeleo makubwa kuliko tawala za wazawa. Watafiti wakasema " Usimamizi mbovu wa rasilimali za nchi za kiafrika ni tatizo jingine" Watafiti wanasema matumizi ya fedha nyingi Kwa viongozi hupelekwa kwenye mambo...
  18. Joyce Kiria: Nilikubali kuolewa kwasababu ya umaskini na sio upendo

    Mwanaharakati wa haki za wanawake na mjasiriamali Joyce Kiria, amesema sababu ya Ndoa yake ya kwanza kuvunjika ni kwakuwa hakuingia kwenye Ndoa hiyo kwa Upendo bali ni kwakuwa hakua sawa kiuchumi. Kwa upande mwengine Kiria amewashauri wanawake wasiingie kwenye Ndoa kwaajili ya kupunguza ugumu...
  19. Shemeji anaevaa Bukta ya kuchezea Mpira na umaskini

  20. K

    SoC04 Nchi yangu

    Tanzania ni nchi yenye zaidi ya watu millioni 60 Kwa mjibu wa sensa iliyofanyika 2023 pia ni nchi yenye makabila zaidi ya 120 yenye lugha tofauti tofauti lakini yanaunganishwa na lugha Moja ambayo ni lugha ya Taifa nayo n kiswahili bila kusaau kuwa ni nchi iliyobalikiwa rasimali nyingi na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…