Nimesikiliza Hotuba ya mama huko Kenya naweza kusema.
Mama sio mzuri wa hoja nzito, ni mwepesi wa Ku Give In.
Anasema Wakenya waje Tanazania kuwekeza kwenye madini, Mkenya Gani anamtaji wa kuja kuwekeza kwenye Madini, Kama Mwekezaji mkubwa wa madini?
Mama anadanganywa na watu wake wa Karibu...